CHADEMA yaendelea kufanya makubwa Arusha

CHADEMA yaendelea kufanya makubwa Arusha

HIVI KWANINI CHADEMA ISSUE ZA MAENDELEO MNAPELEKA ARUSHA LAKINI LINDI NA MTWARA MMETUSAHAU
Muulize mbunge wako....co suala LA chadema...

Naibu Meya wa Jiji la Arusha Mh. Viola Lazaro akizindua mpango wa maji safi na salama kata ya Moivaro jana Jumamosi.

Mpango huo ulionufaisha mitaa miwili ni jitahada binafsi za Mh. Diwani wa Moivaro Ricky Moiro. Mradi huu umepunguza kero kubwa ya maji katika mitaa hiyo ya Sekei na Oldonyomasi ambayo haikuwahi kuwa na maji safi ya bomba tangu kundwa kwa kijiji cha Moivaro na hatimaye kata sasa.

Wakazi wa mitaa hiyo wameona kama ni ndoto kwa mradi huo kufika katika mitaa hiyo, kwani hawakuwahi kuamini kuwa maji yatafika katika maeneo yao.

HONGERA SANA DIWANI WA CHADEMA
 
Wewe umeshindwa nini kupiga picha japo hata Baba yako mama yako,mkeo na watotowako kwenye mabomba ya maji uje utudanga jinsi chama chako cha kijani kinavodanganya watu?
Bora viroba vimepigwa marufuku!
 
mtwara,lindi na Ruvuma hii mikoa n reserve ya kula za ccm so hampaswi kuletewa maendeleo,wakileta maendeleo watawadanganyia nn? hyo mikoa kama vle mtoto mdogo hudanganywa kwa pp il alale!
 
Back
Top Bottom