Chadema: Yala njama dhidi ya serikali.

Chadema: Yala njama dhidi ya serikali.

chadema hawa... Ukiacha Mastaring Wakuu wawili, Joshua the kenyan na Mch. Gwajima.. Nasikia kuna mwingine anatarajia kuonekana kwa Season 2..

Polen sana ndugu zetu wote waliofikwa na matatizo ya ajali ya meli.. Let us start b serious, uchunguzi uwe unafanyika na matatizo sababish yawe yanafanyiwa kazi ipasavyo huku wahusika wakuu wasiache bila kuwajibishwa.. La sivyo watanzania 2taendelea kuteketea hivi hivi kwa wajanga ambayo yangeepukika.. Chukulia mfano mabom ya mbagala na gongo la mboto.. Na kama uchunguz uliofanyika hautofanyika na wahusika hawakuajibishwa.. 2tarajie tena i dn knw upanga au lugalo.
 
Dhihaka wakati watu wamekufa? Hivi ingekuwa ndugu yako amekufa kwenye hiyo ajali ungekuwa na nguvu ya kuandika dhihaka kama hizi?
 
ccm wakati wa kampeni 2010 ilikuwa inasema vyama vya upinzani ni vya msimu lakini sasa upinzani unawatesa hadi wanashindwa kusimamia uhai wa watanzania, majanga kila mara yanapukutisha maisha ya ndugu zetu na mbaya zaidi siasa nazo za kutotaka kushindwa zimekuwa janga kwa taifa nazinazidi kukatiza nuru ya wasema ukweli wa leo na kesho
 
meli ya mwaka 1984 mpaka leo hii inafanya kazi unategea nini mbona kuku anakushinda akili akiona giza linaingia anajua ni usiku anajongea ndani. ndege za ATCL ni mbovu nani hilo halijui? mmekodisha ndege mbovu mnategemea nini? hamtaki kufanya service ndege eti hamna hela mnategemea nini? acha upumbavu wenu usiyo na maana. mpaka upepo unauvuma baharini eti umesababishwa na chadema, duuh hii kali sasa. acheni kufukuza upepo na kivikimbia vivuli vyenu.

usihangaike kuijadili mada ya kikuda! hakuna mtu aliye serious hapo, wanafanya mzaha na maisha ya watu yaliopotea!
 
Mods wangekuwa wanapeleka vitu kama hivi kwenye jukwaa la utani/jokes...

Hata huko haifai. huwezi kufanya mzaha na maisha ya watu yaliopotea kwa ajali! Bora hata wangekufa kwa kunywa gongo!
 
meli ya mwaka 1984 mpaka leo hii inafanya kazi unategea nini mbona kuku anakushinda akili akiona giza linaingia anajua ni usiku anajongea ndani. ndege za ATCL ni mbovu nani hilo halijui? mmekodisha ndege mbovu mnategemea nini? hamtaki kufanya service ndege eti hamna hela mnategemea nini? acha upumbavu wenu usiyo na maana. mpaka upepo unauvuma baharini eti umesababishwa na chadema, duuh hii kali sasa. acheni kufukuza upepo na kivikimbia vivuli vyenu.

kaka achana na hawa mazezeta wameswitchoff akili zao wanafikiri kwa kutumia tumbo na suti za kijani saa inakuja na saa ipo ambapo kila fisadi atarudisha kila senti aliyoiba,kufanikisha wizi au kuwalinda wezi atafilisiwa na kufanya kazi ngumu kwenye mashamba ya katani yatakayofufuliwa Tanga na mengine ya mpunga kwenye bonde la rufiji chini ya viongozi wazalendo...2015 siyo mbali tena hakika hatutadanganyika kwa chochote.
 
Its high time know mods to be serious with this foolish behavior which tarnish the image of great thinkers! How can such a non-sense topic get through?
 
Naomba mnijuze wakuu, leo ni tarehe 1 mwezi wa nne au?
 
nyie cdm kwa kweli mnatupa shida sana... Ili mradi tu mtimize ile ahadi yenu ya nchi kutotawalika... Na habari zilizopo ni kuwa mmekula njama ya kudhamisha meli iliyokuwa ikielekea znz... Na hii kulingana na uchunguzi tuliofanya imebainika kuwa mliona wivu kwa jinsi ya serikali ya bara na znz ilivyolighulikia kwa umakin na uchunguz wa hali ya juu ikiambatana kuwawajibisha wote waliosababisha ajali ya MV SPICE..
Our take: Plz cdm achen kula njama ya kuzamisha vyombo vya baharini.. Uchunguz unaendelea ukiongozwa na kamanda kova.. 2nahuakika 2tawatia nguvuni 2 cdm...

Mkuu inakuwaje unaleta utani kwenye roho za watu?kumbuka ndg zetu wamepoteza maisha!nivema na haki kuwaombea waliotangulia mbele ya haki bila kujali tofauti zetu za kisiasa na ki imani{R.I.P}
 
Wahudumu wa meli walishiriki kumpigia kampeni mwakilishi wa uraisi chadema 2010
 
CDM wamenza asubuhi ambapo wamesababisha ndege ya ATCL ivunjike dirisha la kioo cha upande wa kushoto wa rubani. Ndege hiyo ilitoka Dar kwenda Mwanza via KIA. Matokeo yake ikabidi iwe grounded palepale KIA leo hii asubuhi. Tunahisi chama hiki kina mahusiano ya moja kwa moja na Ali-Shababu.

Kwa wendawazimu huohuo hata gari la mkuu wa kaya lilichomoka matairi kwa sababu ya CDM, mnafikiri sis ni wa kuchezea kama Green Guard na bado peoples powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Dhihaka wakati watu wamekufa? Hivi ingekuwa ndugu yako amekufa kwenye hiyo ajali ungekuwa na nguvu ya kuandika dhihaka kama hizi?

Dhihaka anayo Speaker... badala ya kuhailisha Bunge.. hawezi labda ajali ingetokea Dodoma, wewe hili ulioni au...
 
Mkuu inakuwaje unaleta utani kwenye roho za watu?kumbuka ndg zetu wamepoteza maisha!nivema na haki kuwaombea waliotangulia mbele ya haki bila kujali tofauti zetu za kisiasa na ki imani{R.I.P}

Kaka kauli aliyotoa Spika Bungeni ndo dharau tosha... watu wanaangamia na mule ndo ndani ya Bunge ndiyo kuna Viongozi wa Nchi.. Yeye anadai hawezi hailisha Bunge labda ajali ingetokea dodoma...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom