Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Naibu Meya wa Jiji la Arusha Mh. Viola Lazaro akizindua mpango wa maji safi na salama kata ya Moivaro jana Jumamosi.
Mpango huo ulionufaisha mitaa miwili ni jitahada binafsi za Mh. Diwani wa Moivaro Ricky Moiro. Mradi huu umepunguza kero kubwa ya maji katika mitaa hiyo ya Sekei na Oldonyomasi ambayo haikuwahi kuwa na maji safi ya bomba tangu kundwa kwa kijiji cha Moivaro na hatimaye kata sasa.
Wakazi wa mitaa hiyo wameona kama ni ndoto kwa mradi huo kufika katika mitaa hiyo, kwani hawakuwahi kuamini kuwa maji yatafika katika maeneo yao.
HONGERA SANA DIWANI WA CHADEMA