CHADEMA yakubali yaishe! yamtambua Rais, yampongeza Rais

Toka lini Pasco kawa mwandishi wa habari hata kama akiwa mwandishi wa habari ndiyo kila kitu umeze bila kutafuna, kuna siku Mwalimu Nyrerere aliwaambia wandishi wa habari wa Kenya hivi 'wakisikia yeye anatembea na mama yao wataandika kuwa yeye ni baba yao'. Pasco amedanganya kwa interests zake na wwe kwa vile uko tunned ukaingia kichwa kichwa bila kufuatilia.

Hayo maneno ya baba na mama ni mtu asiyenazo ndiye anaweza sema hivyo. Siamini kama Rais wa nchi anaweza sema hayo, tuwekee ushahidi.
 
Watch TBC Live toka Bungeni!
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekubali yaishe, wanamtambua JK kama Rais, Wanampongeza!
Mbowe ameomba reconciliation for the sake of Umoja wa Kitaifa.

Update 1: Angalizo!.
Kuna kitu kinaitwa expressly na impliedly!
Expressly ni kwa Mbowe kutangaza kwamba sasa Chadema inamtambua Rais!
Impliedly ni pale Mbowe alipompongeza rais, akamsifu, akamshukuru na bla bla bla nyingi za kusifu na kutukuza na kuonyesha spirit ya reconciliation.

mkubali msikubali, Chadema imemtambua Rais JK impliedly na wamekubali yaishe zaidi ya hapo ni ubishi tuu, vinginevyo Mbowe afanya Press Conference afafanue na kukazia kutomtambua JK!

Pasco.

attachment.php
Naombeni kuuliza, hivi baada ya lile tamko rasmi la Chadema kutomtambua Rais JK, kuliwahi kutolewa tamko jingine lolote la kutomtambua?!.

Hizi hapa chini ni Mjini Dodoma Leo, na kwa vile mimi ni mtaalamu wa picha na video, nathibitisha pasi shaka, hizi smiles ni "bonafide genuine"
Pasco.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akutana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia (TCD), Ikulu ndogo mjini Dodoma leo.

attachment.php

attachment.php.jpg
 
Poor Pasco! Si Mbowe wala Chadema iliyosema haimtambui rais, walisema hawatambui mchakato wa uchaguzi uliompa JK ushindi! Soma katikati ya mistari na utumie akili na taaluma yako kuwaelewa wanasiasa! This is too low for you!
 
Last edited by a moderator:

fillipo unajichanganya,
iyo maana ake ni kua hawamtambui rais
huwezi kua huutambui mchele na huukubali lkn wali unaukubali, ni uendawazimu
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe, aliwahasisha Chadema kususia uchaguzi wa serikali za mitaa, wakasusa, CCM wakatwaa ushindi wa mezani.

Katika bandiko hili nililaumiwa sana.

Jana pale Mwanza, Mhe. Mbowe kaomba maridhiano, swali ni jee Chadema waliposusa, walisusa ili wapate nini kama mwisho wa siku unakuja kubembeleza kuomba maridhiano?.

Siku zote haki haiombwi wala hailetwi kwenye kisahani cha chai, huwa inapiganiwa!.
P
 
Pascal kwanza niseme tu hili neno maridhiano lililoshika kasi nchini toka jana kwangu naona si sahihi na hakukuwa na mgogoro baina ya serikali/ Magufuli na Chadema.

Nilichoona mm baada ya uchaguzi wa 2015 tume kumtangaza Mh. Magufuli kuwa mshindi wa uchaguzi, Chadema walichagua njia ya kununa na kutotambua matokeo hali iliyopelekea wasishiriki kuapishwa kwake, kutoka bungeni siku ya uzinduzi wa bunge pamoja na kutohudhuria shughuli zozote za kitaifa kwa miaka takriban 4 Sasa. Hakuna nguvu yoyote ambayo imewahi tumika dhidi yao na hapa ndio naweza sema serikali ilionesha ukomavu mkubwa wa ki uongozi kwa kutowaingilia Chadema ktk maamuzi yao na bado stahiki zao mishahara, posho na ruzuku waliendelea kupatiwa "demokrasia ilitendwa kwa vitendo"

Kwa hatua ya Jana kamati kuu ya Chadema kuhudhuria sherehe za Uhuru tunaamini ni matokeo ya utashi wao na tunaipongeza kamati ya maandalizi kwa kuwaandalia nafasi zao kama wageni wengine wote.

Kwa Mbowe kumuomba Rais maridhiano ndipo sikubaliani napo. Nafkiri Mbowe alipaswa kuutangazia umma wa Watanzania kwamba Sasa tunamtambua Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli na kuanzia Sasa tutashirikiana na serikali yake kama Chadema Taifa.

Ktk ngazi za majimbo bado wabunge kadhaa wa Chadema wamekuwa wakifanyakazi na serikali ivo sioni kama kulikuwa na mgogoro mkubwa wa kuhitaji maridhiano bali ni propaganda za kisiasa tu zenye lengo la kuzusha hofu kwa jamii.

La msingi Chadema wakuwe wawe wastaarabu na wenye kuheshimu utu wa watu wengine wanaotofautiana kimtazamo/kisiasa. Kama wangeyafanya haya hata kesi mahakamani naamini zisingekuwepo dhidi yao.

Ni rai yangu sasa tusiendelee kueneza kauli ya maombi ya maridhiano kati ya serikali na Chadema bali tutafute neno sahihi la kutumia hapa tofauti na upotoshaji huu uliotawala anga letu la Tanzania.
 
Pasco jitendee haki japo mara moja,hivi katika utawala huu ulitaka Chadema waingie msituni? Wahenga waliosema ncha ya mkuki haipigwi ngumi au teke walikuwa na maana kubwa.
 
Sahihi
 
Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe, aliwahasisha Chadema kususia uchaguzi wa serikali za mitaa, wakasusa, CCM wakatwaa ushindi wa mezani.

Katika bandiko hili nililaumiwa sana.

Jana pale Mwanza, Mhe. Mbowe kaomba maridhiano, swali ni jee Chadema waliposusa, walisusa ili wapate nini kama mwisho wa siku unakuja kubembeleza kuomba maridhiano?.

Siku zote haki haiombwi wala hailetwi kwenye kisahani cha chai, huwa inapiganiwa!.
P

Mkuu Paschal, tufanye walichofanya CHADEMA ni kibaya. Unaposisitiza haki haiombwi wala hailetwi kwenye kisahani cha chai, huwa inapiganiwa - ni mukhtadha wa sentensi hiyo??

Unashauri au kudhani CHADEMA ingefanya nini kupata haki walizosema zimevunjwa wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa?? Tusiishie kusema wangechukua hatua tofauti - tupeleke mpaka mwisho wa ushauri wako.
 
Yeye alichoona cha maana ni kum crush tu Mbowe, si unajua sisi Wasukuma tunavyowaona Wachaga kama ni maadui wa Taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe, aliwahasisha Chadema kususia uchaguzi wa serikali za mitaa, wakasusa, CCM wakatwaa ushindi wa mezani.

Katika bandiko hili nililaumiwa sana.

Jana pale Mwanza, Mhe. Mbowe kaomba maridhiano, swali ni jee Chadema waliposusa, walisusa ili wapate nini kama mwisho wa siku unakuja kubembeleza kuomba maridhiano?.

Siku zote haki haiombwi wala hailetwi kwenye kisahani cha chai, huwa inapiganiwa!.
P

Inategemea haki unapigania kwa nani??

Si kwa huyu Rais wetu Ni jeuri sana sana....wamepigana Mara ngapi wameishia kupewa makesi Kila Mara....wapo Mahakamani

Sheria ngapi zimetungwa kukandamiza vyama vya upinzani...

Ni rafu ngapi zimefanywa kuoenea upinzani...

Uchaguzi Serikali za mitaa umeona

Mzee hajastuka hata mshipa mmoja CCM imetangazwa washindi na wanaendelea kupiga kazi.

Hi I unategemea watapigania wapi haki hii??

Mi naona maridhiano ndio plan ya mwisho...and it's good thing.

Hata kwenye Vita...huwa wanapiganaaa...mwisho wa siku hufanya maridhiano...tumeona haya.

Hebu tuone haya maridhiano yatatufikisha wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe, aliwahasisha Chadema kususia uchaguzi wa serikali za mitaa, wakasusa, CCM wakatwaa ushindi wa mezani.

Katika bandiko hili nililaumiwa sana.

Jana pale Mwanza, Mhe. Mbowe kaomba maridhiano, swali ni jee Chadema waliposusa, walisusa ili wapate nini kama mwisho wa siku unakuja kubembeleza kuomba maridhiano?.

Siku zote haki haiombwi wala hailetwi kwenye kisahani cha chai, huwa inapiganiwa!.
P

Lah! Kweli ukishangaa Ronaldo kushuka kiwango njoo JF usome Pasco anaandika nini Leo kisha soma post zake akiwa katika pick miaka iliyopita. Uzee unachangia.
Nani kabembeleza maridhiano pale Mwanza? Kuweka hoja mezani ya kitaifa ni kubembeleza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe amemshukuru Rais kwa kutumia busara na kukubali katiba mpya kwa kutumia sera liyokuwa kwenye ilani ya uchaguzi ya chadema ... na kuiomba serikali kutokusita kuomba ushauri kwa CDM kwani sera za CHADEMA hazina intellectual property right
Kweli akili za Mbowe ni kubwa na nyingi sana, na kuzielewa mara moja inaitaji uwe makini sana maana unaweza ukamwelewa ndivyosivyo.
Kwangu huyu ni mtoto wa kwanza wa baba wa Taifa.
 
Back
Top Bottom