Hujui unachoakiongea!!!
Jifunze tofauti kati ya mwanajeshi na mwanajeshi mstaafu. Pia jifunze kuongea mambo kwa evidence...
tuacheni ushabiki kwanza kabisa nasifu JWTZ kwa kutolea tamko punde walipona hili. jeshi nichombo ambacho hakitakiwi kufungamana na chama chochote cha siasa na kama ikitokea dosari kama hiyo ni kubwa sana kwa jeshi letu.
binafsi namsihi mnyika aangalie upya kauli yake hivi swala la wanajeshi kusema anajiunga na CDM na swala la meremeta utayafananisha??
meremeta liko katka ngazi tofauti na hata impact yake ni tofauti hii ya mjeda nayo ni tofauti na impact yake ni tofauti. tukiruhusu haya yatakuja yake ya majesh ya m23 ya DRC (sijui) tuacheni ushabiki hapa umakin unahitajika.
Samwel Ndomba alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa na cheo cha kanali......... sasa ni mnadhimu wa Jeshi afu unazungumzia ustaafu kwenye ishu ya msingi! acha upumbavu bana
Sina uhakika kama unajua kwamba JWTZ wanashiriki siasa za ccm mchana kweupe. Kuna wakuu wa mikoa na wilaya ambao ni wanajeshi wasiostaafu. Wakuu wa mikoa na wilaya ni wajumbe wa kamati za siasa za mikoa na wilaya ndo maana jeshi limo ndani ya ccm na linafanya kila mbinu kuilinda kinyume na sheria na maadili ya jeshi.
Mwigulu aliitangazia dunia kwamba JWTZ imeapa kuilinda na kuitii ccm ili kisitoke madarakani, mbona jeshi halikutoa kauli yoyote?
Chonde chonde Mnyika
siasa na Jeshi sio sahihi, CHADEMA kiangalie namna ya kuwa na mahusiano
bora na jeshi, huyo mwanajeshi mmoja sio issue
Mungi this is a bit serious ila kwan mkuu wa mkoa ni mwanasiasa??nikimaanisha kwamba ni lazima awe mwana-ccm??Samwel Ndomba alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa na cheo cha kanali......... sasa ni mnadhimu wa Jeshi afu unazungumzia ustaafu kwenye ishu ya msingi! acha upumbavu bana
Samwel Ndomba alikuwa mkuu wa
mkoa wa Arusha akiwa na cheo cha kanali......... sasa ni mnadhimu wa
Jeshi afu unazungumzia ustaafu kwenye ishu ya msingi! acha upumbavu
bana
Mungi this is a bit serious ila kwan mkuu wa mkoa ni mwanasiasa??nikimaanisha kwamba ni lazima awe mwana-ccm??
nimeuliza haya kwan ninaye mtu wangu wa karibu namjua nje ndani si mwanasiasa kabisa lkn aliteuliwa na rais kushika wadhifa wa mkuu wa wilaya.
Hivi mnyika ameishia darasa la ngapi hasa kielimu?shimbo alivitaka vyama vya siasa visigomee matokeo yatalapotangazwa akimaanisha vyama vyote ikiwemo ccm,sasa mnyika alijuaje kwamba ccm ndio watashinda hivyo ushauri wa jeshi unakilenga chadema na cuf tu?halafu mkiambiwa mna miliki kadi mbili mbili mnatoa povu,unaingia kwenye uchaguzi ukijua unaenda kushindwa si bora usishiriki basi
Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni lazima wawe ni Wanachama hai wa CCM
Hujui unachoakiongea!!!
Jifunze tofauti kati ya mwanajeshi na mwanajeshi mstaafu. Pia jifunze kuongea mambo kwa evidence...
CDM kama mazuzu! Chama kuingia mzozo na Jeshi ni hatari kwa chama husika. Yangu masooo.
Hivi kapteni Komba alistaafu lini jeshini?
CHADEMA wako sahihi, JWTZ ni chombo cha wananchi na wala si chombo cha CCM hivyo kama vipi wale wakuu wa mikoa na wilaya na wengine wanaotumikia vyeo vya u-kada katika CCM wachukuliwe hatua haraka kabla hatujamtazama mwanajeshi wa Mh Lema Jijini Arusha hivi majuzi.
Ni wakati mwafaka jeshi letu pendwa likajikwamua na U-CCM wa enzi za chama kimoja katika kipindi hiki cha vyama vingi ili chombo hiki muhimu kiweze kuendana na wakati wa hivi sasa.
Roho ikipenda kitu wala hakuna haja kuewndelea kujificha; ukweli wa mambo ni kwamba zaidi ya asilimia 80 ya jeshi letu linapenda chama kile ambacho wananchi tulio wengi tunakipenda - CHADEMA!!!!!
Samwel Ndomba alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa na cheo cha kanali......... sasa ni mnadhimu wa Jeshi afu unazungumzia ustaafu kwenye ishu ya msingi! acha upumbavu bana
Chonde chonde Mnyika siasa na Jeshi sio sahihi, CHADEMA kiangalie namna ya kuwa na mahusiano bora na jeshi, huyo mwanajeshi mmoja sio issue