SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,975
- 75,059
Diwani wa Arusha akapeleke mradi wa maji Lindi, hivi uvccm mnatumia viungo gani kufikiri?HIVI KWANINI CHADEMA ISSUE ZA MAENDELEO MNAPELEKA ARUSHA LAKINI LINDI NA MTWARA MMETUSAHAU
Diwani wa Arusha akapeleke mradi wa maji Lindi, hivi uvccm mnatumia viungo gani kufikiri?HIVI KWANINI CHADEMA ISSUE ZA MAENDELEO MNAPELEKA ARUSHA LAKINI LINDI NA MTWARA MMETUSAHAU
Diwani alihamasisha wananchi nyumba Kwa nyumba wakachimba mtaro Kwa nguvu zao na wenye fedha wakachangia vifaa vya bomba.Kama si ka mchezo ka kuwakusanya watu wachache mkapiga picha kwenye mabomba ya maji ya zamani tu basi hongereni!kudanganya ni jadi yenu!haya huyo muota ndoto/mbeba maono ya chama chenu kawafanyia nini?
KWAIYO YULE MBUNGE WA MTWARA ALIYESHINDA JIMBO LA NDANDA IVI UNAJUA YUPO YUPO CHAMA GANIWakati mnachagua CCM mlitegemea nn
HIVI UNAJUA MTWARA NA LINDI KUNA WABUNGE WANGAPI WA UPINZANI ????mtwara,lindi na Ruvuma hii mikoa n reserve ya kula za ccm so hampaswi kuletewa maendeleo,wakileta maendeleo watawadanganyia nn? hyo mikoa kama vle mtoto mdogo hudanganywa kwa pp il alale!
KWAIYO HIYO CHADEMA NI ARUSHA NA ARUSHA NDIO CHADEMA MBONA SIJAELEWA MKUUAfu kuna washakunaku wanasema eti hakuna la maana linalofanyika Arusha
.....Afu kuna washakunaku wanasema eti hakuna la maana linalofanyika Arusha
....Kwetu Kyela wananchi tunajuta !
Hamieni chatoHIVI KWANINI CHADEMA ISSUE ZA MAENDELEO MNAPELEKA ARUSHA LAKINI LINDI NA MTWARA MMETUSAHAU
......Hamieni chato
.....Mbona haya ni mabomba miwili tofauti.
Huwezi ukajua kama ni mabomba mapya maana hapo "Maneromango" ulipo ni mbali sana na Arusha, kazi unayo ya kukanusha kila kitu kilichofanywa na CDM....Kama si ka mchezo ka kuwakusanya watu wachache mkapiga picha kwenye mabomba ya maji ya zamani tu basi hongereni!kudanganya ni jadi yenu!haya huyo muota ndoto/mbeba maono ya chama chenu kawafanyia nini?
Huwezi ukajua kama ni mabomba mapya maana hapo "Maneromango" ulipo ni mbali sana na Arusha, kazi unayo ya kukanusha kila kitu kilichofanywa na CDM....
Kwani chadema wanakusanya kodi??Naibu Meya wa Jiji la Arusha Mh. Viola Lazaro akizindua mpango wa maji safi na salama kata ya Moivaro jana Jumamosi.
Mpango huo ulionufaisha mitaa miwili ni jitahada binafsi za Mh. Diwani wa Moivaro Ricky Moiro. Mradi huu umepunguza kero kubwa ya maji katika mitaa hiyo ya Sekei na Oldonyomasi ambayo haikuwahi kuwa na maji safi ya bomba tangu kundwa kwa kijiji cha Moivaro na hatimaye kata sasa.
Wakazi wa mitaa hiyo wameona kama ni ndoto kwa mradi huo kufika katika mitaa hiyo, kwani hawakuwahi kuamini kuwa maji yatafika katika maeneo yao.
HONGERA SANA DIWANI WA CHADEMA
Ila jaman ili jiji liendelee kupendeza, Wamachinga waondolewe katikati ya jiji.....
....Arusha kama London viva Chamalangu