CHADEMA Yaanikwa Bungeni Jioni Hii!

CHADEMA Yaanikwa Bungeni Jioni Hii!

Bunge la bajeti linaendelea nyie mnapiga kampeni Iringa. Sioni kama mnawatendea haki wananchi waliowapigia kura.

Hawa Wabunge wa CDM walifukuzwa Bungeni na Spika Makinda kwa siku tano. Ni vema wawaeleze hasa wapiga kura katika majimbo yao, kukosekana haki hata Bungeni. Kauli mbiu ya CDM "Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke"!!!!!!!!!!!!!!
 
Safi sana mzee, waeleze hawa magamba
 
Hawa Wabunge wa CDM walifukuzwa Bungeni na Spika Makinda kwa siku tano. Ni vema wawaeleze hasa wapiga kura katika majimbo yao, kukosekana haki hata Bungeni. Kauli mbiu ya CDM "Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke"!!!!!!!!!!!!!!

babu mzima unaunga Mkono fujo? Mtu anaambiwa kaa chini hataki, toka nje hataki mpaka walipoletwa askari ndo akakubali kutoka kweli Chadema kama Punda hawaendi bila ya bakora, wangepinga kwa kujiuzulu au kukataa posho sio kwa kwenda kuchochea ghasia na kubughudhi watu wanaojitafutia maendeleo!
 
shkamoo babu,shimboni. Hawa vijana wako ni wahuni sana...hawana hoja wanaishia kufanya vurugu.acha wamalize ujinga wao wakirudi watakuwa wameshika adabu yao mana hata wewe mzee kama michango yako ndio hii basi chama kimekufa hiki
 
Hata profesa wao hamna kitu.Mawaziri wao vivuli hawajai hata mkononi. hv kweli wakipewa nchi wataweza kuongoza??
Wakipewa au tukichukua bila nyie kupenda?? Unadhani tunasubiri hadi muamue...Jaribu kuongea kwa mdomo basiii!!!
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

ARE YOU ALWAYS STUPID OR YOU ARE TRYING TO MAKE AN EFFORTS TODAY:bange:
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

Hakuna mpya, majibu yao ni yale yale, mara serikali inajipanga, tuko kwenye mchakato.....nk. Hakuna majibu makini kuhusu matatizo ya kilimo kwa watanzania,
mbona huyo waziri wako amebabaika wakati Zitto akitoa ushahidi wa matumizi mabaya ya vocha za ruzuku. Ili kuendeleza ufisadi wameamua vocha za ruzuki ziendelee ili kunufaisha watu wachache wakati wakulima hawapati hizo mbolea.
Repoa walifanya utafiti mwaka 2010, round ya kwanza، ikafanya tena round 2 mwaka 2012, mi nilikua miongoni mwa walioshiriki katika tafiti hizo kuna madudu ya ajabu kwenye pembejeo, tafuta report kutoka REPOA utaona haya yanayoongelewa. (National Agricultral Inputs Voucher Schemes-NAIVS report) round ya 3 itafanyika mwaka huu.
Na hata report ya CAG imeonesha hivyo, lakini serikali inang'ang'ania mfumo uendelee kwa sababu wanaonufaika na wizi wa vocha ndiyo wanaochangia chama kwenye shughuli mbali mbali.
Wizi mtupu.
 
Ccm acheni longo longo zenu.hadharani munajifanya munapinga ya Chadema.Mukijifungia chumbani munayatendea kazi ya Chadema kwa kuyafanya ni yenu.
 
babu mzima unaunga Mkono fujo? Mtu anaambiwa kaa chini hataki, toka nje hataki mpaka walipoletwa askari ndo akakubali kutoka kweli Chadema kama Punda hawaendi bila ya bakora, wangepinga kwa kujiuzulu au kukataa posho sio kwa kwenda kuchochea ghasia na kubughudhi watu wanaojitafutia maendeleo!

mkuu songoro huyu mzee anazeeka vibaya
 
Aache ujinga awasifu kwa lipi? Madudu yote kwenye kilimo usifiwe fanya mambo watu waone acha blabla tatizo mnazani kuwa kuwa CCM msikosolewe chukueni hoja za cdm fanyieni kazi wakose cha kusema kichaa kakimbia na nguo zako unamkimbiza hiyo akili au matope.
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

Wilaya 70 zinakabiliwa na njaa nchini umakini upo wapi? Acha upumbavu
 
babu mzima unaunga Mkono fujo? Mtu anaambiwa kaa chini hataki, toka nje hataki mpaka walipoletwa askari ndo akakubali kutoka kweli Chadema kama Punda hawaendi bila ya bakora, wangepinga kwa kujiuzulu au kukataa posho sio kwa kwenda kuchochea ghasia na kubughudhi watu wanaojitafutia maendeleo!

Mtu mzima hakalishwi chini.
 
Hawa Wabunge wa CDM walifukuzwa Bungeni na Spika Makinda kwa siku tano. Ni vema wawaeleze hasa wapiga kura katika majimbo yao, kukosekana haki hata Bungeni. Kauli mbiu ya CDM "Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke"!!!!!!!!!!!!!!

babu ee, nina maswali matatu kwako.1.nn maoni yako kuhusu ugaidi wa video ya lwakatare. 2zitto alipotangaza nia ya kugombea urais ulimkoromea sana lakini haikupita wiki wewe na mkweo mkamtangaza slaa..3. Nini maoni yako kuhusu wajumbe wa tume ya katiba, bado una msimamo wako kuwa waislam ni wengi? Asante msee wangu kwa majibu masuri.
 
babu mzima unaunga Mkono fujo? Mtu anaambiwa kaa chini hataki, toka nje hataki mpaka walipoletwa askari ndo akakubali kutoka kweli Chadema kama Punda hawaendi bila ya bakora, wangepinga kwa kujiuzulu au kukataa posho sio kwa kwenda kuchochea ghasia na kubughudhi watu wanaojitafutia maendeleo!

akae chini kwa vile tu kaomba muongozo kujibu kashfa feki za mwigu ila aliyetukana matusi ya nguoni hamumzungumzii kabisa,na hapa unaonyesha tabia ile ile ya wapuuzi wenu bungeni kwa kumkosea adabu mtu mzima mwenye heshima zake ktk medani za siasa Tz kama huyu,ngoja nikuonyeshe kuwa wendawazimu kama wewe tupo humu. mods naomba nimnyooshe mtu hapa,hivi wewe ulizaliwa mamako akiwa wima nini?ndio maana hauko sawa manake kichwa chako kilipiga chini wakati unakuja duniani ulianguka kama embe na chama chako kitaanguka hivyo hivyo na ndo maana kinaweweseka kama wewe,nyambaf!
 
Kazi ya Chadema ni kukosoa siyo kupigia makofi serikali ndo maana ya vyama vya ushindani/upinzani duniani kote. Kazi ya Serikali ni kuwaletea wananchi maendeleo kwa kutumia kodi za watanzania wote , wakiwepo wanachadema, na siyo kwa kutumia mishara yao. kukoselewa siyo kulaumiwa.

daah strong said machache lakini umechambua mambo mengi well done. Bahati mbaya natumia simu ningekupa bonge la like.
 
"Dah!! Kweli Nnape ana kazi!! Hivi nawewe anakulipa kweli kwa UTUMBO huu!!!??"

alichosema mtoa mada sio utumbo.ndio ukweli wenyewe.tatizo ni kwamba hufikirii mbele unafikiria mita 1 kutoka macho yako.
mawaziri viuli wanatia aibu.
 
Kwa CHADEMA kulalamika inaweza isiwe shida sana, janga ni pale ambapo hata walio madarakani nao wanalalamika sana tu hadi mkuu wa nchi.Rais, mawaziri, ma-dc, nk wote hao wanalalamika.
 
akae chini kwa vile tu kaomba muongozo kujibu kashfa feki za mwigu ila aliyetukana matusi ya nguoni hamumzungumzii kabisa,na hapa unaonyesha tabia ile ile ya wapuuzi wenu bungeni kwa kumkosea adabu mtu mzima mwenye heshima zake ktk medani za siasa Tz kama huyu,ngoja nikuonyeshe kuwa wendawazimu kama wewe tupo humu. mods naomba nimnyooshe mtu hapa,hivi wewe ulizaliwa mamako akiwa wima nini?ndio maana hauko sawa manake kichwa chako kilipiga chini wakati unakuja duniani ulianguka kama embe na chama chako kitaanguka hivyo hivyo na ndo maana kinaweweseka kama wewe,nyambaf!

acha ututusa ww, mwigulu alieleza kweli tupu kwamba mwasisi wa udini hapa nchini ni slaa na chama chake..ukweli unauma
 
Bunge la bajeti linaendelea nyie mnapiga kampeni Iringa. Sioni kama mnawatendea haki wananchi waliowapigia kura.

sasa tufanyeje kama hamtaki tuwakosoe na kuwataka kualakisha maendeleo kwa wananchi tukiwa bungeni.
 
Back
Top Bottom