CHADEMA yajiengua UKAWA

Status
Not open for further replies.
Wakati wote ccm wanataka kuuvunja umoja wa Ukawa kwa njia yoyote ile ili waendelee kuongoza lakini imeshindwa. Jinsi walivyo wajinga wanafikiri wananchi hawajui kwamba ACT ni tawi la CCM hivyo CCM wanataka kujipenyeza ndani ya Ukawa kwa jina la ACT.Hawawezi kufanikiwa na inaelekea itabaki na ujinga huu hadi itakapotimuliwa ikulu.
 
Nilifikiri Zitto Kabwe ndiye mwenye shahada pekee ndani ya CHADEMA kumbe kuna wabobezi...!
 
Haya majina mbona ya upande mmoja kama chama cha imani, napata mashaka na hiki chama. Potelea mbali kama nitaambiwa mdini hapa mwisho wa siku kuna watu itakula kwao ingawa wimbo wa ukombozi twaimba sote

Wewe ndio mdin coz kitu cha kwanza kilichokutuma kwenye akili yako ni kulinganisha majina kwa imani ya uislamu na u Kristo .achana na fikra za kimasikini .kwani hayo majina umeambiwa wamechaguliwa au Hawa ni watangaza nia tu.umeambiwa waislamu wamezuiwa kutangaza nia ? Shame on you
 
makubaliano ndani ya ukawa ni kuwa kila chama kitakuwa na mgombea wake wa urais alafu watakaa pamoj kukubaliana ni yupi anayekubalika zaidi,vyama vyote vinavyounda ukawa wameshatangaza ratiba zao za ndani,Hizi propaganda kwenye karne ya sayansi na technolojia!!!!!haya jitaidini sana
 
Haya ndio magazeti ambayo Pres Uhuru kayaita ni ya kufungia nyama
 
Mbweha ni mbweha tu hata akivalishwa pajama akalala kwenye godoro ndani ya chandarua!.

Kweli shetani hana aibu!

Mleta mada, unafahamu makubaliano ya UKAWA kwenye michakato yote unayotaka kuitumia kutimiza ushetani wako?
 
Au huyu jamaa kashajua sheria ya makosa ya mitandao adhabu yake ni 2000Tsh only. Ndo maana kaandiaka haya
 
[

Wengine msiwe mnawajibu maana wanatafuta
Siri za UKAWA kwa njia zote ikiwemo na Hii
Wewe ukitoa tu ukweli wa ukawa tayar ananasa.
Watu wengi hujifanya wamepotea njia kumbe anataka akusome mawazo yako
Schans naye mkuu hajui alitendalo





QUOTE=Tabby;12700122]Mbweha ni mbweha tu hata akivalishwa pajama akalala kwenye godoro ndani ya chandarua!.

Kweli shetani hana aibu!

Mleta mada, unafahamu makubaliano ya UKAWA kwenye michakato yote unayotaka kuitumia kutimiza ushetani wako?[/QUOTE]
 
kiukweli nakiri leo mbele ya hadhara hii kwamba sijawahi kumdharau binadamu kwa kiwango nilichomdharau mleta uzi huu !
 
Sasa hasira za vyama wanazileta mpaka kwenye umoja aaaagh
Nia ni kuing'oa ccm mambo mengine baadaye
 
Gazeti hili linamilikiwa na Waziri mmoja aliyetimuliwa kuhusu sakata la ESCROW (japo majuzi amaesafishwa katika mazingira yanayoweza kueleweka katika mazingaombwe tu). So, it's no rocket science kuelewa kwanini gazeti na mmiliki wake wangetamani kuona Chadema sio tu wanatoka UKAWA bali pia wanaangamia. Itambulike kuwa CCM imekuwa hifadhi muhimu kwa watu kama waziri huyo wa zamani, na pindi UKAWA wakifanikiwa kuingia Ikulu, basi segerea inawasubiri.

naimani hii iliyojibu hapa ni ID ya Lisu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom