Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,350
- 7,454
Nipo mkuu nilikuwa naangalia kile kikao cha kitchen party alichofanya Mwigulu huko iramba chenye watu 20mama toto upo mkuu
Nipo mkuu nilikuwa naangalia kile kikao cha kitchen party alichofanya Mwigulu huko iramba chenye watu 20mama toto upo mkuu
Nipo mkuu nilikuwa naangalia kile kikao cha kitchen party alichofanya Mwigulu huko iramba chenye watu 20
Salute sana kamanda Molemo kwa kuwasilisha taarifa hii kwa wadau wa JF!
Kama ulivyosema ni kweli huo ni mkutano ulioandaliwa na Tawi la Chadema Mazizini chini ya usimamizi wa uongozi wa kata ya Ukonga. Sasa unaweza kuona ni kwa kiasi gani makamanda wameiva kiasi kwamba wanaweza kuandaa mkutano mkubwa kiasi hicho katika ngazi ya mtaa/tawi!
Bahati mbaya mimi nilipata dharura majira ya saa saba wakati tunakaribia kuanza mkutano na nikalazimika kuelekea hosoitali mwanangu aliugua ghafla lakini nilikuwa napata taarifa toka kwa makamanda wakinijulisha jinsi mkutano ulivyokuwa umefana!
Tunaendelea na maandalizi muda si mrefu tutaandaa mkutano mwingine mtaa wa Mongolandege ili kuhakikisha kuwa kata ya Ukonga inaongoza harakati za kuifuta ccm katika jimbo la Ukonga!

Hivi unamjua lakini huyo Mwaipopo alivyokuwa msanii wa siasa na mtu wa bahasha za kaki msome kiduchu hapa chini.Katibu wa Jimbo la Ukonga Sheikh Mwaipopo akihutubia umati mkubwa wa watu alilaani CCM kwa kuendesha propaganda za udini na sasa zinahatarisha amani ya nchi.
Huku akishangiliwa na halaiki ya watu Sheikh Mwaipopo amesema Waislam wamegundua propaganda za CCM na kwa kuthibitisha hilo amesema jana aligawa kadi kwa Masheikh 12 wa Gongolamboto walioomba kwa hiyari yao kujiunga Chadema.
BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (Bahakita), limempongeza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa kufanya mazungumzo na wananchi wa Mtwara kuhusu suala la gesi na hatimaye kufikia mwafaka.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Bahakita, Sheikh Said Mwaipopo alisema suala la gesi ni la kitaifa na si la wananchi wa eneo moja pekee, hivyo muafaka uliofikiwa unapaswa kupongezwa.
"Hivyo juhudi zilizofanywa na Waziri Pinda katika kuzima vuguvugu la machafuko yaliyokuwa yakichochewa na baadhi ya wanasiasa kuhusu suala ujenzi wa bomba kwa ajili ya kusafirishia gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam ni jambo la kupongezwa kwani lilitaka kuhatarisha amani ya nchi yetu," alisema Mwaipopo.
Pia alisema kuwa tabia ya inayoanza kujengeka kutoka kwa baadhi ya wananchi kutaka rasilimali zinazopatikana katika maeneo yao ziwanufaishe wao pekee si kitendo cha kiungwana hata kidogo.
Ulikuwa unatumia simu ya tochi ha ha haa vijana wa Bavicha bwana umeshaandika siku nenda kaedit picha za Arusha uzilete hapa.
Walikuwa wanasema Tanzania Daima ni gazeti la udaku sasa picha zimewaumbuaMkuu nami nimepitiepo huko ni aibu kubwa.
Faida ya kuuwa watu kwa mabomu na kubambikizia wasio na hatia ugaidi sasa vinamgharim bwana madelu.
Mwenye macho haambiwi Tazama.
.....
........Huku akishangiliwa na halaiki ya watu Sheikh Mwaipopo amesema Waislam wamegundua propaganda za CCM na kwa kuthibitisha hilo amesema jana aligawa kadi kwa Masheikh 12 wa Gongolamboto walioomba kwa hiyari yao kujiunga Chadema........
Mkuu nimeshafungua tawi hapo Markazi na muda si mrefu ninaizika rasmi cuf. Nilifungua tawi hapo Marikazi mwishoni mwa mwaka jana tukiwa na wanachama 39 lakini hadi kufikia mwezi wa tatu mwaka huu tulikuwa na wanachama 72.
Mkuu huo wa Mongolandege mkipanga tarehe naomba kwa njia yoyote ile hata kwa pm unitaarifu niwapange na vijana wenzangu tuhudhurie...huo wa mazizini sikupata taarifa kwa kweli!
Asante sana kwa taarifa , japo nimefuturu uji na maharage lakini kwa uzi najiona kama nimefuturu mchemsho wa mbuzi !
...we heche wewe utamuua savimbi kwa presha...
Kudadeki, mtajaza sana watu mikutanoni lakini hao wote si wapiga kura. 2015 mtashangaa jinsi CCM itakavyong'ara, si mmeona kwa Mugabe?.
Pamoja sana kamanda nitakujulisha tukishakuwa tayari, na pengine mambo yakienda vizuri itakuwa mwezi wa tisa.