CHADEMA yaijibu JWTZ

CHADEMA yaijibu JWTZ

Hujui unachoakiongea!!!
Jifunze tofauti kati ya mwanajeshi na mwanajeshi mstaafu. Pia jifunze kuongea mambo kwa evidence...

Samwel Ndomba alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa na cheo cha kanali......... sasa ni mnadhimu wa Jeshi afu unazungumzia ustaafu kwenye ishu ya msingi! acha upumbavu bana
 
tuacheni ushabiki kwanza kabisa nasifu JWTZ kwa kutolea tamko punde walipona hili. jeshi nichombo ambacho hakitakiwi kufungamana na chama chochote cha siasa na kama ikitokea dosari kama hiyo ni kubwa sana kwa jeshi letu.

binafsi namsihi mnyika aangalie upya kauli yake hivi swala la wanajeshi kusema anajiunga na CDM na swala la meremeta utayafananisha??

meremeta liko katka ngazi tofauti na hata impact yake ni tofauti hii ya mjeda nayo ni tofauti na impact yake ni tofauti. tukiruhusu haya yatakuja yake ya majesh ya m23 ya DRC (sijui) tuacheni ushabiki hapa umakin unahitajika.

Sina uhakika kama unajua kwamba JWTZ wanashiriki siasa za ccm mchana kweupe. Kuna wakuu wa mikoa na wilaya ambao ni wanajeshi wasiostaafu. Wakuu wa mikoa na wilaya ni wajumbe wa kamati za siasa za mikoa na wilaya ndo maana jeshi limo ndani ya ccm na linafanya kila mbinu kuilinda kinyume na sheria na maadili ya jeshi.
Mwigulu aliitangazia dunia kwamba JWTZ imeapa kuilinda na kuitii ccm ili kisitoke madarakani, mbona jeshi halikutoa kauli yoyote?
 
Samwel Ndomba alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa na cheo cha kanali......... sasa ni mnadhimu wa Jeshi afu unazungumzia ustaafu kwenye ishu ya msingi! acha upumbavu bana

Wanajeshi wasiostaafu wako wengi sana huko ccm kupitia hiyo milango ya ukuu wa mikoa na wilaya.
Namkumbuka pia Kanali Edmund Mjengwa alikuwa mkuu wa wilaya huku akiwa hajastaafu JWTZ.
Hawa watu wasipende kuropoka wakashani hatuna kumbukumbu kama wao.
 
Sina uhakika kama unajua kwamba JWTZ wanashiriki siasa za ccm mchana kweupe. Kuna wakuu wa mikoa na wilaya ambao ni wanajeshi wasiostaafu. Wakuu wa mikoa na wilaya ni wajumbe wa kamati za siasa za mikoa na wilaya ndo maana jeshi limo ndani ya ccm na linafanya kila mbinu kuilinda kinyume na sheria na maadili ya jeshi.
Mwigulu aliitangazia dunia kwamba JWTZ imeapa kuilinda na kuitii ccm ili kisitoke madarakani, mbona jeshi halikutoa kauli yoyote?

sasa hii ndio point ambayo mnyika litakiwa aibainishe na si kusema kwann jesh limetolea tamko hii ilihali aishu ya meremeta ikiwa silent.nafikiri kama inawezekana tabale this point. ila sasa usisahau kwamba amiri jesh mkuu ndio kiongzi wa jesh sasa sijui hili linaonekanaje ingawa hawez kulitumia jeshi kwenye kampeni za chama chake
 
Chonde chonde Mnyika
siasa na Jeshi sio sahihi, CHADEMA kiangalie namna ya kuwa na mahusiano
bora na jeshi, huyo mwanajeshi mmoja sio issue

Mbona shimbo ni kada wa magamba na hawajamfukuza kazi?
 
Samwel Ndomba alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa na cheo cha kanali......... sasa ni mnadhimu wa Jeshi afu unazungumzia ustaafu kwenye ishu ya msingi! acha upumbavu bana
Mungi this is a bit serious ila kwan mkuu wa mkoa ni mwanasiasa??nikimaanisha kwamba ni lazima awe mwana-ccm??

nimeuliza haya kwan ninaye mtu wangu wa karibu namjua nje ndani si mwanasiasa kabisa lkn aliteuliwa na rais kushika wadhifa wa mkuu wa wilaya.
 
Last edited by a moderator:
Samwel Ndomba alikuwa mkuu wa
mkoa wa Arusha akiwa na cheo cha kanali......... sasa ni mnadhimu wa
Jeshi afu unazungumzia ustaafu kwenye ishu ya msingi! acha upumbavu
bana

Pokea like...
 
Mungi this is a bit serious ila kwan mkuu wa mkoa ni mwanasiasa??nikimaanisha kwamba ni lazima awe mwana-ccm??

nimeuliza haya kwan ninaye mtu wangu wa karibu namjua nje ndani si mwanasiasa kabisa lkn aliteuliwa na rais kushika wadhifa wa mkuu wa wilaya.

Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni lazima wawe ni Wanachama hai wa CCM
 
Last edited by a moderator:
du maada hii hatukuiona usiku, mbona Mheshimiwa meja gen Said Kalembo aliyestaafu mwaka huu alikuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro na Tanga akiwa Mwanajeshi au kwa kuwa ailikuwa havai gwanda? na kwa mjibu wa siasa za CCM lazima akisaidie chama kutekeleza malengo. Jeshi letu tunalipenda tusingependa liwe na mtazamo wa kisiasa.
 
another c.r.ap! nauseating!

Hivi mnyika ameishia darasa la ngapi hasa kielimu?shimbo alivitaka vyama vya siasa visigomee matokeo yatalapotangazwa akimaanisha vyama vyote ikiwemo ccm,sasa mnyika alijuaje kwamba ccm ndio watashinda hivyo ushauri wa jeshi unakilenga chadema na cuf tu?halafu mkiambiwa mna miliki kadi mbili mbili mnatoa povu,unaingia kwenye uchaguzi ukijua unaenda kushindwa si bora usishiriki basi
 
Hujui unachoakiongea!!!
Jifunze tofauti kati ya mwanajeshi na mwanajeshi mstaafu. Pia jifunze kuongea mambo kwa evidence...

acha kutoa bovu wewe ndomba alikuwa mkuu wa mkoa wa arusha akiwa na cheo cha kanali leo hii ninani kuna kepten mmoja safari hii amekimbiza mwenge na mahudhui ya safari hii ilikuwa kuimalisha chama cha mapinduzi
 
Mimi natafsiri kitendo cha mwanajeshi huyo kama ishara ya alama za nyakati! Kwamba watu wamechoka sasa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mnyika hajamtetea mwanajeshi, alichosema kwa ufupi jeshi liache kushughurikia mambo madogo tu na makubwa ya bufisadi yashughulikiwe kwa nguvu na jeshi liache u ccm
 
CDM kama mazuzu! Chama kuingia mzozo na Jeshi ni hatari kwa chama husika. Yangu masooo.

zuzu mwenyewe na wote wenye akili kama wanajeshi. jeshi la mafisadi nalo waliita jeshi? utakuwa umevurugwa wewe. cdm haina cha kupoteza maana haitegemei jeshi ktk kuendesha siasa kama magamba.jeshi hopeless, nashangaa linaitwa la wananchi wakati ni jeshi la magamba.
 
Hivi kapteni Komba alistaafu lini jeshini?

Mkuu hawa wako kibao huko CCM; orodha ni ndefu mno. Kuna akina Capt. John Chiligati, Capt. George Mkuchika, Lt. Yusufu Makamba, n.k. ambao ni makada maarufu wa chama chao na kwa nyakati tofauti wamewahi kuwa viongozi humo wakituhadaa WAMESTAAFU yet wakitumia mavyeo yao ya kijeshi - CAPTAIN! Hii imekaaje?

Kama wamestaafu waachane na hayo mavyeo ya kuwatisha wananchi kama alivyofanya Mh. Rais ambaye ni Colonel au Mh. Lowasa ambaye kama sijakosea ni Captain pia.
 
Uwezo Tunao; Mkubwa,Nimeipenda post yako sana! Na ni juzi tu nilikuwa naliongelea hili na makamanda wa4 wa pale Monduli (TMA) wakasema hii serikali ya mafisadi wanacheza tu kwani hawajui ya kwamba mioyo ya Watanzania ipo katika chama pinzani,wakaendelea kuzungumza mengi sana! Kwa kweli wameendelea kubwabwaja haswa wale makamanda! Na kwa kweli wanaichukia ccm kweli kweli na wakaendelea kusema ya kwamba ni dhahiri ya kwamba bado tupo kwenye UKOLONI MWEUSI HAKIKA!

CHADEMA wako sahihi, JWTZ ni chombo cha wananchi na wala si chombo cha CCM hivyo kama vipi wale wakuu wa mikoa na wilaya na wengine wanaotumikia vyeo vya u-kada katika CCM wachukuliwe hatua haraka kabla hatujamtazama mwanajeshi wa Mh Lema Jijini Arusha hivi majuzi.

Ni wakati mwafaka jeshi letu pendwa likajikwamua na U-CCM wa enzi za chama kimoja katika kipindi hiki cha vyama vingi ili chombo hiki muhimu kiweze kuendana na wakati wa hivi sasa.

Roho ikipenda kitu wala hakuna haja kuewndelea kujificha; ukweli wa mambo ni kwamba zaidi ya asilimia 80 ya jeshi letu linapenda chama kile ambacho wananchi tulio wengi tunakipenda - CHADEMA!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Samwel Ndomba alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa na cheo cha kanali......... sasa ni mnadhimu wa Jeshi afu unazungumzia ustaafu kwenye ishu ya msingi! acha upumbavu bana

Ukisikia vivid example ndio kama huu! Thanx Mkuu kwa kuamsha waliolala. Hebu jeshi liache unafiki. Yapasa pia issues kama hizi kuhojiwa kwenye vyombo husika kama Bunge na hata Mahakamani. I trust Chadema wako smart ukweli utajulikana tu.

Kwenye issue ya Lema na mjeshi Chadema wamewatega CCM naona wajinga wanaingia wenyewe; taratibu tu yaliyokuwa yamefichwa yatawekwa peupe.
 
Ndg tulia kimya kwanza, ati mwanajeshi mmoja sio issue? Afie basi Sudan halafu useme sio issue...Hivi Mwigulu Nchemba aliposema CCM na JWTZ ni damu damu kule jimboni kwake alikosea, Mbona jeshi hilo lisichuinguze kauli hiyo ya Mwigulu? Tena alienda mbali zaidi na kusema JWTZ imeahidi kuilinda CCM.Jeshi halikuisikia kauli yake hadi tulete ushahidi wa video ndio ukubalike? Shame on TPDF/JWTZ...The issue of Meremeta, where is Abdulrahmani Shimbo? He assigned Brig Gen. DC Igoti in Commores Islands baada ya hapo anakutwa na mabilioni ya fedha za kifisadi toka C.I kama zawadi ya kuwasaidia katika vita ya kumuondoa Col Bubacar, but where is he?

Hapa wenyenchi wanawazuga wana wa nchi kwa movie ya Three ****** na ule uwongo wa The Mummy. Au ya Tom Hanks na The Heat.

Chonde chonde Mnyika siasa na Jeshi sio sahihi, CHADEMA kiangalie namna ya kuwa na mahusiano bora na jeshi, huyo mwanajeshi mmoja sio issue
 
Back
Top Bottom