kifo kibaya mno. Hii saccos imekufa vibaya mno
jamii ya mafisadiZa kupiga misosi baada ya kutoa neno kwa makutano kdg kdg mtazoea Mbowe alitolewa anatandika Ugali Mtwara mkasifia ni kiongozi wa watu sasa hawa wamekaribishwa mpunga na ndondo mnalalamika. Tushajua ugonjwa mlo nao mtakunywa tu dawa mtake msitake bila hivyo hamponi nyie!
Mara ooh picha za mwaka juzi, mara ooh wamekodi watu mbona mnajiabisha nyie vjana,
Gazeti la tz daima/chadamu ni kwa ajili ya kuchambia
Gazeti la HOJA ni gazeti la KUCHAMBİA
Shangaa ???
Mtahangaika sana!Wadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.
Nawasilisha.
Source: Gazeti la Hoja la Ijumaa, Desemba 6-12, 2013
View attachment 125193View attachment 125194
we kuona gazeti tu la hoja mbio kupost hapa ukifikiri wasomaji ni wavivu wa kufikiri kama wewe. Huwezi kumdanganya mtu mwenye akili eti awa nunue umati wote huo.Fikra za maccm zina weza kuamini upuuzi huo kwa sababu wenyewe ndiyo hufanya hivyoWadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.
Nawasilisha.
Source: Gazeti la Hoja la Ijumaa, Desemba 6-12, 2013
View attachment 125193View attachment 125194