CHADEMA yaanza kupoteza mvuto wa Kisiasa

Chadema ina laana ya damu ya Chachawangwe
20210511_102045.jpg
 
Mimi ni Mtanzania ninaishi nchini Marekani katika mji wa Chicago kiitikadi ni mfuasi wa CHADEMA, nimeguswa kuandika Makala hii kueleza masikitiko niliyonayo kwa vyama vya upinzani nchini hususani chama changu.

Nianze na kusema kuwa CHADEMA kilikuwa ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania hakikuwa na mpinzani kilijikita kuikosoa Serikali na kutoa mawazo mbadala, kwa sasa hali imekuwa ya tofauti kwani CHADEMA wameshindwa kutimiza wajibu wao wa kukosoa na kutoa mawazo mbadala.

CHADEMA kwa sasa hawana agenda wamebakia kudandia agenda za Serikali na chama Tawala CCM, yani nimekuwa nikifuatilia hawana wanachokifanya wamebakia tu kulalamikia mambo mbalimbali yanayofanywa na Serikali bila kutoa ushauri wa nini kifanyike.

Naumia sana kuona chama changu kikishindwa kusimama katika nafasi yake, mpaka vyama vya wasaliti vilivyoanza juzi tu vinaanza kuleta upinzani. Najiuliza tatizo nini? Je ni mfumo wa uongozi? Je viongozi kutojua majukumu yao?

Hivi karibuni nimeshuhudia wanachadema wezangu hasa vijana wakifanya harambee za kuchangisha fedha wakidai kuwa fedha hizo watazitumia kulipa faini watuhumiwa wa makosa mbalimbali ambao ni wanachama wetu, hii si sawa kwa sababu wanachofanya ni ubaguzi kwa Watanzania kama nia yao ni kusaidia basi walipaswa kutoa msaada bila kujali chama ili kukitangaza chama.

Kwa upande wa Bawacha wao ndo wamenishangaza kufanya press conference, kuandaa maandamano ya kutaka wanawake wezao ambao wanawawakilisha Bungeni waondolewe? Najiuliza je hayo ndio majukumu pekee waliyonayo? Nilitegemea wao wawe namba moja kutetea haki za wanawake nchini na ndani ya Chama lakini wamegubikwa na mfumo dume mpaka wamesahau haki zao za msingi.

Bawacha walipaswa kuwa msitari wa mbele kupigania haki za wanawake tena kwa wakati huu hii ni nafasi yao kwani mkuu wa nchi ni mwanamke walipaswa kumshauri Mhe. Rais ili atatue changamoto wanazokumbana nazo.

Sakata la wabunge 19 wa viti maalum binafsi naona Chama chetu kimeweka jambo hilo kwenye mtego wa kutaka kurumbana na serikali wakati wao ndo suluhu ya jambo hilo kwa sababu wabunge hao walifukuzwa chama lakini wakakata rufaa mpaka leo chama hakijawajibu rufaa kwa nini?

Nakumbuka kipindi cha Sakata la Zitto kuitwa msaliti chama kilijibu rufaa mapema na Zitto akafungua kesi mahakamani mwisho wa siku sintofahamu ikatatuliwa na Mahakama, hicho ndo kinachowafanya viongozi kuhofia kujibu rufaa za wale wabunge 19. Kwa sababu wale wabunge wakiongozwa na Halima Mdee wamejiandaa vya kutosha siku wakijibiwa tu rufaa wanaenda kufungua kesi ya madai ya kuonewa ndani ya Chama.

Hivyo viongozi wanajua na wanaelewa kuwa kwenye hiyo kesi hawawezi kuchomoka ndio maana wanaendelea kujivuta huku wakisuguana na Spika wa Bunge ili siku ziendelee kusonga mbele. Bavicha kwa sasa naona wamepewa agenda hii ya kumshambulia Spika ili kufanya mgogoro uwe mkubwa na kumkasirisha Spika ili aamue kuwafukiuza wabunge hao Bungeni.

Haya ni mapungufu machache niliyoyabaini kuhusu Chama changu, na nayaona ni hatari kwa sababu yanasababisha chama chetu kupoteza mvuto wa kisiasa. Natoa wito kwa viongozi wa chama kurudi nyuma kujitathimini, pamoja na kujikita katika agenda za chama kushauri Serikali kwa kutoa njia mbadala ya kutekeleza mambo mbalimbali ya kimaendeleo badala ya kupinga kila kitu kinachofanywa.

Tuache siasa za kushambuliana Tujenge Nchi yetu kwa kila mmoja kutimiza wajibu wake kabla ya kumyoshea mwingine kidole.​

View attachment 1780491
🤣🤣🤣🤣🤣Kwanza hongera kwa utambulisho wako ingawa ni hisan ya watu wa Lumumba. Pili nimesoma bandiko lako lote nimegundua kuna Mamb mengi ya msingi huyajui wala sheria husika. Suala la wabunge 19 ingefaa sana kama ungeweka vifungu vya sheria hapa ambavyo vimewapa haki ya kuendelea kua wabunge, kwakua umejinasubi ww ni kamanda tunaomba msaada wa kanuni na taratibu za uhalali au kutokua halali kwa hao wabunge. Mwisho.. usilete mambo ya gender kweny suala la kisheria, gender haina uhusiano wowote na uvunjwaji wa sheria au kutokuvunja sheria.
 
Mimi ni Mtanzania ninaishi nchini Marekani katika mji wa Chicago kiitikadi ni mfuasi wa CHADEMA, nimeguswa kuandika Makala hii kueleza masikitiko niliyonayo kwa vyama vya upinzani nchini hususani chama changu.

Nianze na kusema kuwa CHADEMA kilikuwa ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania hakikuwa na mpinzani kilijikita kuikosoa Serikali na kutoa mawazo mbadala, kwa sasa hali imekuwa ya tofauti kwani CHADEMA wameshindwa kutimiza wajibu wao wa kukosoa na kutoa mawazo mbadala.

CHADEMA kwa sasa hawana agenda wamebakia kudandia agenda za Serikali na chama Tawala CCM, yani nimekuwa nikifuatilia hawana wanachokifanya wamebakia tu kulalamikia mambo mbalimbali yanayofanywa na Serikali bila kutoa ushauri wa nini kifanyike.

Naumia sana kuona chama changu kikishindwa kusimama katika nafasi yake, mpaka vyama vya wasaliti vilivyoanza juzi tu vinaanza kuleta upinzani. Najiuliza tatizo nini? Je ni mfumo wa uongozi? Je viongozi kutojua majukumu yao?

Hivi karibuni nimeshuhudia wanachadema wezangu hasa vijana wakifanya harambee za kuchangisha fedha wakidai kuwa fedha hizo watazitumia kulipa faini watuhumiwa wa makosa mbalimbali ambao ni wanachama wetu, hii si sawa kwa sababu wanachofanya ni ubaguzi kwa Watanzania kama nia yao ni kusaidia basi walipaswa kutoa msaada bila kujali chama ili kukitangaza chama.

Kwa upande wa Bawacha wao ndo wamenishangaza kufanya press conference, kuandaa maandamano ya kutaka wanawake wezao ambao wanawawakilisha Bungeni waondolewe? Najiuliza je hayo ndio majukumu pekee waliyonayo? Nilitegemea wao wawe namba moja kutetea haki za wanawake nchini na ndani ya Chama lakini wamegubikwa na mfumo dume mpaka wamesahau haki zao za msingi.

Bawacha walipaswa kuwa msitari wa mbele kupigania haki za wanawake tena kwa wakati huu hii ni nafasi yao kwani mkuu wa nchi ni mwanamke walipaswa kumshauri Mhe. Rais ili atatue changamoto wanazokumbana nazo.

Sakata la wabunge 19 wa viti maalum binafsi naona Chama chetu kimeweka jambo hilo kwenye mtego wa kutaka kurumbana na serikali wakati wao ndo suluhu ya jambo hilo kwa sababu wabunge hao walifukuzwa chama lakini wakakata rufaa mpaka leo chama hakijawajibu rufaa kwa nini?

Nakumbuka kipindi cha Sakata la Zitto kuitwa msaliti chama kilijibu rufaa mapema na Zitto akafungua kesi mahakamani mwisho wa siku sintofahamu ikatatuliwa na Mahakama, hicho ndo kinachowafanya viongozi kuhofia kujibu rufaa za wale wabunge 19. Kwa sababu wale wabunge wakiongozwa na Halima Mdee wamejiandaa vya kutosha siku wakijibiwa tu rufaa wanaenda kufungua kesi ya madai ya kuonewa ndani ya Chama.

Hivyo viongozi wanajua na wanaelewa kuwa kwenye hiyo kesi hawawezi kuchomoka ndio maana wanaendelea kujivuta huku wakisuguana na Spika wa Bunge ili siku ziendelee kusonga mbele. Bavicha kwa sasa naona wamepewa agenda hii ya kumshambulia Spika ili kufanya mgogoro uwe mkubwa na kumkasirisha Spika ili aamue kuwafukiuza wabunge hao Bungeni.

Haya ni mapungufu machache niliyoyabaini kuhusu Chama changu, na nayaona ni hatari kwa sababu yanasababisha chama chetu kupoteza mvuto wa kisiasa. Natoa wito kwa viongozi wa chama kurudi nyuma kujitathimini, pamoja na kujikita katika agenda za chama kushauri Serikali kwa kutoa njia mbadala ya kutekeleza mambo mbalimbali ya kimaendeleo badala ya kupinga kila kitu kinachofanywa.

Tuache siasa za kushambuliana Tujenge Nchi yetu kwa kila mmoja kutimiza wajibu wake kabla ya kumyoshea mwingine kidole.​

View attachment 1780491
Endelea kubeba mizigo huko Chikago CDM bado iko Sana miyoyoni mwa watu kuliko wakati wowote kila wanavyojaribu kuihujumu ndio inazidi kuimarika
 
Mbowe ndio chadema na chadema ndio Mbowe, kwahiyo mtu kufungwa kwa kilicho chako sio mbaya ili mradi unajua kwamba utapotoka utaendelea kula neema ya kile ulichofungiwa. Lisu nae halikadhalika ana mgao wake mrefu chamani. Ndio maana Mbowe alipofungwa hela zilipatikana za kumtoa, lkn Mdude mpk leo zaidi ya mwaka ananyea debe.
Sugu alifungwa miezi 6, same to Lema,Lijualikali, and Mbowe sasa unaposema walipata hela ya kuwatoa.... Ni hela ipi hiyo?

Mdude kapewa kesi ya madawa ishakua grade 2 hivyo itaendeshwa kma ya kabendera tofauti na Za mbowe sijui uchochezi ambazo kimahesabu zina dhamana ila alifanyiwa hujuma tu kukaa miezi 6.

That being said upinzani wote umeonja mateso kuanzia chairman mpaka mjumbe wa msingi. So huu ubaguzi wa kwamba cjui viongozi ndio wanapaswa kuteseka kuliko wanachama inatoka wapi?
 
Mimi ni Mtanzania ninaishi nchini Marekani katika mji wa Chicago kiitikadi ni mfuasi wa CHADEMA, nimeguswa kuandika Makala hii kueleza masikitiko niliyonayo kwa vyama vya upinzani nchini hususani chama changu.

Nianze na kusema kuwa CHADEMA kilikuwa ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania hakikuwa na mpinzani kilijikita kuikosoa Serikali na kutoa mawazo mbadala, kwa sasa hali imekuwa ya tofauti kwani CHADEMA wameshindwa kutimiza wajibu wao wa kukosoa na kutoa mawazo mbadala.

CHADEMA kwa sasa hawana agenda wamebakia kudandia agenda za Serikali na chama Tawala CCM, yani nimekuwa nikifuatilia hawana wanachokifanya wamebakia tu kulalamikia mambo mbalimbali yanayofanywa na Serikali bila kutoa ushauri wa nini kifanyike.

Naumia sana kuona chama changu kikishindwa kusimama katika nafasi yake, mpaka vyama vya wasaliti vilivyoanza juzi tu vinaanza kuleta upinzani. Najiuliza tatizo nini? Je ni mfumo wa uongozi? Je viongozi kutojua majukumu yao?

Hivi karibuni nimeshuhudia wanachadema wezangu hasa vijana wakifanya harambee za kuchangisha fedha wakidai kuwa fedha hizo watazitumia kulipa faini watuhumiwa wa makosa mbalimbali ambao ni wanachama wetu, hii si sawa kwa sababu wanachofanya ni ubaguzi kwa Watanzania kama nia yao ni kusaidia basi walipaswa kutoa msaada bila kujali chama ili kukitangaza chama.

Kwa upande wa Bawacha wao ndo wamenishangaza kufanya press conference, kuandaa maandamano ya kutaka wanawake wezao ambao wanawawakilisha Bungeni waondolewe? Najiuliza je hayo ndio majukumu pekee waliyonayo? Nilitegemea wao wawe namba moja kutetea haki za wanawake nchini na ndani ya Chama lakini wamegubikwa na mfumo dume mpaka wamesahau haki zao za msingi.

Bawacha walipaswa kuwa msitari wa mbele kupigania haki za wanawake tena kwa wakati huu hii ni nafasi yao kwani mkuu wa nchi ni mwanamke walipaswa kumshauri Mhe. Rais ili atatue changamoto wanazokumbana nazo.

Sakata la wabunge 19 wa viti maalum binafsi naona Chama chetu kimeweka jambo hilo kwenye mtego wa kutaka kurumbana na serikali wakati wao ndo suluhu ya jambo hilo kwa sababu wabunge hao walifukuzwa chama lakini wakakata rufaa mpaka leo chama hakijawajibu rufaa kwa nini?

Nakumbuka kipindi cha Sakata la Zitto kuitwa msaliti chama kilijibu rufaa mapema na Zitto akafungua kesi mahakamani mwisho wa siku sintofahamu ikatatuliwa na Mahakama, hicho ndo kinachowafanya viongozi kuhofia kujibu rufaa za wale wabunge 19. Kwa sababu wale wabunge wakiongozwa na Halima Mdee wamejiandaa vya kutosha siku wakijibiwa tu rufaa wanaenda kufungua kesi ya madai ya kuonewa ndani ya Chama.

Hivyo viongozi wanajua na wanaelewa kuwa kwenye hiyo kesi hawawezi kuchomoka ndio maana wanaendelea kujivuta huku wakisuguana na Spika wa Bunge ili siku ziendelee kusonga mbele. Bavicha kwa sasa naona wamepewa agenda hii ya kumshambulia Spika ili kufanya mgogoro uwe mkubwa na kumkasirisha Spika ili aamue kuwafukiuza wabunge hao Bungeni.

Haya ni mapungufu machache niliyoyabaini kuhusu Chama changu, na nayaona ni hatari kwa sababu yanasababisha chama chetu kupoteza mvuto wa kisiasa. Natoa wito kwa viongozi wa chama kurudi nyuma kujitathimini, pamoja na kujikita katika agenda za chama kushauri Serikali kwa kutoa njia mbadala ya kutekeleza mambo mbalimbali ya kimaendeleo badala ya kupinga kila kitu kinachofanywa.

Tuache siasa za kushambuliana Tujenge Nchi yetu kwa kila mmoja kutimiza wajibu wake kabla ya kumyoshea mwingine kidole.​

View attachment 1780491
rubbish
 
Hawa jamaa, ni kweli walipatwa na msiba mzito, lakini tatizo wamedumu kwenye sononeko kwa mda mrefu, sasa! Ingetakiwa baada ya 40 waendelee na maisha mengine!
 
Chadema haifi kamwe, ukiona inakaribia kufa basi ujue wakati wa kukua ndio umefika.
 
Back
Top Bottom