CHADEMA yaijibu JWTZ

CHADEMA yaijibu JWTZ

Ipo siku nchi itakuja kupinduliwa,kama mmomonyoko wa maadili utaendelea kukuwa kwa kiasi hiki!
 
Ninaamini hawatakusikiliza haya mpaka yatakapowatokea kama yale ya Misri walipogoma kusikiliza amri zao. Kiburi na jeuri ya madaraka huwa ni mbaya sana.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kaka nakushauri hii thread yako itoe haina maana yeyote hapa.Leo mchana umekula nini mkuu?
mbona unajishtukia?Ndio muda muafaka kwa watanzania kujifunza kujibu maswali kwa usahihi.Tumekuwa wababaishaji sana tazama kila sehemu kuna class ya age.Sasa kila mahali hadi kwenye taasisi iliyopaswa kuwa very precise sasa wapo ktk test il amado majibu yakibabe na kukosa fikra yanaendelea kupewa nafasi.CCM kuna mgogoro wa kifkra, Police the same, sasa JWTZ.Umewahi sikiliza police wengi wanachoongea?Ni zaidi ya kuingia ktk jeshi wakiwa failures.Kama shida ni kuwa na wanajeshi failures kielimu basi tuanze fanyia kazi.Kuna vijana wadogo wana elimu nzuri tuu nawafahamu.waliokuwa wakifikir haraka bila chuku kwa mtu na walikuwa wakifight ku accoplish task.
 
Jeshi likiweka vitisho hapa au popote ni wazi shida itakuwa kubwa zaidi.Jeshi halikuundwa kutisha raia pengine kama wameshaacha kuwa jeshi la wananchi.
 
Ni kipindi makamanda wetu waache tumia silaha na violence tuu, waanze tumia akili ili wawe wa kisasa kama wanavyotangaza.
 

Hapo kwenye
red; asante sana kwa maelezo "mazuri". Hebu tufafanulie issue ya Kanali Ndomba aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kwa title hiyo, kwa mujibu wa Katiba ya CCM, alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa ya chama hicho.

Huku "ikidhaniwa" ni Kanali "mstaafu" hivi karibuni kapandishwa cheo kuwa Luteni Jenerali na kuwa Mnadhimu wa JWTZ. Au tuelewe kwamba mwanajeshi anaweza kustaafu kisha baada ya muda akarudi tena jeshini kulitumikia Jeshi tena kwa cheo cha juu zaidi?

Hebu weka unafiki pembeni kisha fafanua hili.
Kukaa kimya wakati mwingine inasaidia sana kuliko kubwata bwata kwa maelezo hayo kamanda dudus umewavua nguo vibaraka wa Magamba(JWTZ)....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu zeMaracopolo

Ukiona mwenzio kapewa ukuu wa mkowa nawewe ndo umekalia kiti chake baada ya yeye kustaaafu na kuwa kada, je

hutashawishika kutetea maslahi ya chama ili nawewe ujepewa ukuu wa mkoa hapo baadaye? imekaaje hii!!

Ni kweli mkuu hata mimi nilipata kuckia kwa mtu aliyekuwa darasa moja nyuma ya Mnyika pale Tambaza akisema kuwa Form Six Jamaa alipata Division 2


I think its wrong kupima uwezo wa mtu kiakili kwa kutumia elimu ya darasani au grades alone. Kuna watu wana uwezo mkubwa sana outside class than inside, and we have seen them. Kwa mfano, mtu mwenye uwezo wa kumobilise watu, how are you going to grade him or her against yule mwenye good grades but cannt mobilise? Good grades isn't magic. By the way, extreme intelligent black people in Africa have been useless where they were needed most. Hii ni just stereotype inayotumika na some fools kupima uwezo wa mtu. Ndo maana nadhani ni muhimu hivi vitu viweclarified watu waache kudhani watu wengine wajinga coz they dont have good grades like others.
 
Ni kweli mkuu,chadema wasijivunie ile picha na kutaka publicity ya aina yoyote ile,lile lilikuwa ni kosa kwa lema na kwa askari,lema pale alichemsha, otherwise wasimamie kanuni kuwa wanajeshi wote ni no partisan,na ni marufuku kushiriki siasa.,,kesho na kesho kutwa itakuwa wao.
acha kukurupuka kosa la Lema ni nini? mbona Lema mpaka sasa hajakamatwa au serikali ya CCM inamwogopa...
 
lema kaibua maswala nyeti sana.
kwa kweli bora jeshi lisingetoa tamko.

Tunahitaji wanasiasa wenye uthubutu wa kuongea ukweli kama Mh Lema, ...binafsi nasikia mastori mengi sana uswahilini ambayo kwa vile sisi uswahilini ni voiceless hata tukiongea tunaonekana tunatoka povu la njaa, lakini Mh Lema na wenzake wanaponyoosha hivi, wanakuwa wanawakilisha maoni yetu sisi huku uswahilini, sasa kwa nini tusiishabikie chadema?
 
NI Kweli kuwa jeshi haliji halijihusishi na siasa lakini tunaona wengi wakistaafu utumishi hupewa nafasi za mkuu wa mkoa ,mkuu wa wilaya hawa ni wanasiasa kwa upande mwingine ,kwa sababu kama huna hata idea kidogo ya siasa hizi posti wengi wangezikataa na wengi wao hukubali bila shingo upande .
 
Nlijua ile picha italeta matatizo, japo haruhusiwi ila CCM wanachakujifunza kuhusu hali ya maisha bongo
 
WHAT MATTERS IS NOT THE SIZE OF DOG IN THE FIGHT BUT THE SIZE OF FIGHT ON THE DOG.Kabila ya CCM na uchafu mwingine haijawaingia kichwani.Wote wenye kudhani nchi ni ya kunajisi kwa vile wanajiona wana mabavu.Sasa hivi hakuna anayejifanya kuwa ana akili nyingi hadi aletewe problem kubwa ndipo atakumbuka kuwa akili yake ni ndogo sana.Hata Jeshini kunahitaji Democrasia ktk dunia ya leo, ndio maana askari napelekwa The Hague hata kama alikuwa chini ya Mtu.Sasa atahukumiwa vipi kama hakupewa uhuru wa kukataa kufanya kosa?
 
achana na elimu ya Nyika haikuhusu, inamhusu yeye na familia yake. Shimbo kweli aliegemea upande mmoja na hii ni baada ya kushawishina na pesa za kilimo kwanza kwa kupewa tenda kuleta matrector na power tiller na kumhusisha Jitu Tapeli kupewa tenda ya kuyamwaga toka India, inasemekana matrecor haya ni rushwa tupu kwani thamani halisi na uwezo wake ni tofauti sana. Hivyo wamechuma sana ndio maana Shimbo alikuwa anatetea ugali wake.
 
Askari hana ujasiri wa kusema Padri "kapigwa risasi na Waislam wasiojulikana" anasema "kapigwa risasi na watu wasiojulikana".sasa kama hakuwa na clue kihivyo,kwanini asem ni watu?au kama hakuwa na clue kihivyo alijuaje kuwa walikuwa zaidi ya mmoja na walitumia vespa?kama hajui jamii ya kizanzibari kihivyo kwanini aliongelea kabisa?haya yoote ni kwa vile vile hatujui kujibu halafu tunaongezea dose ya propaganda juu ya hofu yetu ya akili. Call a dog Dog ili apat dog like treatment.
 
Hivi hawa wanajeshi wanafahamu kuwa kushiriki makosa kunaweza wafikisha ktk mahakama ya kimataifa?Je wamefundishwa na kupewa njia ya kukataa hayo mambo bila kupata madhara?je si ahaki yao kupati ahiyo elimu na njia ya kukataa shiriki uovu?Vipi kushiriki saidia raia mazingira wanayozunguka anapoishi askari husika?
 
Umekurupuka kajipange.Jeshi ni zaidi ya ulijuavyo.

Jeshi linaheshimika sana, lakini siyo kwa namna ccm inavyofanya kwa jeshi letu. But, that is out of topic, the point ambayo CDM au Lema wants to pass across is, i think, who has the right and who hasn't and why. Kama unadhani jeshi is some kind of God, think twice!! Jeshi ni watu kama sisi wenye viapo vya kulinda nchi for whatever it takes.

CCM is misusing jeshi including all the resources of this country in every way, everyone understand that. But, ile picha ya Lema says it all, louder than words. I can't say more!!!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom