CHADEMA yakodi vijana kumshangilia Dr Slaa

CHADEMA yakodi vijana kumshangilia Dr Slaa

View attachment 125214Hii ilikuwa kwenye mkutano huko Mbeya .....picha kama hizi sijui zilikuwa za ujenzi wa chama ama kitu gani.....

Za kupiga misosi baada ya kutoa neno kwa makutano kdg kdg mtazoea Mbowe alitolewa anatandika Ugali Mtwara mkasifia ni kiongozi wa watu sasa hawa wamekaribishwa mpunga na ndondo mnalalamika. Tushajua ugonjwa mlo nao mtakunywa tu dawa mtake msitake bila hivyo hamponi nyie!
 
Kutamani kuona gazeti la HOJA linaandika kitu positive kwa CHADEMA ni sawa na kutamani UHURU liandike mema kuhusu CHADEMA.

Unaulizwa "... Kwenye gazeti la hoja wameandika nini"? gazeti la hoja? Sijawahi kuliona hata Lushoto mjini achilia mbali huku kjijini niliko.

Hoja bila shaka liko kama UHURU likisha somwa kwenye runinga na redio linaenda moja kwa moja kufungia maandazi na ile huduma nyingine kwa mama na dada zetu wanao uza maandazi na chapati mtaani.
 
Wadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.

Nawasilisha.

Source: Gazeti la Hoja la Ijumaa, Desemba 6-12, 2013

View attachment 125193View attachment 125194




Utaumia sana roho kwasababu unataka kupingana na Ukweli.
 
Za kupiga misosi baada ya kutoa neno kwa makutano kdg kdg mtazoea Mbowe alitolewa anatandika Ugali Mtwara mkasifia ni kiongozi wa watu sasa hawa wamekaribishwa mpunga na ndondo mnalalamika. Tushajua ugonjwa mlo nao mtakunywa tu dawa mtake msitake bila hivyo hamponi nyie!

Magamba wanatumia njaa ya Watanzania kujifanikisha kisiasa.
 
Sidhani kama kuna mwanasiasa wa upinzani amewahi kuchukiwa na ccm zaidi ya Dr.Slaa!

Hii inadhihirisha kuwa yeye tishio la kweli la utawala uliopo.Fedha zinazotumika kwa mwezi kupambana nae ni kubwa kuliko bajeti ya wizara ya habari,utamaduni na michezo ya mwaka mmoja wa fedha.

Tofauti kati ya Dr.Slaa na wapinzani wanaopendwa na watawala ni uimara wake.Hanunuliki wala hatongozeki.Hii inawapa hasira kubwa watawala na kuamua kutoa ajira nyingi(ni kati ya zile milioni moja alizoahidi kikwete) kupambana na Dr.Slaa ardhini,angani na kwenye mitandao.

Kwa uimara wake,pamoja na misingi,kanuni,maadili na katiba ya chama bora kabisa cha siasa kuwahi kutokea Tanzania,haya mapambano atayashinda kama ambavyo ameshashinda mengine ambayo yalikuwa magumu kuliko hili.
 
Watashindana nasi lakini hawatashinda....Pipoooooooooooooooooz...........
 
Toka nimeanza kusoma magazeti sijawai kusoma gazeti la hoja na sijawai kuona mtu analisoma linamilikiwa na nani?
 
Poamoja sana mkuu. Lakini sidhani kama hoja yako ina mantiki. watu wapumbavu hujadili watu badala ya kujadili hoja
Kwa hiyo huu uzi wako una hoja gani? au hujui maana ya hoja njaa zitakuua dogo rudi ungonini ukalime
 
Yaani hii nchi!!! Hoja kubwa za kila siku ni Chadema na Dr. Slaa. Yaani hakuna wimbo mwingine mtamu kwenye nchi hii kama nyimbo hizi mbili, yaan Chadema na Dr. Slaa. Na mtaziimba kweli mbaka mfikishe ujumbe nje ya mipaka ya nchi yetu ili kuufanya ulimwengu wote ujue kwamba katika Tanzania. Chama cha siasa ni kimoja tu yaani Chadema. Endeleeni kutukuza na kutangaza sana maana tunataka mpaka kufikia mwaka 2015 watanzania wote wawe wametangaziwa kwamba kuna chama mbadala cha kushika dola badala ya Mafisadi. Kinachonipa raha zaidi ni ukweli kuwa chama cha mafidadi ndio watangazaji na waimbaji wakuu wa nyimbo hizi. Kweli Chadema ndio chenyewe.
 
Marobot ya ccm na propaganda mfu eti wakodi watu wakuwashangilia nyie si mulisemahakanyagi kigoma mbona kakanyaga poleni munachekesha sana
 
Back
Top Bottom