- Thread starter
- #21
Nashindwa kuamini kwamba Mwakyembe anapoteza umaarufu wake jimboni haraka kiasi hiki. Nini kinasababisha hali hii wakati 2010 alishinda kwa kishindo!!! na kama nakumbuka vizuri CDM walim'support'???
Mkuu kwa walio Kyela watanielewa kwamba ukiingia pale mjini Kyela kila kona kuna bendera na matawi ya chadema.Bendera za CCM ni za kuokoteza.