Yuko Wapi Wa Kuisusia Tanzania Mkuu? Hivi Nyie Mna AKILI TIMAMU Kweli?
- Marekani Na Uingereza....MADINI
- China....GESI
- Ujerumani....MIUNDOMBINU
- Japan....UJENZI
- India....USAFIRISHAJI
- Sweden, Finland, Belgium Na Denmark.... TAASISI ZA MABENKI, UWEKEZAJI Na ELIMU Hapa Nchini.
Naomba Kuuliza Je Hao " Wapumbavu Na Malofa " WANAOYAPINGA Matokeo Wameenda Ktk Moja Ya Hizo Nchi Tajwa Hapo Juu au Wameenda Kabisa Mbinguni Kwa Mwenyezi Mungu Kusema?
Kama ANDREW CHENGE...!!
Naumia sana... CCM ni shetani...!!
Watanzania ndio wameamua ccm ibaki madarakani na sio ICC au ICJ. Deal with it as a manKwan lazma CCM ibaki madarakani?
safiiiiiiii..yn safii sana sasa ninepata nguvu
Twendeni makamanda
yani shamra shamra hakuna as if kuna msiba ivi kilichotarajiwa sicho kilichotokea watu wamekata tamaa kabisa
kila rahel makamanda
I expected the same.
Tuwapongeze kwa vile wamechagua njia ya ki diplomasia badala ya short cut.
SAfiiiiiiii... safinaaaaa...!!! ✌✌
Naanza KUTABASAMU...!!!
ICC wajeeeeee...wajeeeee...!!
Hilo ni jambo la maana sana.
Support yangu mnayo. Uhuni huu wa ccm lazima ufike mwisho.
Nafikiri hiyo ni busara na Hekima ya viongozi wa UKAWA.
G Sam napumua kidogo Mungu yupo
kwa nini watuchagulie magufuli ambae hatukumchagua?huu ni uhuni uliotukuka
Tena, This case they can WIN IT... kwa hoja rahisi tu, ya VOTE RIGGING...!!! Sbb copies za MIKOA yote Matokeo ya UCHAGUZI wanazo..!!!
Na Lowassa, Chadema, kapata 10.2 Mil. Votes...!!!
So, NEC watakipata...!! ✌✌
Watanzania ndio wameamua ccm ibaki madarakani na sio ICC au ICJ. Deal with it as a manKwan lazma CCM ibaki madarakani?
We we kweli lofa na mpumbavu.wana umahiri gani ?.hao wanasheriaWanasheria mahiri wa Chadema wakiongozwa na Tundu Lissu wamefika katika mahakam ya kushughulikia mashitaka dhidi ya uhalifu ya ICC kupeleka rasmi mashitaka yao dhidi ya hujuma na udhalilishaji juu ya uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015.
Wanasheria hao ndiyo wanaosubiriwa na uongozi wa Chadema/UKAWA kuleta mrejesho kabla ya kuchukua hatua zaidi dhidi ya tume na Chama Cha Mapinduzi kutokana na hila zilizofanyika.
NI ICJ SIO ICC.!
NB;
Mahakama hii haina mandate ya kumvua Magufuli ushindi (kuyokana na Katiba yetu ibara ya 41(7) kuzuia. Ila jurisdiction ya Mahakama hii ni kusema kama kuna udanganyifu ulifanyika au lah. Mahakama hii pia inaweza kueleza kama kuna njama za kuhujumu matokeo (conspiracy) zilizofanywa baina ya CCM na Tume ya Uchaguzi. Kwahiyo hata km mahakama hii haiwezi kumvua Magufuli ushindi, lakini hukumu yake inaweza kusababisha uchaguzi urudiwe kama ilivyofanya kwa nchi ya Romania miaka iliyopita.
mm ninacho penda nikuwa lowasa kaifanya siasa ya Tanzania iingie kwenye level nyingine kabisa.