CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

Kampuni gani ilipewa zabuni na pikipik moja imewaghalimu kiasi gani na pes zimetoka wapi.

Hayo ni mambo yalishajadiliwa kwenye vikao na viongozi walifuata utaratibu, subiria ripoti ya mkaguzi mwakani, tena yeye atauliza hayo na atapata majibu yatakayo mkata kiu kama alivyopata majibu kwenye ripoti yake ya juzi. Chadema imesha kaguliwa, ccm mmeweka mpira kwapani.

By the way, unajua kuwa Landcruiser wanazotumia ccm zilitolewa kwa ajili ya serikali na ccm wakaamua kujimilisha?! unajua sakata lilianzia wapi?!
 
atajulia wapi huyo msukule yeye anajua kutumwa kutukana viongozi wa chadema na jioni alipwe buku saba...
 
Wafuta watapata wapi? Zitakuwa Boda Boda vijijini tu.
 
Kwa haya mambo makubwa yanayofanywa namna hii natamka Rasmi:
Ni kichaa tu asiyeipenda Chadema
Ni mwendawazimu tu asiyemuunga mkono Mbowe
Ni taahira tu atakayempinga Rais Slaa
 
Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?

Unataka ikusaidie nini gamba wewe,wivu wa kike tu na nyie agizeni za kwenu pu....m..b..aafu zenu nchi mmeifilisi deni la taifa linakua kila uchwao,bajet za wizara hazitekelezeki sa7bu ya ufisadi wenu,mmebaki kuwasakama wazalendo wa vyama vya upinzan,shame on you.
 
chedema itafika vijijin mpaka vichochoroni
 
Hayo ni mambo yalishajadiliwa kwenye vikao na viongozi walifuata utaratibu, subiria ripoti ya mkaguzi mwakani, tena yeye atauliza hayo na atapata majibu yatakayo mkata kiu kama alivyopata majibu kwenye ripoti yake ya juzi. Chadema imesha kaguliwa, ccm mmeweka mpira kwapani.

By the way, unajua kuwa Landcruiser wanazotumia ccm zilitolewa kwa ajili ya serikali na ccm wakaamua kujimilisha?! unajua sakata lilianzia wapi?!

Mkuu kuuliza sio ujinga. Ungetusaidia sana kama ungetoa hayo majibu kwa faida ya wanajamvi wote tusiojua huu mchakato wa kupata pikipiki uliendaje.
 
Kampuni gani ilipewa zabuni na pikipik moja imewaghalimu kiasi gani na pes zimetoka wapi.

Mkuu nilichosikia mimi kila pikipiki ni 2M na logo ya chadema kila moja imegharimu 1m na tender alipewa muasisi wa chama Mzee Mtei.
 
Mkuu kuuliza sio ujinga. Ungetusaidia sana kama ungetoa hayo majibu kwa faida ya wanajamvi wote tusiojua huu mchakato wa kupata pikipiki uliendaje.
Sisi chadema tunajua,wewe hayakuhusu uache umbea,kama taarifa nenda kwa mkaguzi mkuu utazipata..
 
Back
Top Bottom