Chadema wimbo huu wa 20% mmeutafakari???

Chadema wimbo huu wa 20% mmeutafakari???

Huu wimbo una mistari iliyoenda shule sana, inaangaza hali halisi ya mtanzania na matukio halisi yanayoendelea hapa bongo...mi niliusikilizza East Afrca Radio kipindi cha Zembwela
 
Lyrics sensible but them being composed by a marijuana smoker means they are smelling of nothing than marijuana.


siku zimbabwe inapata uhuru bob marley alikuwa pale na baba wa taifa nyerere alikuwepo...nyerere alikuwa na mawazo kama yako wakati anamuona bob marley na wala hakumsalimia kwa kumshika mkono...baada ya bob marley kupewa jukwaa na kuimba wimbo mmoja(umenotoka) nyerere aliiniuka toka alipokaa na akashiriki skucheza na kumtuza bob..na hakuamini alichokuwa anakisikia...
 
Watu wengine ******* na akili zao kama mashoga wanaopumuliwa kisogöni kama ww unaejiita Ridhia
 
Katika wimbo wa INAUMA Twenty Percent msanii wa kizazi kipya amesema hivi..Nanukuu
"Valia magwanda kuongoza taifaaaa,,, natabiria utakuja kuziba nyufaaa,,,nakuhusia usije kubweteka sifaaa,,,siunachekshia raia tunavyotesekaaa....."

Watanzania tupo nyuma yenu msituangushe.

Ametisha Mzee wa Kimanzichana
 
"...Ndimu na Ugali,
Maisha makali,
Elimu iko mbali,
...................,
.....................,
............ . .. ....,
....... .............,
Jerooo nauli,
Baki mia mbili,
Kazi na ugali,
Siiii ubahili,
#Mama sina pesa kweli..."
 
Back
Top Bottom