Matukio gani? Chama cha siasa ni parallel government ndio maama bungeni serikalo ikipeleka bajeti lazima KUB ipeleke bajeti kivuli. Kamati za bunge zikipeleka mapendekezo bungeni lazima KUB ipewe nafasi ya kutoa minority opinion.Tatizo kubwa la Chadema kama mpira tunasema wana defend tu hawashambulii siku zote wako nyuma wana trend kutokana na matukio hata kama matukio mengine hayana tija au binafsi wanadandia na kutrend likija lingine hivyohivyo hakuna mikakati ya Chama unakujuwa labda wana program yao na kustick. Mimi napenda kuona upinzani una nguvu sababu ni afya kwa siasa zetu ila sio siasa za matukio.
huwa akili za ajabu sana hizi, kwani Mbowe alipolala selo miezi 6 aliingia na mwanachama gani? Lissu alipotandikwa risasi kuna mwanachama aliyeguswa na zile risasi? Ama ushiriki wao ni pale tu wananchi wakiwa kwenye risk??Ikiwa mke wa mwenyekiti, mke wa makamu mwenyekiti barabara na visiwani, na mke wa katibu mkuu wa chama hawatokuwepo ktk hayo maandamano ya leo. Basi nitawahesabu bawacha kuwa ni zaidi ya toile..t pape..r yani wametumika bila wao wenyew kujua kuwa wametumiwa. Shem on them!
CDM imebaki nawanachama mbumbumbu aina yako.Chadema ipi tena jamani wakati nyie mataga na marehemu pombe mlijisifu kuwa mmeifuta chadema?
Shangaa mkuuChadema ipi tena jamani wakati nyie mataga na marehemu pombe mlijisifu kuwa mmeifuta chadema?
Ndiyo huyo huyoHuyu huyu mama tumbili?
Haya tuma salamu kwa mataga wenzako 50 popote walipo.CDM imebaki nawanachama mbumbumbu aina yako.
Wewe sio CHADEMA kama kuna chama kimepinga mfumo dume ni CHADEMA.Tuache siasa za kushambuliana Tujenge Nchi yetu kwa kila mmoja kutimiza wajibu wake kabla ya kumyoshea mwingine kidole.
View attachment 1780491
Mbowe ndio chadema na chadema ndio Mbowe, kwahiyo mtu kufungwa kwa kilicho chako sio mbaya ili mradi unajua kwamba utapotoka utaendelea kula neema ya kile ulichofungiwa. Lisu nae halikadhalika ana mgao wake mrefu chamani. Ndio maana Mbowe alipofungwa hela zilipatikana za kumtoa, lkn Mdude mpk leo zaidi ya mwaka ananyea debe.huwa akili za ajabu sana hizi, kwani Mbowe alipolala selo miezi 6 aliingia na mwanachama gani? Lissu alipotandikwa risasi kuna mwanachama aliyeguswa na zile risasi? Ama ushiriki wao ni pale tu wananchi wakiwa kwenye risk??
Ni sawa na kusema eti Samia aende vitani frontline akiwa na bunduki kuliko kutuma vijana wa maskini kupigana vita!! Meaning commitment yake inapimwa kwa ushiriki wake na mme wake kubeba bunduki akiwa na full combat??
Embicile
Kwani Chadema yenyewe ipo kwani ? Si Chuma Magufuli aliapa kuiua au ilikuwaje tena ?Jiandae kwa Matusi mama. Chadema hua haipokeo ushauri wala kusolewa na mtu. Ukijaribu tu unakula matusi
Acha upotoshaji,?Mbowe zilipatikana pesa za kulipia faini baada ya kuhukumiwa, za mdude zitapatikana, kama akihukumiwa kulipa faini! Alafu pesa hakukipa faini ya Mbowe tu, kulikua na wenzake!Mbowe ndio chadema na chadema ndio Mbowe, kwahiyo mtu kufungwa kwa kilicho chako sio mbaya ili mradi unajua kwamba utapotoka utaendelea kula neema ya kile ulichofungiwa. Lisu nae halikadhalika ana mgao wake mrefu chamani. Ndio maana Mbowe alipofungwa hela zilipatikana za kumtoa, lkn Mdude mpk leo zaidi ya mwaka ananyea debe.