CHADEMA yaanza kupoteza mvuto wa Kisiasa

ligend

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
468
1,000
Labda uuwe wachagga wote kisha Arusha, Manyara, Moshi, Dar es salaam, Mara, Mtwara,Lindi, Mbeya, Songwe, Iringa nk. zijitenge na Tanzania atleast hapo utakuwa umefanikiwa
 

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,424
2,000
Mkuu baki USA wenda ungekua tz Basi ungekua ulishaunga juhudi mda, njoo field tz mtaani ndo upate uhakika Kama CHADEMA imekufa au bado vinginevyo endelea kuwatia moyo Makamanda,chadema ipo vizuri that's mpaka mdaa huu kwa nguvu ya uma kila Kanda Sasa tunapandisha mijengo ya ofis katika hatua tofauti
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,537
2,000
Tatizo kubwa la Chadema kama mpira tunasema wana defend tu hawashambulii siku zote wako nyuma wana trend kutokana na matukio hata kama matukio mengine hayana tija au binafsi wanadandia na kutrend likija lingine hivyohivyo hakuna mikakati ya Chama unakujuwa labda wana program yao na kustick. Mimi napenda kuona upinzani una nguvu sababu ni afya kwa siasa zetu ila sio siasa za matukio.
Matukio gani? Chama cha siasa ni parallel government ndio maama bungeni serikalo ikipeleka bajeti lazima KUB ipeleke bajeti kivuli. Kamati za bunge zikipeleka mapendekezo bungeni lazima KUB ipewe nafasi ya kutoa minority opinion.

Kiufupi upinzani upo kuicheck serikali kwa kila hatua inayofanya. Kwahiyo sio kwamba ni matukio ila ndio kazi ya upinzani kuwa watchdog wa serikali ili ikijikwaa isahihishwe (Rejea kikokotoo, Muswada wa mapato ya gesi) na pia ikiwa na maamuzi mazito ipate maoni mbadala (Rejea katiba mpya) so hakunaga such thing is matukio bali kila inachofanya serikali iwe bungeni au uraiani ni lazima upinzani uwe counter active ili kuweka mizania ya uongozi na maamuzi sahihi.

Then kama ni hoja kuna vitabu vya sera mdee alizindua sera ya wanawake/jinsia ya CHADEMA na akaeleza jinsi inavyotaka kumkomboa mwanamke n.k ila sijaona mkipongeza. Mbowe kila siku anaongelea sera ya majimbo/devolution, ilani ya CHADEMA imezungumzia sana Private-sector kuwa kichocheo cha uchumi ila changamoto ni kwamba media zetu haiweki vitu serious inaweka tu habari za kishabiki.

Mfano press ya Mbowe na Lissu, yalizungumzwa mambo ya msingi sana lakini Mwananchi ikaweka headline kwamba Gari ya kwanza ya Mbowe alipata kwa msaada wa Nyerere instead ya kuandika kuhusu maoni yake juu ya Private-sector driven economy n.k
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,537
2,000
Ikiwa mke wa mwenyekiti, mke wa makamu mwenyekiti barabara na visiwani, na mke wa katibu mkuu wa chama hawatokuwepo ktk hayo maandamano ya leo. Basi nitawahesabu bawacha kuwa ni zaidi ya toile..t pape..r yani wametumika bila wao wenyew kujua kuwa wametumiwa. Shem on them!
huwa akili za ajabu sana hizi, kwani Mbowe alipolala selo miezi 6 aliingia na mwanachama gani? Lissu alipotandikwa risasi kuna mwanachama aliyeguswa na zile risasi? Ama ushiriki wao ni pale tu wananchi wakiwa kwenye risk??

Ni sawa na kusema eti Samia aende vitani frontline akiwa na bunduki kuliko kutuma vijana wa maskini kupigana vita!! Meaning commitment yake inapimwa kwa ushiriki wake na mme wake kubeba bunduki akiwa na full combat??

Embicile
 

Jozi 1

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
6,559
2,000
Jiandae kwa Matusi mama. Chadema hua haipokeo ushauri wala kusolewa na mtu. Ukijaribu tu unakula matusi
 

santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
2,048
2,000
Usiendelee kusema ‘chama changu’ wakati ni chama kilichokosa mvuto! Kuna vyama vingi Tanzania, Kwanini usihamie chama chenye mvuto?! CUF? Au ubaki kwenyepush-gang?!
 

liwaya

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
1,089
2,000
Sio hoja hiyo kwani ulipaswa ujiulize Kwanza mazingira ya siasa kwa miaka sita nyuma ilikuwaje
Imesikika ccm wenyewe wariathirika ktk kipindi hicho kwa kunyoonyesha kidole uongozi wao sembuse upinzani

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
33,221
2,000
Mama Samia amepoteza mvuto wa urais kabla hata ya siku 100 hazijaisha.She is cursed one term president!
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,537
2,000
Tuache siasa za kushambuliana Tujenge Nchi yetu kwa kila mmoja kutimiza wajibu wake kabla ya kumyoshea mwingine kidole.​


View attachment 1780491
Wewe sio CHADEMA kama kuna chama kimepinga mfumo dume ni CHADEMA.

Kilikuwa chama cha kwanza kuzindua sera ya wanawake/Jinsia ilizinduliwa 2020 na Halima Mdee.

Kilikua chama cha kwanza kusimamisha wagombea ubunge wengi zaidi wanawake tokea Uhuru. Kiliweka wagombea 70 wanawake nchi nzima tena wakiwaangusha wanaume kwenye kura za maoni.

CHADEMA ndio kilikua mstari wa mbele kudai rasimu ya warioba iliyotaka kufuta viti maalum ila kutoa fursa kwa kila jimbo (75) kutoa wabunge kwa equal gender proportion kama tu Kenya kwenye level ya county au UG na women MPs.

Huwezi zungumzia taasisi imara za CHADEMA ukaacha BAWACHA ambayo imeipiku hata BAVICHA kiushawishi. Hayo yote yasingewezekana kama sio Mbowe kui promote BAWACHA.

Btw Mdee cjui Zubelda na Matiko walifuatwa wakiwa chuo kabisa kuombwa kujiunga na CHADEMA na wakapewa ubunge wa majimboni. Kama ni mfumo dume why mwenyekiti awafuate wanawake hadi kuwapa majimbo na sio viti maalum tu.

Wait..... CHADEMA imeweka sera kwamba ukiwa viti maalum lazima ugombee jimboni kura za maoni ili kuwapa changamoto. Ndio maana priority ya viti maalum inatolewa kwa waliogombea majimboni kwanza na kutoa challenge kwa CCM. Hii inawapa motisha ya kupambana zaidi.

Hayo yote hayapo CCM then unakuja kudai kuna mfumo dume, are you serious?
 

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
850
1,000
huwa akili za ajabu sana hizi, kwani Mbowe alipolala selo miezi 6 aliingia na mwanachama gani? Lissu alipotandikwa risasi kuna mwanachama aliyeguswa na zile risasi? Ama ushiriki wao ni pale tu wananchi wakiwa kwenye risk??

Ni sawa na kusema eti Samia aende vitani frontline akiwa na bunduki kuliko kutuma vijana wa maskini kupigana vita!! Meaning commitment yake inapimwa kwa ushiriki wake na mme wake kubeba bunduki akiwa na full combat??

Embicile
Mbowe ndio chadema na chadema ndio Mbowe, kwahiyo mtu kufungwa kwa kilicho chako sio mbaya ili mradi unajua kwamba utapotoka utaendelea kula neema ya kile ulichofungiwa. Lisu nae halikadhalika ana mgao wake mrefu chamani. Ndio maana Mbowe alipofungwa hela zilipatikana za kumtoa, lkn Mdude mpk leo zaidi ya mwaka ananyea debe.
 

santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
2,048
2,000
Mbowe ndio chadema na chadema ndio Mbowe, kwahiyo mtu kufungwa kwa kilicho chako sio mbaya ili mradi unajua kwamba utapotoka utaendelea kula neema ya kile ulichofungiwa. Lisu nae halikadhalika ana mgao wake mrefu chamani. Ndio maana Mbowe alipofungwa hela zilipatikana za kumtoa, lkn Mdude mpk leo zaidi ya mwaka ananyea debe.
Acha upotoshaji,?Mbowe zilipatikana pesa za kulipia faini baada ya kuhukumiwa, za mdude zitapatikana, kama akihukumiwa kulipa faini! Alafu pesa hakukipa faini ya Mbowe tu, kulikua na wenzake!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom