Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Hahahaaaaa! wakati wa uchaguzi ni chama gani kinakuwa kimeshikilia serikali?
na jeshi linapaswa kulinda maslahi ya chama au nchi?
kwani kama vyama vimetofautiana juu ya matokea ya uchaguzi nini jukumu la Jeshi?
nafikiri Jeshi linapaswa kulinda usalama wa nchi mpaka suluhu ya nani mshindi wa halali ipatikane!
CCM pengine ni nafasi nyingine ya kumvua Kamanda Lema ubunge kwa kulitumia jeshi vibaya, hahahaa, wanasubiri nini??
NB. Mioyo ya watanzania imevunjwa vya kutosha na magamba sasa tunasema basi..tunataka mioyo yetu ipone 2015!
[Mgawe alisema: Ebwa ehh! Na wewe sasa unataka kuniingiza kwenye siasa, mimi sitaki kuingia huko, lakini nikueleze kuwa sisi kama wanajeshi tuko royal (utii) kwa Serikali iliyoko madarakani, alisema Mgawe.]
Huyu jamaa kachemka, ingekuwa hivyi Misri ingekuwa kama Siria leo na yanayotolea siria ni madhara ya kuwa na UTIII kwa Serekali badala ya Taifa na wananchi kwa ujumla.