wapinzani wa ukawa wanatamani sana ukawa usambaratike kabla ya oktoba. hakuna jambo linalohofiwa na ccm kama ukawa. kuna kigogo mmoja serikalini alisema kuwa hakuna jambo linalowaumiza ccm kama umoja huu wa upinzani. wanafanya kila mbinu kuchonganisha vyama vinavyounda umoja huu.
Mbona hakuna hoja zilizotolewa kiasi kwamba hata mtoto wa darasa la tano akisoma anafahamu kwamba taarifa na uandishi wa habari zipo chini ya kiwango?. Taifa imara mnaliuwa gazeti lenu.
eti nini?,cuf imemkubalije YUDA wakati lipumba alisema maamuzi walofanya cdm ni sahihi na wanawaunga mkono.
jana mbatia kasema wanaenda vizuri na wanakaribia kumpata mgombea wa ukawa kwa uraisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.