CHADEMA Yaanikwa Bungeni Jioni Hii!

CHADEMA Yaanikwa Bungeni Jioni Hii!

Ni kweli CCM wako makini kwa kutengeneza mbinu za kuwaibia walipa kodi wa nchii hii kupitia wizara ya Kilimo CCM mmedhihirisha mko makini katika kutetea wizi wa fedha za walipa kodi kwa kuendelea kutetea Stakabadhi ghalani,Kuendelea kutegemea mbegu kutoka nje,Kutetea mfumo wa vocha za pembejeo.maana hata leo alipojaribu kamanda Zitto kujenga hoja zibadilishiwe matumizi fedha za vocha za pembejeo mafisadi wote walisimama kutetea,akiwamo Vijisenti.
Nani asiejua jinsi ulaji wa fedha za vocha za pembejeo unavyofanyika?wakulima wangapi wanapokea mbolea na pembejeo zingine?Nani hajui vocha hizo zimekuwa zikijazwa na hadi wanafunzi?Nani hajui marehemu nao waliorodheshwa kuwa wamepokea pembe jeo.
Kweli MACCM WAKO MAKINI
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Mafili hii ina tofauti gani na wabunge wengine wanaosimama, wanaunga mkono hoja asilimia mia kisha wanaikosoa asilimia mia (bila kutaka mabadiliko au kutoa mapendekezo) mwisho wanaunga mkono hoja na kuketi?
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi
Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango
ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini
kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa
kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

Nonsence....go and rebuild ur stance!
 
kelele za chura haziwezi kumzuia ng'ombe kunywa maji yatanyweka tu hata kelele ziwe milioni na zaidi; kikosi kinasonga mbele zaidi
 
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

HALMASHAURI 70 kati ya 136 nchini, zinakabiliwa na janga la njaa. (Halmashauri zenye njaa ni ailimia ngapi?)

Chiza Alisema tathmini iliyofanywa na serikali kwa kipindi cha Septemba 2012 na Januari 2013, ilibaini kuwa halmashauri 47 katika mikoa 19 zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula. Chiza aliitaja mikoa yenye upungufu mkubwa wa chakula kuwa ni Arusha, Kilimamnjaro, Manyara, Morogoro, Lindi, Tanga, Mtwara, Pwani , Shinyanga, Simiyu, Tabora, Mwanza, Mara, Kagera, Iringa, Mbeya, Rukwa, Dodoma na Singida. (Hivi mikoa ya G5 unaifahamu? je yaweza kuwa na njaa?, Huo ukame ulisemwa bungeni ulitokea lini tanzania na ulielezwa kwa vyombo vipi vya habari, Je Madhara ya kuzuia mipaka kuuza mazao yaliyozalishwa na G5 wameyaongeleaje hiyo serikali yetu makini? )

Katika bajeti yake, wizara imeomba kiasi cha sh 328,134,608,000 kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2013/14.Mchanganuo wake sh bilioni 247 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida (Yepi, Chumia tumbo ambayo ni mishahara, posho n.k ) na sh bilioni 81 ni kwa ajili ya shughuli za maendeleo. (Ni asilimia ngapi ya fedha? Serikali makini hujali Matumizi ya kawaida kuliko Maendeleo?)

Chiza alisema katika matumizi ya kawaida sh bilioni 210.1 ni kwa ajili ya matumizi mengine (Yepi? Hata mimi siyajui), sh bilioni 25.6 (mishahara ya wizara) na sh 11.3 (mishahara ya bodi na taasisi).

Alisema kuwa kati ya fedha za bajeti ya maendeleo sh bilioni 23.9 ni fedha za ndani na sh bilioni 57.1 ni za nje.(Serikali makini hutegemea maendeleo kwa fedha za wafadhili?)

Mpaka hapo sina koment soma na chambua mwenyewe
 
Mhandisi anapokua waziri wa Kilimo! MIMI NACHOKA SANA:iamwithstupid:
 
Huyu waziri anapaswa kusikiliza Ushauri wa mstahiki mbunge Livingstone Lusinde alisema kazi ya kuwajibu Chadema aachiwe yeye na Mwigulu si umeona wengi wao wamekimbia bunge sasa wako Iringa kuchochea ghasia baada ya makombora ya Mwigulu kulenga shabaha na kuteketeza mpaka ghala lao la silaha feki. Mawaziri tekelezeni Ilani za Uchaguzi kundi la wahuni woteamekabidhiwa Mwigulu akisaidiwa na Mstahiki Lusinde, wakijitutumua tunamuongeza Engineer Stela Manyanya (RC). Sasa hivi wako nyang'anyang'a wanasubiri uamuzi wa kuzima mashine ya kupumulia October,2015 Dkt Jakayaatapomaliza shift yake!

Hebu tuwekee hapa taarifa za ufuatiliaji wa ahadi zilizotekelezwa na ambazo bado na serikali sikivu, inayoweza kuongoza, isiyopenda kulalama bali kuchapa kazi, Huenda tutakuelewa. Kwa nini mnapenda kuongea kwa maneno badala ya vithibitisho? Unadhani taarifa za utekelezaji zingewekwa wazi watu wenye macho si wangejionea? Kila kitu siri zikiwekwa wazi malalamiko.
 
Mkuu ulitegemea yule mama anayetukana yule na hotuba nzuri haiwezekani
 
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.

Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

Hivi matatizo yanatatuliwa kwa miaka 50!!!

Korea wamekuwa first world nani ya miaka 50............ sisi bado kuna watu wanasifia kuwa CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo. Hii ni nchi pekee Africa iliyokuwa na chuo kikuu cha kilimo kwa muda mrefu Africa lakini kila siku tuna story mpya mara kilimo kwanza .........!!!! Huu ushabiki hautatufikisha popote!!!
 
Mimi namfahamu aweda tangu akiwa mbulu uwezo wake wa kiakili mdo sana sada mtu kama huyo apewe uongozi sitakua pata potea,daima atawadanganya wasiomjua.
 
Kwahio badala ya kutoa speevh yake yeye akawa anawajibu CDM!!!! Ajabu hii
 
Kama hiyo hotuba ya waziri wako ina mashiko mbona nchi inateketea? Kila kukicha
 
HALMASHAURI 70 kati ya 136 nchini, zinakabiliwa na janga la njaa. (Halmashauri zenye njaa ni ailimia ngapi?)

Chiza Alisema tathmini iliyofanywa na serikali kwa kipindi cha Septemba 2012 na Januari 2013, ilibaini kuwa halmashauri 47 katika mikoa 19 zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula. Chiza aliitaja mikoa yenye upungufu mkubwa wa chakula kuwa ni Arusha, Kilimamnjaro, Manyara, Morogoro, Lindi, Tanga, Mtwara, Pwani , Shinyanga, Simiyu, Tabora, Mwanza, Mara, Kagera, Iringa, Mbeya, Rukwa, Dodoma na Singida. (Hivi mikoa ya G5 unaifahamu? je yaweza kuwa na njaa?, Huo ukame ulisemwa bungeni ulitokea lini tanzania na ulielezwa kwa vyombo vipi vya habari, Je Madhara ya kuzuia mipaka kuuza mazao yaliyozalishwa na G5 wameyaongeleaje hiyo serikali yetu makini? )

Katika bajeti yake, wizara imeomba kiasi cha sh 328,134,608,000 kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2013/14.Mchanganuo wake sh bilioni 247 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida (Yepi, Chumia tumbo ambayo ni mishahara, posho n.k ) na sh bilioni 81 ni kwa ajili ya shughuli za maendeleo. (Ni asilimia ngapi ya fedha? Serikali makini hujali Matumizi ya kawaida kuliko Maendeleo?)

Chiza alisema katika matumizi ya kawaida sh bilioni 210.1 ni kwa ajili ya matumizi mengine (Yepi? Hata mimi siyajui), sh bilioni 25.6 (mishahara ya wizara) na sh 11.3 (mishahara ya bodi na taasisi).

Alisema kuwa kati ya fedha za bajeti ya maendeleo sh bilioni 23.9 ni fedha za ndani na sh bilioni 57.1 ni za nje.(Serikali makini hutegemea maendeleo kwa fedha za wafadhili?)

Mpaka hapo sina koment soma na chambua mwenyewe

Saaaaaafi kabisa umemfunga domo lake with facts
 
Kuisema chadema kuwa inalalamika umekuwa wimbo wa taifa kwa ccm..... Maana wanakurupuka tu kisa ni upinzani ndo wametoa hotuba hiyo..

Waangalie kwa makini mapendekezo yapo

Wamepanic hao....yeye ndio anatakiwa kutoa majibu sio mbwembwe....kila mwaka tumedhamiria tumedhamiria....ukija kwenye nishati tangu nipo mtoto mpaka leo nina watoto ni Linganga na Mchuchuma...
 
Back
Top Bottom