stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Ahsante. Na mimi kama wanamageuzi wengine tunachotaka ni uwajibikaji wa vyombo vyetu vya dola bila kuweka hisia za ubaguzi wowote wa kisiasa.
Kama jeshi haliruhusiwi kufanya siasa basi wananchi tuione hali hiyo kivitendo.
Kama ambavyo mjeda huyo atachukuliwa hatua za kinishamu kwa hisia za kushiriki siasa basi tunataka kuona na wengine tena wale wakubwa nao wakishughulikiwa kwa kujihusisha na kushiriki siasa kinyume cha sheria na kanuni za kijeshi.
Nakuona mkuu unahoja tena nzito wakitoka jeshini wanahamia ukada wa ccm mikowa na wilaya, je huko ndo kutenganisha Jeshi
na siasa? watawala watuweke sawa hapa.
Ahsante. Na mimi kama wanamageuzi wengine tunachotaka ni uwajibikaji wa vyombo vyetu vya dola bila kuweka hisia za ubaguzi wowote wa kisiasa.
Kama jeshi haliruhusiwi kufanya siasa basi wananchi tuione hali hiyo kivitendo.
Kama ambavyo mjeda huyo atachukuliwa hatua za kinishamu kwa hisia za kushiriki siasa basi tunataka kuona na wengine tena wale wakubwa nao wakishughulikiwa kwa kujihusisha na kushiriki siasa kinyume cha sheria na kanuni za kijeshi.
sasa hapa napata hisia na iko hivi,
tunalichukia jesh simply kwasababu wanaonekana wanaibeba ccm sio?? hivi jeshi lingekaa kimya mngesemaje? na j unafikir
wamekosea?
Kosa lipo pale alipotumia jezi za jeshi kupiga picha na viongozi wa vyama vya siasa,nadhani ndipo tatizo lilipo,lakini kama angepiga picha bila jezi tusingesikia matamko toka jwtz,ni kweli wanajeshi wajiweke pembeni,wasifungamane na chama chochote kile na kijana huyu dawa sio kumfukuza kazi ni kumpa onyo na kumweleza asome vyema sheria za kazi yake.maana kila kazi ina taratibu zake,yeye kazivunja taratibu hizo,hilo lipo wazi aombe msamaha yaishe na ajikite kusoma zaidi juu ya maadili ya kazi yake.
Hivi mnyika ameishia darasa la ngapi hasa kielimu?shimbo alivitaka vyama vya siasa visigomee matokeo yatalapotangazwa akimaanisha vyama vyote ikiwemo ccm,sasa mnyika alijuaje kwamba ccm ndio watashinda hivyo ushauri wa jeshi unakilenga chadema na cuf tu?halafu mkiambiwa mna miliki kadi mbili mbili mnatoa povu,unaingia kwenye uchaguzi ukijua unaenda kushindwa si bora usishiriki basi
Mwita Maranya nimekupa like kwasababu nimefurah mno kwamba huyu mwanajesh akithibitika kwamba ni mjeda kweli atawajibishwa ipasavyo. ila furaha yangu imezd mara dufu kwamba jeshi limekumbuka wajibu wake ipasavyo na naamin hawatayarudia haya yanaypleta hisia mbaya machoni pa watu.
sio Mnyika aliishia darasa la ngapi bali wewe uliishia darasa la ngapi hata hujui hesabu za LOGIC! chama kimoja kupitia manyanga yake na support ya serikali na vyombo vya dola kina uhakika wa ushindi katika uchaguzi dhidi ya vyama vingine. msemaji mmoja wa chombo kimoja cha serikali ya chama hicho akatoa tamko vyama visipinge matokeo ya ushindi kwa sababu za kiusalama. kwa HESABU ZA LOGIC ambazo wewe hukusoma ni nani anaambiwa asipinge matokeo. sio vyama pinzani vya siasa! think logically sio kutoa comments za kishabiki!Hivi mnyika ameishia darasa la ngapi hasa kielimu?shimbo alivitaka vyama vya siasa visigomee matokeo yatalapotangazwa akimaanisha vyama vyote ikiwemo ccm,sasa mnyika alijuaje kwamba ccm ndio watashinda hivyo ushauri wa jeshi unakilenga chadema na cuf tu?halafu mkiambiwa mna miliki kadi mbili mbili mnatoa povu,unaingia kwenye uchaguzi ukijua unaenda kushindwa si bora usishiriki basi
Mkuu,
Mnyika hana point tatu A-level, ni UWONGO.
Hata yeye yuko hapa na anajua ukweli kwamba hana A tatu kwa A-level.
Mungi this is a bit serious ila kwan mkuu wa mkoa ni mwanasiasa??nikimaanisha kwamba ni lazima awe mwana-ccm??
nimeuliza haya kwan ninaye mtu wangu wa karibu namjua nje ndani si mwanasiasa kabisa lkn aliteuliwa na rais kushika wadhifa wa mkuu wa wilaya.
Jeshi linapaswa kuwa na standard moja kwa vyama vyote. Je Mwigulu Nchemba aliposema Jeshi limeapa kuilinda CCM mpaka kufa kulitolewa tamko lolote la kijeshi?Mtu wa Shamba Hivi ni kwa nini ChHADEMA hata uovu wanautetea na kuhalalisha kuwa wema, amu ndo miungu watu kwamba wao hawakosei?. Penye ukweli tuseme, kama ni kweli yule alikuwa ni askari Jeshi basi aliandaliwa na wala si bure. Hata alivyokuwa amesimama kama greenguard wa CCM na wapambe wa CHADEMA mbele ya mkutanano!.
Ukipenda sifa sana madhara yake huwa ni makubwa sana, kwa hali hii Mnyika mnatuhadaa wananchi ili tuamini uongo kuwa ukweli.