Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,289
.....Ila jaman ili jiji liendelee kupendeza, Wamachinga waondolewe katikati ya jiji
.....Neno Mkuu
.....Ila jaman ili jiji liendelee kupendeza, Wamachinga waondolewe katikati ya jiji
Kwa hilo la kushughulikia kero la wananchi, hongereni sana waliohusika. Huo ndiyo mfano mzuri wa upinzani wa kuonesha mabadiliko kwa vitendo.
Akili yako ndo mawazo yako, chakula chako ndo mavi yako kwa hiyo akili yako haina akili imebeba mavi tu unayokunyaKama si ka mchezo ka kuwakusanya watu wachache mkapiga picha kwenye mabomba ya maji ya zamani tu basi hongereni!kudanganya ni jadi yenu!haya huyo muota ndoto/mbeba maono ya chama chenu kawafanyia nini?
.....Akili yako ndo mawazo yako, chakula chako ndo mavi yako kwa hiyo akili yako haina akili imebeba mavi tu unayokunya
.....Cdm mjitahidi hivyo hivyo msiwaangushe wananchi
Ashe naleng' chadema, tutachagua nyinyi tena na tena Arusha.
chadema naiaminia sana Tanzania nzimaAshe naleng' chadema, tutachagua nyinyi tena na tena Arusha.
ccm wakiona hivi wanatafuta wakufukuzaHongereni Wanachadema
Watamfukuza Gambo maana kazi waliyompa ameshindwa kuimaliza....Pamoja na pikipiki zote zile ila watu wanamapenzi ya dhati kwa Chademaccm wakiona hivi wanatafuta wakufukuza
KWAIYO HIYO CHADEMA NI ARUSHA NA ARUSHA NDIO CHADEMA MBONA SIJAELEWA MKUU
Watamfukuza Gambo maana kazi waliyompa ameshindwa kuimaliza....Pamoja na pikipiki zote zile ila watu wanamapenzi ya dhati kwa Chadema
Asee safi sana
Good move