CHADEMA Yaanikwa Bungeni Jioni Hii!

CHADEMA Yaanikwa Bungeni Jioni Hii!

Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

---- firano
 
vipi kasema nini kuhusu hoja ya halima mdee kuhusu monsonta?
 
Samahani!!!! Kwa sasa tupo Iringa kwenye mkutano wa kitaifa na Makamanda....

Bunge la bajeti linaendelea nyie mnapiga kampeni Iringa. Sioni kama mnawatendea haki wananchi waliowapigia kura.
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Tayari unasubiri ujira wako kwa nape? Hongera ndugu.
 
hivi nyie cdm mnaichukuliaje zaidi ya chama kinachounda kambi ya upinzani bungeni?naona kila saa mnaitaka cdm kuja na majibu ya utatuzi wa matatizo yanayowakabiri wananchi,as if wao ndo wana dhamana hiyo.my take.kama ccm mmeshindwakazi wakabidhi cdm mapema na kwa amani,kuliko kulialia kila saa.
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

We kiraza kweli sasa unategemea chadema watoe majibu kwa nani zaidi ya kuikosoa serikali na upumbavu wake inaoufanyia umma wa wakulima hivi humu unafanya nini maana naona kama hujitambui vile unaona kuwa great thinker
 
Ni kweli Sisiemu ipo Makini, lakini umakini wao upo katika Maneno ya kutuhadaa Wananchi, umakini wa Vitendo haupo kabisa!
Watanzania wanaona barabara zilizojengwa kila kona ya tanzania, hivi sasa unatoka mwanza hadi mtwara kwa bajaji.wanaona shule za sekondari kila kata, wanaona vyuo vikuu kila mkoa, ndio mana wanaiamini ccm na serikali yake. Wenye chuki kama ww ndio hamuoni
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

Hapo highlighted!! Aaaaa wapi!! wameshadanganya wadanganyika miaka nenda rudi!! Kuna kilimo Tanzania siku hizi? Kinalipa? Ile Irrigation Master Plan ya miaka nenda rudi iko wapi? Hata ile ya umwagiliaji ya wajapan kilimanjaro waliset vizuri wakaondoka si imekufia mbali? Acha utani wewe!! Ile ASDP iko wapi? Sera ya kilimo imepitwa na wakati!! Sheria ya kilimo hawana? My God, unataka niseme yote? Nitaandika kitabu kuhusu kilimo kibovu tanzania? Hebu nenda kwa takwimu za kiuchumi kilimo kwa sasa kinachangia kiasi gani (%) kwa pato la taifa? Kimeshuka sana!! Bring evidences here man!!
 
We kiraza kweli sasa unategemea chadema watoe majibu kwa nani zaidi ya kuikosoa serikali na upumbavu wake inaoufanyia umma wa wakulima hivi humu unafanya nini maana naona kama hujitambui vile unaona kuwa great thinker
Wewe una mawazo gani kama sio upumbavu kama wa mbowe juzi anawasilisha malalamiko badala ya maoni ya kambi ya upinzani
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

Kwa mimi ninae jua usanii wa serikali hii, namna Chiza ni mtu asiyekuwa na maana, yeye anaikingia serikali kifua kwa kumtengea billion 328 sekta ya kilimo , hii ajabu kweli, watanzania tulivyowavivu wa kufikiri tunaona upinzania wanakosea ! poleni watanzania mlioamua kuwa wavivu wa kufikiri
 
Watu kama nyie mnatakiwa kuwa chakula cha kuku au nguruwe tu. Hamna faida yyote.

Tuambie bidget ya wizara ya kilimo ni shilingi ngapi?
Mwaka jana ilikuwa ngapi na wamepatia kiasi gani kutoka hazina.

Mnaleta mizaha tu kwenye mambo serious.
Serikali kufanya kazi ya kujibu hotiba ya upinzani kwa muda wote ni msumari wa mwisho kwa ccm.
 
Bunge la bajeti linaendelea nyie mnapiga kampeni Iringa. Sioni kama mnawatendea haki wananchi waliowapigia kura.
Dawa yao ipo kwenye sanduku la kura. Kuna uchaguzi mdogo ktk kats 26 mwezi ujao ngoja wataona vumbi
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

Are you out of your mind, man?! Tueleze huo umakini wa CCM kutatua matatizo ya kilimo Tanzania kwa miaka 51 ya UHURU? You sound as if you are coming from a RUBBISH PIT!
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

kweli AKILI NDOGO, KUONGOZA AKILI KUBWA,
Sasa ulitaka chadema waje na ripoti ya kutekeleza Miradi?
Vipi amejibu yale maswali yote aliyo ulizwa?
 
Watanzania wanaona barabara zilizojengwa kila kona ya tanzania, hivi sasa unatoka mwanza hadi mtwara kwa bajaji.wanaona shule za sekondari kila kata, wanaona vyuo vikuu kila mkoa, ndio mana wanaiamini ccm na serikali yake. Wenye chuki kama ww ndio hamuoni

Shule zilizoweka rekodi ya wanafunzi kufeli?
 
Kwa mimi ninae jua usanii wa serikali hii, namna Chiza ni mtu asiyekuwa na maana, yeye anaikingia serikali kifua kwa kumtengea billion 328 sekta ya kilimo , hii ajabu kweli, watanzania tulivyowavivu wa kufikiri tunaona upinzania wanakosea ! poleni watanzania mlioamua kuwa wavivu wa kufikiri

Hawa jamaa ni wapuuzi wakubwa. Ni dhaifu wasio na uwezo wa kumuendeleza mtanzania.
Budget ya kilimo ni 1.8% ya budget ya serikali. About 4% less budget iliopita.

Kweli taifa lenye 74% wakulima linawezakuendelea kwa buget ya 328 bilioni?

Hii ni akili ya wapi hii? What happened to the ----en kilimo kwanza?!
 
Back
Top Bottom