CHADEMA yaigaragaza CCM

Ni sawa sawa CUF washinde Wete halafu washangilie ushindi.
 
Nyota njema huonekana asubuhi. Acha Wakina Nchemba wapige mayowe ya kijinga mpaka wafe na CCM yao. Wajanja wako kimya, yamebaki mavuvuzela yanapiga kelele, mwisho wa siku watakimbiana wao kwa wao na wataficha nyuso zao. Hawataki kujifunza hata kilichowapata Arusha kwenye Uchaguzi wa Madiwani pamoja na hujuma zote walizofanya, lakini hatimaye wakashindwa! Hongereni saana watu wa Babati.
 

huu ndo mpango mzima serkali za mitaa mwakani ni kuchuklua vijiji vyote tz
 

My gass ndio nini?
 
Huu uchaguzi wa nini tena? Ina maana nchi hii chaguzi haziishi?
 

Lazima Mwigullu na Ndughai watajwe, safi sana kwa kuitambua miba yenu.
 
CDM Kilianza Kwa Nguvu Kilimanjaro polepole kikatoboa Arusha kwa kupitia Karatu....Muda si muda kikatoboa Mbulu....Kidogo kidogo kinatoboa Babati na Hanang....kwa mtu anayejua ramani ya Tanzania Hiyo ni Njia ya kuelekea Singida...Kwa hiyo wana Singida mkae mkao wa kukipokea....Uzuri wake chadema ishatanguliza Ngome moja Singida mashariki kwa Tundu Lisu.....Kwa upande Wa kanda ya Ziwa Chadema Ilianza Tarime....hiyooo ghafla ikatoboa Musoma Mjini ikatokezea Mwanza ( Ilemela,na nyamagana na Ukerewe), Ikaruka kwa wakati huo huo kwenda Shinyanga Kishapu, Maswa Na pande za Ngara huko. kanda ya Magharibu ilianza Kigoma....Pole pole ikarukia Mpanda na hivyo inaelekea tabora..... Kanda ya Nyanda za Juu kusini Ilianzia Mbeya..ikashamiri weee.... ikatoboa Iringa....Sasa inazidi kusambaa mpaka ifike Songea.....Kanda ya pwani Hasa dar imeingia ila bado kidogo nguvu kidogo zinahitajika ili iweze kusonga mbele mpaka pwani ya kusini...VIVA CDM.
 

Hizo kura za CCM watakuwa wameiba tu. Hawawezi kupata hizo kura. CCM jangaaaa.
 
M4C inatwanga kote kote....wao wako bize kutetea mafisadi kama mayor wa Bukoba,wauza unga na majangili,CHADEMA tuko bize na elimu ya uraia ...hongereni sana makamanda
 

hongera sana chadema, mwenyekiti aliyekuwa zamani anatoka chama gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…