CHADEMA yajiengua UKAWA

Status
Not open for further replies.

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,531
Na Mwandishi Wetu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina dalili zote za kujiengua kutoka kwenye umoja wa vyama vya siasa vinavyotokana na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), gazeti la TAIFA IMARA linachambua.

CHADEMA imeonesha dalili tatu za wazi za kujiengua kutoka kwenye umoja huo kabla ya kufikia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatatu ya Oktoba 25, mwaka huu baada ya kuanza kufanya maandalizi ya uchaguzi huo kivyake na kutofautiana kimsimamo juu ya kujiunga kwa chama cha siasa cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Zuberi Kabwe.

Dalili ya kwanza ya CHADEMA kujiengua kwenye UKAWA ambao ni umoja shinikizi wa kikatiba ulioanzishwa Februari mwaka jana, kwa kuvihusisha vyama vyingine vya CUF, NLD na NCCR-Mageuzi ni kushindwa kuheshimu utaratibu mpya wa kuachiana na majimbo ya uchaguzi. Hilo linatokana na ukweli kwamba, chama hicho imeanza mchakato wa kuorodhesha wanachama wake wasomi wanaotaka kuwania ubunge na udiwani kwenye maeneo mbalimbali bila kujali kwamba maeneo hayo kuna wabunge wa vyama vingine kama vitasimamisha mgombea kwenye maeneo hayo au la.

Ifuatayo ni orodha ndefu ya wanachama wa chama hicho waliojitosa kuwania ubunge kwenye majimbo mbalimbali ya uchaguzi upande wa Tanzania Bara. Jimbo la Butiama, waliojitokeza na wasifu wa elimu yao ukiwa kwenye mabao ni Wanchoke Juma Chinchibera (Shahada ya Uzamili) na Graduce Lucas (Shahada ya Uhusiano wa Jamii na Masoko). Jimbo la Bunda, Yeremia Kulwa Mganja (Shahada ya Uzamili).Jimbo la Musoma Vijijini, Anna Ryoba (Shahada ya Elimu na Sayansi ya Jamii), Dkt Ellison Mujungu (Shahada ya Uzamivu), Ferdinand Chiguma (Shahada ya Uzamili katika Masoko) na John Kitoka (Shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala).

Jimbo la Rorya, ni Edoro C. Edoro (Shahada ya kwanza), Matiko Seruka (Shahada ya kwanza ya Elimu) na Opiyo G Opiyo (Shahada ya Sheria). Jimbo la Tarime, Sunday Magacha (Shahada ya Uongozi na Utawala katika Elimu), Jimbo la Bariadi Mashariki wanao wania ni Masanja Madoshi (Shahada ya Sheria), Robert Gwabo (Shahada ya kwanza ya Elimu), Manyangu Kulengwa (Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Fedha), Martin Makondo (Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara) na Joseph Buluba (Shahada ya Uzamili Utawala na Biashara).

Jimbo la Busega wanaopambana ni Masalu Machege (Shahada ya Uboharia na Ugavi), David Nicas (Shahada ya Udaktari), Moses Masunga (Shahada ya Utawala na Biashara), Jeremiah Masuka (Shahada ya Elimu) na Lutandula Mabimbi (Shahada ya Sayansi ya Wanyama). Wanaowania Jimbo la Bariadi Magharibi, Zacharia Shigukulu (Shahada ya Uzamili ya Uchumi na Maendeleo ya Jamii), Martin Mlunja (Shahada ya Uhandisi, Ukadiriaji wa Majengo), Winfrida Sayi (Shahada ya Juu-Utawala na Masoko), Emmanuel Chonza (Shahada ya Kilimo, Uchumi na Biashara), Baega Masuna (Shahada), Mashuda Wilson (Shahada y Uhandisi wa Madini) na Joseph Buluba (Shahada ya Uzamili-Utawala na Biashara).

Wanaotangaza nia kuwania Jimbo la Maswa Mashariki, Mrugwa Mashenene (Shahada ya TEHAMA) na Busulu Mahangi (Shahada ya Uongozi na Utawala). Jimbo la Msalala, Ezekiel Joseph (Shahada ya Elimu) na Tole Ntemiatalemaga (Shahada ya Kompyuta). Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi (Shahada Uzamili ya Sheria za Uchumi) na Francis Kasili (Shahada ya Uzamili-Biashara). Jimbo la Kahama, anayewania ni Maige Hungwi mwenye Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara.

Jimbo la Sengerema, Revocatus Makoye mwenye Shahada ya Elimu-Uchumi. Jimbo la Ukerewe anayewania ni John Musita (Shahada ya Uzamili ya Utawala) na Eugen Mkama (Shahada ya Uhandisi). Jimbo la Magu, Daha Joseph (Shahada-Elimu) na Lulengo Kaswahili (Stashahada ya Juu ya Uhasibu). Jimbo la Misungwi, Jasper Ntobi mwenye Shahada ya Elimu- Mambo ya Afya ya Binadamu.

Jimbo la Chato lililopo Geita, anayewania ni Malale Bujiku (Shahada-Elimu). Jimbo la Nyang’wale Ernest Baringi (Shahada). Jimbo la Karagwe lililopo Kagera ni Victo Runyoro (Shahada ya Uzamili-Utawala na Biashara), Jimbo la Kyerwa, Solomon Kambarangwe (Shahada-Utawala na Biashara), Jimbo la Ngara, John Malanilo (Shahada ya Uzamili- Utawala) na Peter Bujari (Shahada ya Uzamili- Utawala na Biashara).

Jimbo la Muleba Kaskazini, Ansbert Ngurumo (Shahada ya Uzamili- Utawala wa Miradi na Biashara. Jimbo la Nkenge, Erasmus Erneus (Shahada-Elimu).

Ukanda wa Nyanda za Juu Kusini, kwenye Jimbo la Kalambo, Richard Kiwali (Shahada- Sheria), Jimbo la Sumbawanga, Egida Nkanga (Shahada ya Juu- Ugavi na Manunuzi) na Alfred Sotoka (Shahada ya Uzamili-Sheria). Jimbo la Njombe Kaskazini, Prosper Kasenegala (Shahada- Biashara na Masoko), Jimbo la Njombe Kusini, Emmanuel Masonga (Shahada- Maendeleo ya Jamii Vijijini), Jimbo la Ludewa, Dicley Mlelwa (Shahada –Sheria), Jimbo la Mufindi, Frederick Kibweho (Shahada ya Uzamili-Sheria) na Creptone Madunda (Shahada ya Uzamili- Maendeleo ya Jamii).

Mkoa wa Mbeya kwenye Jimbo la Mbeya anayewania ni Shibanda Mwashibanda (Shahada-Elimu), Jimbo la Mbeya Vijijini, John Mwamengo (Shahada-Elimu), Brighton Nswila (Shahada ya Uzamili- Uhasibu na Fedha), Moses Mwaigaga (Shahada-Elimu) na Joseph Ryata (Shahada-Elimu). Mbozi Mashariki wanaowania ni Fadhil Mwaya (Shahada-Elimu), Sophia Mwabenga (Shahada-Elimu), Andrew Bukuku (Shahada-Elimu), Albert Chenza (Shahada-Biashara), Pascal Haonga (Shahada-Elimu) na Bob Mwampashe (Shahada-Uhasibu).

Jimbo la Kyela, Lusekelo Mwasasumbe (Shahada-Elimu), Alinanuswe Mwalwenge (Shahada-Kilimo), Andrew Bukuku (Shahada-Elimu) na Clemency Kyando (Shahada-Uchumi). Jimbo la Chunya yupo Mchungaji Bryson Mwansimba (Shahada-Theolojia), Jimbo la Mbalizi wanao wania ni Wolfgang Wanga (Shahada-Elimu) na Satiel Jonace (Stashahada Ualimu).
Rungwe Mashariki, Ambakisye Mwakifwange (Shahada-Biashara na Utawala), Jimbo la Songwe, Mpoki Mwankusye (Shahada ya Uzamili- Maendeleo ya Jamii), Jimbo la Ileje, Nicolaus Mtindya (Shahada ya Uzamili-Elimu), Jimbo la Lupa, Philipo Mwakibinga (Shahada- Lugha),

Mkoa wa Arusha, Jimbo la Arusha Mjini, Julius Sabuni (Shahada-Sheria), Ngorongoro anayewania ni Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara na Jimbo la Arumeru Magharibi ni Gibson Meiseyeki (Shahada- Maendeleo ya Jamii).

Mkoa wa Tanga kwenye Jimbo la Korogwe Mjini, Dastan Sagwavu (Shahada-Ustawi wa Jamii) na Kisaka Kimea (Shahada –Elimu). Jimbo la Muheza, Charles Mgaya (Shahada ya Uzamili- Utabibu wa Wanyama) na Mohamed Wandi( Stashahada ya Juu-Uongozi). Handeni anayewania ni Charles Mattu (Stashahada ya Juu-Kompyuta).

Dalili ya pili kwa CHADEMA kujiondoa kwenye UKAWA ni jitihada za chama hicho kutangaza utaratubu wa kumpata mgombea wake wa nafasi ya urais bila kuvishirikisha vyama vingine vinavyounda UKAWA. CHADEMA imetangaza ratiba ya kuwapata wagombea wake juzi kupitia kwa Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na CHADEMA mgombea wa nafasi ya urais atapatikana Agosti 4, mwaka huu baada ya mkutano mkuu wa taifa wa chama hicho kulipitisha jina lake. Hiyo itakuwa ni siku chache tu kabla ya kampeni za uchaguzi mkuu zitakazochukua siku 75 kuanza.
Katika ratiba hiyo, CHADEMA haijaonesha mchakato wowote ukaovihusisha vyama vingine vinavyounda UKAWA katika mchakato wa kumpata mgombea wa nafasi ya Urais. UKAWA ni umoja ulioanzishwa Februari mwaka jana ukiwa ni kikundi shinikizi katika mchakato wa kikatiba.

Tatu, ni chama hicho kukataa kukipokea chama cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe aliyefukuzwa kwa kuvuliwa uanachama hivi karibuni ndani ya CHADEMA. CHADEMA imekataa ACT isijiunge na UKAWA kutokana na kutokuwa na imani na kiongozi huyo hasa baada ya kumtuhumu kwa muda mrefu kukihujumu chama hicho. Wakati CHADEMA kikimkataa Zitto na ACT yake, vyama vingine vya NCCR-Mageuzi, CUF na NLD vimeonekana wazi kuridhia ACT kujumishwa katika umoja.

Kuwepo kwa pande mbili zinazovutana juu ya ACT ni wazi kuwa CHADEMA ipo tayari kujiondoa UKAWA na kuviachia vyama vingine viendelee na umoja huo. Hilo linatokana na ukweli kwamba, chama hicho kikuu kinamtazama Zitto na baadhi ya viongozi waandamizi wa ACT kuwa ni wanasiasa wasiotabirika hasa kutokana na matukio ya nyuma wakiwa ndani ya CHADEMA.

Kwamba Zitto na Katibu Mkuu wa ACT, Samson Mwigamba walitaka kufanya mapinduzi ya kiuongozi ndani ya CHADEMA kwa kuandaa waraka wa siri. Tuhuma nyingine zilizokuwa zimesambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii zilimlenga Zitto peke yake ambapo ilidaiwa kuwa amekuwa akivujisha siri za chama hicho kwa maofisa wa usalama.

Katika mazingira ya namna hiyo, ni wazi kuwa viongozi hao wa ACT hawawezi kufunguliwa milango ndani ya UKAWA kama tu CHADEMA itaendelea kuwepo ndani ya umoja huo. Hivyo basi, endapo vyama vingine vitaruhusu ACT kuwa mshirika wa UKAWA, CHADEMA kitajiengua.

Source: Taifa Imara
 
source Taifa Imara

Huo wimbo kaupigie lumumba huku sisi wimbo wetu ni UKAWA tulianza na MUNGU na tatamaliza na MUNGU mlioanza na shetani mtajibeba.
 
CUF, NCCR na NLD tayari walishatangaza ratiba za wagombea wao , mbona hawakuandika kuhusu hilo? Mbona hawasemi kuhusu CUF Zanzibar kutangaza mpaka wagombea wa Majimbo? Heading inamislead ........
 
Haya magazeti ya akina Samson Mwigamba mnatuletea huku? ... Mtakaa sana kusubiri UKAWA kusambaratika ... Huu ndo mwisho wa Historia ya CCM ... Hakika hakutakuwa na machozi wala simanzi kwani CCM imegeuka mbwa mwenye kichaa .. inawatafuna wananchi ....
Na Mwandishi Wetu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina dalili zote za kujiengua kutoka kwenye umoja wa vyama vya siasa vinavyotokana na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), gazeti la TAIFA IMARA linachambua.

CHADEMA imeonesha dalili tatu za wazi za kujiengua kutoka kwenye umoja huo kabla ya kufikia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatatu ya Oktoba 25, mwaka huu baada ya kuanza kufanya maandalizi ya uchaguzi huo kivyake na kutofautiana kimsimamo juu ya kujiunga kwa chama cha siasa cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Zuberi Kabwe.

Dalili ya kwanza ya CHADEMA kujiengua kwenye UKAWA ambao ni umoja shinikizi wa kikatiba ulioanzishwa Februari mwaka jana, kwa kuvihusisha vyama vyingine vya CUF, NLD na NCCR-Mageuzi ni kushindwa kuheshimu utaratibu mpya wa kuachiana na majimbo ya uchaguzi. Hilo linatokana na ukweli kwamba, chama hicho imeanza mchakato wa kuorodhesha wanachama wake wasomi wanaotaka kuwania ubunge na udiwani kwenye maeneo mbalimbali bila kujali kwamba maeneo hayo kuna wabunge wa vyama vingine kama vitasimamisha mgombea kwenye maeneo hayo au la.

Ifuatayo ni orodha ndefu ya wanachama wa chama hicho waliojitosa kuwania ubunge kwenye majimbo mbalimbali ya uchaguzi upande wa Tanzania Bara. Jimbo la Butiama, waliojitokeza na wasifu wa elimu yao ukiwa kwenye mabao ni Wanchoke Juma Chinchibera (Shahada ya Uzamili) na Graduce Lucas (Shahada ya Uhusiano wa Jamii na Masoko). Jimbo la Bunda, Yeremia Kulwa Mganja (Shahada ya Uzamili).Jimbo la Musoma Vijijini, Anna Ryoba (Shahada ya Elimu na Sayansi ya Jamii), Dkt Ellison Mujungu (Shahada ya Uzamivu), Ferdinand Chiguma (Shahada ya Uzamili katika Masoko) na John Kitoka (Shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala).

Jimbo la Rorya, ni Edoro C. Edoro (Shahada ya kwanza), Matiko Seruka (Shahada ya kwanza ya Elimu) na Opiyo G Opiyo (Shahada ya Sheria). Jimbo la Tarime, Sunday Magacha (Shahada ya Uongozi na Utawala katika Elimu), Jimbo la Bariadi Mashariki wanao wania ni Masanja Madoshi (Shahada ya Sheria), Robert Gwabo (Shahada ya kwanza ya Elimu), Manyangu Kulengwa (Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Fedha), Martin Makondo (Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara) na Joseph Buluba (Shahada ya Uzamili Utawala na Biashara).

Jimbo la Busega wanaopambana ni Masalu Machege (Shahada ya Uboharia na Ugavi), David Nicas (Shahada ya Udaktari), Moses Masunga (Shahada ya Utawala na Biashara), Jeremiah Masuka (Shahada ya Elimu) na Lutandula Mabimbi (Shahada ya Sayansi ya Wanyama). Wanaowania Jimbo la Bariadi Magharibi, Zacharia Shigukulu (Shahada ya Uzamili ya Uchumi na Maendeleo ya Jamii), Martin Mlunja (Shahada ya Uhandisi, Ukadiriaji wa Majengo), Winfrida Sayi (Shahada ya Juu-Utawala na Masoko), Emmanuel Chonza (Shahada ya Kilimo, Uchumi na Biashara), Baega Masuna (Shahada), Mashuda Wilson (Shahada y Uhandisi wa Madini) na Joseph Buluba (Shahada ya Uzamili-Utawala na Biashara).

Wanaotangaza nia kuwania Jimbo la Maswa Mashariki, Mrugwa Mashenene (Shahada ya TEHAMA) na Busulu Mahangi (Shahada ya Uongozi na Utawala). Jimbo la Msalala, Ezekiel Joseph (Shahada ya Elimu) na Tole Ntemiatalemaga (Shahada ya Kompyuta). Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi (Shahada Uzamili ya Sheria za Uchumi) na Francis Kasili (Shahada ya Uzamili-Biashara). Jimbo la Kahama, anayewania ni Maige Hungwi mwenye Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara.

Jimbo la Sengerema, Revocatus Makoye mwenye Shahada ya Elimu-Uchumi. Jimbo la Ukerewe anayewania ni John Musita (Shahada ya Uzamili ya Utawala) na Eugen Mkama (Shahada ya Uhandisi). Jimbo la Magu, Daha Joseph (Shahada-Elimu) na Lulengo Kaswahili (Stashahada ya Juu ya Uhasibu). Jimbo la Misungwi, Jasper Ntobi mwenye Shahada ya Elimu- Mambo ya Afya ya Binadamu.

Jimbo la Chato lililopo Geita, anayewania ni Malale Bujiku (Shahada-Elimu). Jimbo la Nyang'wale Ernest Baringi (Shahada). Jimbo la Karagwe lililopo Kagera ni Victo Runyoro (Shahada ya Uzamili-Utawala na Biashara), Jimbo la Kyerwa, Solomon Kambarangwe (Shahada-Utawala na Biashara), Jimbo la Ngara, John Malanilo (Shahada ya Uzamili- Utawala) na Peter Bujari (Shahada ya Uzamili- Utawala na Biashara).

Yaani wewe hakuna siku uka fanyia evaluation ya post zako ukaona unakubalika vipi na jamii ya jamvi hili? Tumia akili wewe ndumila kuwili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom