CHADEMA yaizika CCM Ukonga

CHADEMA yaizika CCM Ukonga

Mbona huyu mama afisa uhusiano wa manispaa ya ilala ameitaja kivule kuwa uchaguzi unarudiwa?

Hapana mkuu uchaguzi unarudiwa katika mitaa mingine 23.Kule Kivule tayari Kamanda Mwita Waitara ameshaanza kazi.
 
Huyo kamanda wa Sinza,hatufai ,why kapoteza kata nzima?!Awajibishwe,huo ni uzembe,mie mtaani kwangu japo nimehamia muda mfupi,na sina cheo chamani,nimepiga mzigo nikiwashirikisha madogo wakanielewa na tukashinda Mwenyekiti na wajumbe wote?

Sinza tumepiga kura mara 2 kwenye kituo kile kile au tukaenda kituo cha pili.
 
Kumbukeni ma CCM huenda yameweka mtego wa kusubiri wakazi wa kilimanjaro waondoke ili wasiwepo kipindi cha marudio ya uchaguzi. nina wasiwasi sana na hili jambo. waambieni wakazi wa Kilimanjaro wasubiri uchaguzi ndio waondoke kwenda ku-hiji!
 
Acha unafiki mkuu....
 
Jimbo la Ukonga huyo mbunge mama lazima aondolewe ,kuhusu segerea namuaminia Mpendazoe lazima arudi kuchukua jimbo lake maana tunajua Milton alivyocheza rafu.
 
Jimbo la Ukonga huyo mbunge mama lazima aondolewe ,kuhusu segerea namuaminia Mpendazoe lazima arudi kuchukua jimbo lake maana tunajua Milton alivyocheza rafu.

Hawa CCM wana mgogoro mkubwa huko Ukonga.Jerry Silaa na Eugene Mwaiposa wanaparurana kila mtu anataka agombee ubunge Ukonga.

Wananchi wanaona wote hawafai na wanapalilia matumbo yao tu kwa sababu wote wameshindwa kuwasaidia wananchi wa Ukonga kuepuka dhahama ya ubovu wa barabara.

Jerry Silaa ambaye ni Meya wa Ilala na mjumbe wa Kamati Kuu CCM kushindwa vibaya kwenye mtaa wake ni rasharasha tu..za masika zinakuja!
 
Haa haa, hongereni, mwita mwikabe amegombea uenyekiti wa mtaa? Ama..

Ndiyo mkuu..wananchi wa Kivule walimuomba Mwita Mwikabe agombee mtaa wenye watu wengi kuliko yote DSM wa Kivule.Wananchi walichoshwa na ubovu wa barabara na rushwa iliyovuka mipaka kwenye ofisi ya serikali za mitaa na unyang'anyi wa viwanja vya wananchi.

Mwita alikubali na ameshinda kwa ushindi wa Kimbunga!
 
kazi nzuri sana hii. hongera mkuu Mwita Maranya! mkuu Molemo kamanda waitara hagombei tarime mwakani? naona ameanza kukita mizizi jimbo la ukonga.
 
Last edited by a moderator:
kazi nzuri sana hii. hongera! mkuu Molemo kamanda waitara hagombei tarime mwakani? naona ameanza kukita mizizi jimbo la ukonga.

Kamanda tpaul kuhusu hilo atalisemea mwenyewe.Kama ana nia na jimbo la Tarime naamini wakati ukifika atafuata taratibu za kawaida za chama kuomba nafasi ya kuwakilisha chama.

Tarime huko pia kwenye uchaguzi huu CCM imefutwa rasmi.
 
Last edited by a moderator:
kazi nzuri sana hii. hongera mkuu Mwita Maranya! mkuu Molemo kamanda waitara hagombei tarime mwakani? naona ameanza kukita mizizi jimbo la ukonga.

Mkuu kama atagombea Ukonga itakuwa njema maana ataepusha mgongano na Heche kule Tatime! Huo mkakati nimeupenda nchi lazima tuigawane! Kama Kishapu nako hatuna mgombea ni bora Mpendazoe akarudi ili Segerea tuliachie jembe jingine la UKAWA!
 
Last edited by a moderator:
Mbona huyu mama afisa uhusiano wa manispaa ya ilala ameitaja kivule kuwa uchaguzi unarudiwa?

TAWA
Mtaa wa Kivule utakaorudia kufanya uchaguzi upo kata ya Majohe.
Mtaa wa Kivule alioshinda Uenyekiti Kamanda Mwita Waitara upo kata ya Kivule na ndio mtaa wenye wakazi sana hapa jijini Dsm kama alivyodokeza kamanda Molemo.
 
Last edited by a moderator:
Sinza tatizo nini hongera makamanda wotee ukonga
 
Bila kusahau wale wanaopisha mradi wa gesi mwaka wa tatu huu awajui malipo yao yatakuwaje. Wengine wasitisha ujenzi wa nyumba ili hali bado azijakamilika wakihofia kupat hasara! Makamanda wa ukonga walifatilie hili linaweza likawa janga lengine laupigaji hela...
 
Back
Top Bottom