CHADEMA yaisambaratisha CCM Kyela

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA kimeibomoa vibaya ngome ya waziri wa Uchukuzi Harisson Mwakyembe jimboni kwake Kyela.

Hali hiyo imetokea baada ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mbeya Juma Mwalunga kujiunga na CHADEMA na kulaani CCM kwamba ni chama kilichochoka na kinapaswa kuondolewa madarakani mara moja.

Kiongozi huyo alikuwa ni nguzo kuu ya CCM jimboni Kyela na ndiye aliongoza kampeni za CCM jimboni humo.

Wanachama kadhaa wa CCM waliohojiwa kuhusu uamuzi huo wameshtushwa na kusema ni wazi CCM itazikwa Kyela.

Source:Tanzania Daima.
 
cc to Juliana Shonza
 
Last edited by a moderator:

Wewe twende polepole unaharaka kama unaoga nje,

umesema ccm imechoka lakini ccm inamiaka 50 lakini slaa anaumri mara mbili ya ule wa ccm hapa na kachoka na anapaswa kuondolewa?

Kwani mjumbe wa nec akiondoka ndiyo ccm imekufa akili yako kama ya lisu mkuu full kuropoka.
 
Mkuu asante kwa kutuletea uzi,magamba lazima wajifunze kua wapinzan shupav 2015
Wajifunze kuandamana au kupigana bungeni sikuelewi make chadema wanaongoza kwa mambo machafu sasa nani ajifunze mambo machafu toka kwao.
 
Hapa kwetu kyela neno CCM ni tusi kubwa sana huhitajiki utaje hadharani hata bibi angu pale Bujonde, mjomba pale Katumba Songwe hawalitamki tena,. Mwakyembe hapa analijua hilo
 
Nashindwa kuamini kwamba Mwakyembe anapoteza umaarufu wake jimboni haraka kiasi hiki. Nini kinasababisha hali hii wakati 2010 alishinda kwa kishindo!!! na kama nakumbuka vizuri CDM walim'support'???
 
CHADEMA kwao hata mbuzi wa mwanaccm wakienda kwenye zizi la mwanachadema wanasema CCM imebomoka ni watu wa ajabu sana.
 
Nashindwa kuamini kwamba Mwakyembe anapoteza umaarufu wake jimboni haraka kiasi hiki. Nini kinasababisha hali hii wakati 2010 alishinda kwa kishindo!!! na kama nakumbuka vizuri CDM walim'support'???
Hizo ni ndoto za mchana wewe ukitaka kujua kuwa mwakyembe mtambo katie mguu kyela uone kiama chako kitakavyokuwa kikubwa.
 
Chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA kimeibomoa vibaya ngome ya waziri wa Uchukuzi Harisson Mwakyembe jimboni kwake Kyela.

Hali hiyo imetokea baada ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mbeya Juma Mwalunga kujiunga na CHADEMA na kulaani CCM kwamba ni chama kilichochoka na kinapaswa kuondolewa madarakani mara moja.

Kiongozi huyo alikuwa ni nguzo kuu ya CCM jimboni Kyela na ndiye aliongoza kampeni za CCM jimboni humo.

Wanachama kadhaa wa CCM waliohojiwa kuhusu uamuzi huo wameshtushwa na kusema ni wazi CCM itazikwa Kyela.

Source:Tanzania Daima.

Safi sana. Pipoziiiiiiiiiiiii......
 
Wewe twende polepole unaharaka kama unaoga nje,

umesema ccm imechoka lakini ccm inamiaka 50 lakini slaa anaumri mara mbili ya ule wa ccm hapa na kachoka na anapaswa kuondolewa?

Kwani mjumbe wa nec akiondoka ndiyo ccm imekufa akili yako kama ya lisu mkuu full kuropoka.

Tafadhali sana siongelei habari za Rukwa Bibie.
 
Back
Top Bottom