Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,830
- 218,499
Hizi ni salamu mchanganyiko kutoka vitengo mbali mbali, ikiwemo Bavicha na Chadema Digital, ni salamu za baraka kutoka Chadema kwenda kwa Wananchi wote wapenda haki tu.
Hizi ni salamu kwa wale wanaojitambua tu, wale wanaofahamu umuhimu wa KATIBA MPYA, kama hutaki katiba mpya tafadhari usipokee salamu hizi.
Hizi ni salamu kwa wale wanaojitambua tu, wale wanaofahamu umuhimu wa KATIBA MPYA, kama hutaki katiba mpya tafadhari usipokee salamu hizi.