Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Watu kama Simiyu yetu wasipoandaliwa kisaikolojia kwa msimamo huo watakuwa wendawazimu 2015 au watatumiwa vibaya na wasiasa wenye uchu wa madaraka na wasiokubali kushindwa. Msimamo wao nitishio si tu kwa usalama wao bali wataifa. Ni raisi sana kupewa majambia na virungu wafanye watakavyo ilimradi watangazwe washindi.
Nivizuri watambuliwe mapema hata kama wanatumia id fake....iyo kazi nawakabizi tiss, Kova na team yake.
Nivizuri watambuliwe mapema hata kama wanatumia id fake....iyo kazi nawakabizi tiss, Kova na team yake.