CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

Mungu yu upande wa wenye haki na wanyonge daima.Nitamrudishia nini bwana Mungu wangu kwa wema aliotutendea watanzania? Naam nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana!
 
Mungu wangu Ibariki CDM mpaka mwisho. Tulianza na wewe na tutamaliza na wewe. Viva Chadema
 
Mwenyezimungu amesikia kilio cha watanzania, Hongera sana timu nzima ya CHADEMA!!!
 
kama matokeo ya vituo vyote from wakala yakitumwa kwa simu ni rahisi kujua final numbers
 
Nashindwa kuelewa kabisa inakuwaje kwa technology ya sasa NEC hawajatoa matokeo ya jumla? Kila kituo imehasabu hapo hapo na matokeo kubandikwa ukutani, wanashindwaje kutoa at least prelimanry results wakati wanafanya huo uhakiki wao?

Watabana lakini wataachia tu! People's .........!
 
CCM wakae mkao wa kwaheri kwasababu wametuchosha na hii pia ni mfano tosha kuwa sasa watanzania wameamka na kuona waendako, kwaufupi leo uchaguz mdogo wadiwan kilumba mwanza umefunika waweza fikiri labda ulukua uchaguz wa mbunge vile. hivo bas kwa wale wote ambao hamjaamka jaribu kuamka tumuondoe huyu nduli IDI CCM.
 
are you sure? au fools day maana siku yale imechanganyika na hiyo day watu sasa wanaitumia vibaya.
 
Bravo! Could be truly the beginning of the END for the green color party!! Well done Wapiganaji! Wanasema hakuna kulala mpaka kieleweke... Hakuna kukata tamaa mpaka watanzania waelewe somo la uraia. Kwa kweli kama CHADEMA wameshinda basi juhudi zao za kuwafundisha watanzania somo la uraia zinaelekea kuzaa matunda! It is sureal, Congratulations to the entire team..
 
Chanzo nikipi je umeongea na lema au unatoa hisia zako
 
hizo ndo habari zitakazopelekea usingizi mwanana leo. confirm tafadhari maana matumbo ni moto sio joto1
 
Mbona sredi zote zinazohusu uchaguzi zinaunganishwa lakini hii ambayo ni tetesi tu inaachwa?
Huu ni udhalilishaji wa JF, hata kama ni MMM!
 
Back
Top Bottom