Akili 7
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 731
- 1,416
Ikibidi ni vyema ccm wameshachoka pia wanawadharau sana wananchi ,pia ufisadi kwao ni mfumo ona magufuli anashindwa kuchukua baadhi ya atua kwa kuhofia wastahafu.Sawa, unadhani suluhu ya haya ni Kubadili chama?
Lakini kikiingia chama kingine kitafumua mifumo yote ya kulindana na ufisadi ikibidi wataondolewa kinga viongozi wastahafu na kuweka mifumo imara ya kiuongozi na kiuchumi ambayo itaarakisha maendeleo yetu haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app