CHADEMA yakodi vijana kumshangilia Dr Slaa

CHADEMA yakodi vijana kumshangilia Dr Slaa

Zitto ameshasema AMEJİANDAA KİSAİKOLOJİA KUFUKUZWA! Nyie vinyamkera mnashinda mitandaoni mnajamba jamba tu! Jiandaeni kisaikolojia na nyie...shwaini we!
Kwa hiyo ndo mkodi watu kwa malori kumshangilia Dr Slaa?
 
SLAA kwisha habari yake arudi kwa BABY WAKE josephine wale starehe kwa pesa za ruzuku za CHADEMA

Uliandika hii post ukiwa Chooni na gazeti la HOJA? Lichambie mkuu. Ukiishiwa sema tukuletee...hayaishagi mezani hayo
 
we kinguruwe aliye kwambia chadema wamemvua uanachama zitto ni nani hebu lione linavyo kurupuka utafikiri kibaka
 
Mkuu, Dr Slaa kwa sasa kafulia ile mbaya. Yaani amepoteza mvuto mpaka anakodi watu wa kumshangilia? Kumbe ndo maana akina Tumaini Makene na Yeriko Nyerere wakaweka picha za 2010
Mkuu una kazi kubwa sana kuwabadili watu. Utaishia kufa kwa presha mbele ya keyboard na screen
 
Uliandika hii post ukiwa Chooni na gazeti la HOJA? Lichambie mkuu. Ukiishiwa sema tukuletee...hayaishagi mezani hayo

utakuwa mdogo wake josephine endeleeni kula ruzuku za misukule, wajanja tushasepa
 
ukweli unaauma eeh?
Mkuu TUNTEMEKE,hakika yale uliyokuwa unatujuza ile juzi kule Kahama yamedhihiri. Wengi walikuwa wanadhani ni porojo za Lumumba kama wao walivyokuwa wanadai. Sasa kumbe hata watu wa media wasionunuliwa na CHADEMA kama Gazeti la Hoja wameliona. Sijaona waandishi walionunuliwa wa Mwananchi, Nipashe, ITV, Star TV, Tanzania Daima wakitujuza kuhusu hilo
 
MCCM Yanawashwa na DR. SLAA, Mbona majanga?

ZZZ.jpg
 
Hayo malori wameyaona wamiliki wa gazeti la KUCHAMBİA la Hoja pekee?
Mkuu, waandishi na wamiliki wa gazeti la Hoja hawajanunuliwa. Magazeti mengine yamenunuliwa na waandishi wake wanalipwa posho na CHADEMA hivyo usitegemee kuwa wataandika kuhusu hayo malori
 
Mkuu, waandishi na wamiliki wa gazeti la Hoja hawajanunuliwa. Magazeti mengine yamenunuliwa na waandishi wake wanalipwa posho na CHADEMA hivyo usitegemee kuwa wataandika kuhusu hayo malori

Hoja ni gazeti la KUCHAMBİA
 
Tangu nizaliwe sijawahi kulisikia hili gazeti naona limeamua kuandika habari hii ili liuze kwa maCCM
 
Wadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.

Nawasilisha.

Source: Gazeti la Hoja la Ijumaa, Desemba 6-12, 2013

View attachment 125193View attachment 125194




Unaongea kama umekatika kichwa vile, yaani bla bla blah!!
 
Back
Top Bottom