CHADEMA yakodi vijana kumshangilia Dr Slaa

Mlimpa Zito hela nyingi mno,Ona sasa hata kazi ya kuvuruga cdm imekwama.amestukiwa mapema mno.Kama hamuwi makini mtakuwa munaingia mkenge kila siku
 
Wadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.

Nawasilisha.

Source: Gazeti la Hoja la Ijumaa, Desemba 6-12, 2013

View attachment 125193View attachment 125194

kwahiyo maccm Gazeti la hoja ndiyo msahafu wao.Kwani hoja na Uhuru kunatofauti gani.Wana andika ndoto walizo ota na wake zao
 
Wadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.

Nawasilisha.

Source: Gazeti la Hoja la Ijumaa, Desemba 6-12, 2013

View attachment 125193View attachment 125194

Hat mnge piga propaganda vipi Hilo li ccm linaporomoka tena kwa kasi.Hayo marushwa yenu kwenye maofisi yenu nani atakaye kubali muendelee kutawala wakati mmeshindwa hivi.Kinana mbaka anatubu huko Mbeya kwa udhalimu mlio wafanyia Watanzania
 
Wadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.

Nawasilisha.

Source: Gazeti la Hoja la Ijumaa, Desemba 6-12, 2013

View attachment 125193View attachment 125194

gazeti la kada wa cccccccm diwani fulani kinondoni;;;; hiyo ndiyo kazi yao;;;;; ruzku yake buku 7 za lumumba na makanjanja wengi
 
jamaa aliye andika inaonekana alikamia sana kwani hadi ameandika zitto amefukuzwa uanachama.huu siupotoshaji.? Anajikanyagakanya sana.mtahangaika sana lakini hasara muliyo ipata kumuhonga zitto na wanzie ni kubwa ndiyo maana manatapatapa.
 
Mkuu, wewe kama unaita ni upotoshaji, okay. Cha muhimu katika uzi huu ni kuwa CHADEMA wamekodi malori kusafirisha vijana wa kumshangilia Dr Slaa
 
We unashinda jf hivi unalala saa ngapi na Mkeo?. jitafakari kaka Huna uqezobwa kushindana na Dr katika siasa na kimsing chama hakijengwi wala kubomolewa na JF.
 
Wadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.

Nawasilisha.

Source: Gazeti la Hoja la Ijumaa, Desemba 6-12, 2013

View attachment 125193View attachment 125194

slaa kama mzo..ga, hana jipya tena
 
gaziti la hoja au vihoja? kumbe kuna gazeti linaitwa hoja?
 
Chabruma na chanzo chake cha Gazeti la Hoja

Gazeti hili la Hoja huwa tunanunua kufungia vitumbua sio kusoma!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hivi ndivyo Magamba wanavyochukua nchi, tuko hapa 2015 mtaniambia nani kashinda, CCM bado ipo ipo sana!
Siku mkijifunza kupiga kura, na wenzetu walioko mtaani wanakomaa na biashara daily ambao hata muda wa kupiga kura hawana labda! ila bongo kufikia level hiyo na uchumi huo si leo...
 
Mleta uzi unaakili za samaki kwani unaonekana ni mkurupukaji kwan zito hajafukuzwa ila amevuliwa uongozi, pia unabwabwaja tu bila ushahidi weka picha ya hayo malori chadema iliyoyakodi na si kubadili matumizi ya kichwa
 
Wadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.

Nawasilisha.

Source: Gazeti la Hoja la Ijumaa, Desemba 6-12, 2013

View attachment 125193View attachment 125194

Weka picha njegele wewe.
 
We unashinda jf hivi unalala saa ngapi na Mkeo?. jitafakari kaka Huna uqezobwa kushindana na Dr katika siasa na kimsing chama hakijengwi wala kubomolewa na JF.

Walter achana na njegele huyu.. cha msingi kaingiza siku.
 
Back
Top Bottom