CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

Peoplesss powerrrr chadema nguvu ya ummma tumeshinda arumeru mashariki ubunge na udiwani kirumba na songeaaa..... Jf freedom of expression
 
Kama ccm kweli imeshindwa basi tusubiri watakavyojimaliza wenyewe zaidi, upinzani watulie tu sasa
 
Mbona sredi zote zinazohusu uchaguzi zinaunganishwa lakini hii ambayo ni tetesi tu inaachwa?
Huu ni udhalilishaji wa JF, hata kama ni MMM!

Naona umechanganyikiwa.Nape atawanyima posho kwa mwezi mzima!
 
tuombe iwe kama matokeo ya awali yanavyojionyesha manake isije ikawa kama yale ya igunga
 
msimamizi wa kikatiti alijaribu kuja matokeo tofauti na ngumi zilipigwa ndani kati yake na lema msimamizi amechukuliwa kupelekwa polisi kwa mahojiano zaidi jamani hayo ni matokeo sahihi...hv ccm wangekuwa wameshinda nape angerusha fasta matokeo hapa
 
My Take:
Bila ya shaka Uongozi wa taifa wa CDM hauna sababu ya kujiuzulu kwa wakati huu! Upepo umevuma upande wao na mtumbwi unaelekea kwenye ushindi 2015:
Mkuu, kwani habari za kujiuzulu zikoje, mbona mi ndo kwanza nasikia hapa? Au nayo ilikuwa ni 'Exclusive'?
 
aibu, ITV wanafunga matangazo live kwa kisingizio cha fujo, eti matokeo hayawezi kutoka mpaka kesho
 
Nakuamini sana mzee Mwanakijiji; naanza kusherehekea ushindi:smile-big:!!! Asante kwa taarifa.
 
Confirmed:CHADEMA wamechukua udiwani kata ya Kirumba. Mshindi ameshatangazwa CCM No.2 CUF no.3 ni hekaheka mtaani vijana wanaimba chadema!chadema! peoples power!!!
 
Back
Top Bottom