Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,377
we acha kuandika utumbo km umeangalia bunge leo na jana wabunge kibao wa ccm wamepinga ule utumbo wa chiza wewe unasifia madudu kha iq yako ndogo sana!
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
daah strong said machache lakini umechambua mambo mengi well done. Bahati mbaya natumia simu ningekupa bonge la like.
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Kama Vile Mulugo na Wizara ya Elimu, ama Proffessor Wa Maua (Maghembe) na MajiWandugu tuwe makini wakati wa kuwachagua mawaziri vivuli angalau wawe na ujuzi wa cheo husika
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Ni u.p.u.u.z.i uliopitiliza kila kitu kuleta propaganda na kujaribu kucheza na akili na hisia za Watanzania ambao sasa wanaelekea kukata tamaha!ni miaka mingapi sasa C.c.m imeshika dola hatujaona lolote katika kila sekta ikiwemo hata huko kwenye mapinduzi ya kilimo?wakulima bado ni maskini wakutupwa,bad enough serikali inaua soko la wakulima wake wa ndani kwa kuagiza mazao fake toka nje,huku ikizuia wakulima wa ndani kupeleka mazao yao nchi jirani,matokeo yake ni mazao kuwaozea wakulima maghalani au kuyauza kwa bei ya hasara!serikali wamebaki na kauli mbiu tu,mara kilimo kwanza mara vile!kila siku wao ni kulalamikia Chadema as if Chadema ndio wameshika dola na wanakusanya kodi za Watanzania!nchi inazidi kudidimia kwenye dimbwi la umaskini,elimu inadidimia,afya inadidimia!c.c.m imebaki kujadili mambo ya kitoto na yasiyo na tija kwa taifa ili na kuiota chadema usiku na mchana!ni Mtanzania asiye na fikra tu ndio anaweza akapumbuzwa na hoja za kitoto kama bandiko lako wewe mleta mada!c.c.m imefika mwisho wa uwezo wake katika kudeliver kwa wananchi wa Tanzania,hawana jipya tena,hapo ndio ukomo wao!Watanzania lazima tusimame kwenye ukweli na hoja za msingi kwa ajili ya manufaa ya taifa letu,sio kushabikia vitu vya kijinga na visivyo na tija wakati nafsini mwetu tunajua ukweli uko vipi
Wandugu tuwe makini wakati wa kuwachagua mawaziri vivuli angalau wawe na ujuzi wa cheo husika
kwani kazi ya chama cha upinzani ni nini?
Kusema kweli ya Yule profess Kahigi yalitutia aibu, unasema kamaliza form four,2012?Hata profesa wao hamna kitu.Mawaziri wao vivuli hawajai hata mkononi. hv kweli wakipewa nchi wataweza kuongoza??
shkamoo babu,shimboni. Hawa vijana wako ni wahuni sana...hawana hoja wanaishia kufanya vurugu.acha wamalize ujinga wao wakirudi watakuwa wameshika adabu yao mana hata wewe mzee kama michango yako ndio hii basi chama kimekufa hiki
Jamani seriously naomba msaada. Hivi hotuba ya upinzani inatakiwa ilenge nini? Nauliza kwa kuwa kila mara naona hotuba zao zinalalamikiwa na wakati mwingine kuchanwa. Wao wanatakiwa waseme nini? educate me.Hata profesa wao hamna kitu.Mawaziri wao vivuli hawajai hata mkononi. hv kweli wakipewa nchi wataweza kuongoza??
Ni kweli Sisiemu ipo Makini, lakini umakini wao upo katika Maneno ya kutuhadaa Wananchi, umakini wa Vitendo haupo kabisa!