- Thread starter
- #61
Nipo Imara kama chuma cha pua. Naona tu harakati zenu za kutaka kunyakua dola. Mmeacha uanaharakati sasa mnaingia kwenye siasa za ushindani. Sasa naona siasa zinanoga manake utamu wa siasa ufike mashinani hapo ndipo utaona kwamba siasa imetapaa nchi nzima. Siyo siasa za Arusha tu na Tarime, zifike Kyamyorwa, Umugakorongo, Nyabihanga, Matiri, Lityumbandosi, Mikunya, Lilondo, inyonga, nk.
Mzee siasa za nchi hii nazifamu ndio maana nikasema vile manake ukawa naona mmeingia chini kabisa kwa wakulima, wakwezi na wafugaji. Ili kuleta ushindani inabidi CCM watafute kifaa vinginevyo mnaweza kupita na moto wa tipa.
Mbona kamanda Mwita Maranya yupo kimya sana?
Pamoja sana mkuu Kimbunga...
Ukiona kobe ameinama ujue anatunga sheria..
Last edited by a moderator: