Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
Ccm wameweka nguvu zao kwa Lekwatare Huku wakisahau kuwa kuna chaguzi zinaendelea
Bumbuli si ndo kwa Makamba jr? Nako anapigiwa hodi...
Ccm wameweka nguvu zao kwa Lekwatare Huku wakisahau kuwa kuna chaguzi zinaendelea
Bado moto unaendelea kuwaka! Naamini ccm wataamini kuwa muda sio rafiki tena watakapo ona Magogoni panapakwa rangi kwa ajili ya kumkaribisha mteule mpya!
kawaida sana hiyo mkuu kwa ccm,umesahau mwaka 2005 eti wasimamizi wa kura zanzibar walipotea vituo,wakaja kuonekana jioni.ikawa uchaguzi wote umeharibikaSipati picha mtu mzima anatimua mbio na sanduku la kura.....hatareee, hongereni sana makamanda haikuwa kazi rahisi.:rockon:
kawaida sana hiyo mkuu kwa ccm,umesahau mwaka 2005 eti wasimamizi wa kura zanzibar walipotea vituo,wakaja kuonekana jioni.ikawa uchaguzi wote wa rais zenj umeharibikaSipati picha mtu mzima anatimua mbio na sanduku la kura.....hatareee, hongereni sana makamanda haikuwa kazi rahisi.:rockon:
Mkuu msalimie Chris Lukosi
Kwanini nisiwapongeze watu waliofanya jitihada mpaka wameshinda?
Wanastahili pongezi. Hakuna mtu aliye hack.
Nadhani falsafa yangu wengi wenu hamjaielewa ndio maana mnapata shida kutafsiri ninayoandika...
mods mkimaliza kunywa valuu mziunganishe hizi threads ziwe moja.
Propaganda za chadema zimeenea sana ila kitaporomoka gafla sana.
Umejitahidi kutoa hongera lkn ni ya kinafiki!Hongera chadema...