CHADEMA watawaambia nini watanzania 2015?

Mi sijui watasema nini hawa chadomo kwa kweli. Hakuna kitendo kilichofanyika zaidi ya porojo...
Juzi sugu kapigana bungeni mpaka anaburuzwa chini kama mlevi halafu chama chote wanamsifia kana kwamba akili zao zote zinafanan,
mbunge anapigana bungeni halafu chama chake kinamsifia mambo ya ajabu sana haya ukiona hivyo hata kiongozi wao naye ndivyo alivyo.
 
Chamviga,

Hongera. Unajua wangapi walijaza fomu za maoni siku hiyo? Ulie tu! Chuki zako hazina matunda.

QUOTE=CHAMVIGA;7271605]Dr.W.Slaa
Jambo moja linalokupa moyo ni kujaa watu kwenye mikutano mnayofanya ila hujajua siri moja wanakuja kuwashangaa tu. Wengine wanaitaji kusikia hawa chadema huwa wanahoja gani mpaka kusumbua watu katika maeneo yao wasifanye kazi kwa maandamano na uvunjwaji wa amani mnaoufanya. Ila kwa bahati mbaya dr umeshindwa kutumia nafasi hiyo kuongea nao unawakaripia na kuwadharua wananchi. Mimi nakushauri ungekuwa haufanyi siasa ukiwa hauko vizuri kichwani. Ulinisikitisha sana pale mkwakwani wakati ulipokuwa unachukua maoni ya wananchi. Wengi wamekudharau sana kwa jinsi ulivyokuwa unawakaripia kama watoto wadogo. Hamna cha kuwaeleza watanzania dr. Labda mbadilishe siasa zenu za vurugu, dharau, kiburi, majivuno, na chuki.
[/QUOTE]
Mkuu chamviga:
mzee slaa atueleze kwa nini tume iliagiza vyama vya siasa kama taasisi wakusanye maoni kutoka kwa wanchi halafu wayadogoeshe kwa kuchambua pumba na mchele halafu waandae andiko ndilo wapeleke tume,

Lakini cha ajabu slaa akaandaa fumu kakaa na vijana wake wa bavicha wakaweka maoni yanayofanan kwa fomu zote halafu wakajaza mabox 14 wakapeleka tume, nikajiuliza slaa aliambiwa na nani apeleke mabox lakini nikajua kuwa ni ule mtindo wake ambao yeye anataka mawazo yake yawe sahihi tu wengine wajinga warioba kapiga stop kamwambia hatupokei mabox mzee kanuna na kudai tume haijajipanga vema.
 
Napatashida sana juu ya chadema ambacho kinajinasibu kuwa ni chama cha kutetea watanzania kumbe ni kundi la walaghai ambalo limejificha kwenye siasa kuendesha maisha yao na familia zao,hivi chadema watatwambia nini baada ya hoja hizi kukosa mashiko?.

ufisadi siyo hoja tena kwani viongozi wa chadema ni vinala wa ufisadi kwa slaa kujikopesha hela za chama na kugoma kulipa,pia slaa alichukua hela za kanisa kinyume na utaratibu na bado hajakanusha popote.

mbowe na lema hawajawahi kusoma mapato na matumizi ya pesa wanazochangisha kwenye mikutano ya hadhara,je huu siyo ufisadi?

Sasa wameleta sera ya kupigana bungeni na kutukana hovyo na kutotii mamlaka ya kiti ngoja tuone hii nayo tamati yake ikoje.

Chadema sasa kwenye chama makundi kibao kundi la mbowe,slaa,heche,mwita,zitto,

Chadema kinaongoza kuwanyima uhuru vijana ndani ya chama twajua sote zito,shonza na mtela walivyofanyiwa ndani ya chadema.

Wamevuruga bunge na kufanya kuwa na bunge la ngumi na matusi .

Chadema hawana jipya tena mwalimu alisema rais atatoka chama chochote kile lakini rais bora atatoka chama cha mapinduzi, kikubwa wakati wa ccm kuondoa mapungufu machache yaliyopo ili kiendelee kuwatumikia watu wake.

Umeshamaliza KUPARA MIWA yaani kusafisha ile miwa ya yule mwarabu aanze kutengeneza juisi? Alafu inaelekea una kisharuala kinakuwasha ila utapata Mkunaji siku za karibuni tu.
 
Hawana haja ya kutwaambia kitu hadi pale CCM watakapoacha kutwaambia kuwa sisi ni wapumbavu,tunadanganywa eti maisha magumu wakati maisha matamu vile,tumejengewa shule nyingi duni za kata wakati zinafaulisha kama hizi zisizo za serikali!Siku CCM wakiacha wizi wa fedha za wananchi kwa kushirikiana na watendaji wake,siku watakapojua hatupendi kudanganywa kama watoto na kurubuniwa kwa muziki mkubwa na kofia za dezo,kanga na rushwa ya pesa wakati wangeweza kuziacha zitumike kwa manufaa ya umma.Siku CCM watakapoacha kuuza wanyamapori wetu,madini na gesi kwa bei ya kutupa,siku wataacha mipango ya kuuza ardhi yetu kwa visingizio vya uwekezaji!Come sun,come rain,CCM MUST GO!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
nadhani we kilaza swali lako lingekuwa,CCM WATAWAAMBIA NINI WATANZANIA MWAKA 2015 BAADA YA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA KUSHINDIKANA? unakuja na hoja za kinyambaaafu,cdm ndo wanaokusanya kodi yako? kama ni matusi kamuulize kigwangala,lusinde na chemba,nani asiyejua makundi ya kifisadi yaliyopo ccm? makundi ya wasaka urais yaliyopo ccm nani asiyeyajua?
 
Napatashida sana juu ya chadema ambacho kinajinasibu kuwa ni chama cha kutetea watanzania kumbe ni kundi la walaghai ambalo limejificha kwenye siasa kuendesha maisha yao na familia zao,hivi chadema watatwambia nini baada ya hoja hizi kukosa mashiko?.

ufisadi siyo hoja tena kwani viongozi wa chadema ni vinala wa ufisadi kwa slaa kujikopesha hela za chama na kugoma kulipa,pia slaa alichukua hela za kanisa kinyume na utaratibu na bado hajakanusha popote.

mbowe na lema hawajawahi kusoma mapato na matumizi ya pesa wanazochangisha kwenye mikutano ya hadhara,je huu siyo ufisadi?

Sasa wameleta sera ya kupigana bungeni na kutukana hovyo na kutotii mamlaka ya kiti ngoja tuone hii nayo tamati yake ikoje.

Chadema sasa kwenye chama makundi kibao kundi la mbowe,slaa,heche,mwita,zitto,

Chadema kinaongoza kuwanyima uhuru vijana ndani ya chama twajua sote zito,shonza na mtela walivyofanyiwa ndani ya chadema.

Wamevuruga bunge na kufanya kuwa na bunge la ngumi na matusi .

Chadema hawana jipya tena mwalimu alisema rais atatoka chama chochote kile lakini rais bora atatoka chama cha mapinduzi, kikubwa wakati wa ccm kuondoa mapungufu machache yaliyopo ili kiendelee kuwatumikia watu wake.

Bila kuingiza itikadi na ushabiki wa vyama, mimi nafikiri swali lako lilipaswa kuwa: Serikali ya CCM itawaambia nini watanzania mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na 2015 kwenye uchaguzi mkuu? Swali hili ni muhimu kwa kuwa CCM ndiyo yenye serikali iliyopewa mamlaka ya kukusanya kodi na kutumia rasilimali za nchi kwa maendeleo na ustawi wa wananchi. Kwa muktadha huu CCM ndio mwenye dhamana ya kujibu wamefanya nini ili tuwape madaraka tena kwa miaka 5 ijayo au tuwawajibishe kupitia sanduku la kura. Vinginevyo kama unataka CDM na vyama vingine vya upinzani ndio wajibu wamefanya nini hapo niseme tu kuwa huna hoja, na hustahili kuwa hapa jukwaani.
 
Juzi sugu kapigana bungeni mpaka anaburuzwa chini kama mlevi halafu chama chote wanamsifia kana kwamba akili zao zote zinafanan,
mbunge anapigana bungeni halafu chama chake kinamsifia mambo ya ajabu sana haya ukiona hivyo hata kiongozi wao naye ndivyo alivyo.
Mkuu alipigana na nani au mwenyewe?
 
hawa chadema noma sana,wamesababisha maisha kuwa magumu,wanaua tembo wetu,wameua viwanda vyetu na kusababisha tatizo kubwa la ajira,wanayafuga mafisadi ya epa na richmond,machadema ndo yaliyonunua ile ndege mbovu ya rais na ile rada chovu.chadema wameua TRL,machadema yamesababisha matatizo ya wafugaji na wakulima.HAWA CHADEMA KWELI NOMA
 
Hawana haja ya kutwaambia kitu hadi pale CCM watakapoacha kutwaambia kuwa sisi ni wapumbavu,tunadanganywa eti maisha magumu wakati maisha matamu vile,tumejengewa shule nyingi duni za kata wakati zinafaulisha kama hizi zisizo za serikali!Siku CCM wakiacha wizi wa fedha za wananchi kwa kushirikiana na watendaji wake,siku watakapojua hatupendi kudanganywa kama watoto na kurubuniwa kwa muziki mkubwa na kofia za dezo,kanga na rushwa ya pesa wakati wangeweza kuziacha zitumike kwa manufaa ya umma.Siku CCM watakapoacha kuuza wanyamapori wetu,madini na gesi kwa bei ya kutupa,siku wataacha mipango ya kuuza ardhi yetu kwa visingizio vya uwekezaji!Come sun,come rain,CCM MUST GO!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Naona unajaribu kupima kina cha maji kwa miguu yote miwili.
 
Bila kuingiza itikadi na ushabiki wa vyama, mimi nafikiri swali lako lilipaswa kuwa: Serikali ya CCM itawaambia nini watanzania mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na 2015 kwenye uchaguzi mkuu? Swali hili ni muhimu kwa kuwa CCM ndiyo yenye serikali iliyopewa mamlaka ya kukusanya kodi na kutumia rasilimali za nchi kwa maendeleo na ustawi wa wananchi. Kwa muktadha huu CCM ndio mwenye dhamana ya kujibu wamefanya nini ili tuwape madaraka tena kwa miaka 5 ijayo au tuwawajibishe kupitia sanduku la kura. Vinginevyo kama unataka CDM na vyama vingine vya upinzani ndio wajibu wamefanya nini hapo niseme tu kuwa huna hoja, na hustahili kuwa hapa jukwaani.
Shule za kutosha,barabara kibao,umeme sasa unatosha,rami kila sehemu unakwama wapi,maji sasa itakuwa historia,uasawa wa kijinsia unazingatiwa,katiba mpya sasa yaja.

ukiwa unatumia kichwa kufuga nywere pekee huwezi kuyaona haya.
 
Unaota !! Au? Kweli wewe Rais mpya ungana na wenzako hawa uploadfromtaptalk1378662321722.jpg
 
Bila kuingiza itikadi na ushabiki wa vyama, mimi nafikiri swali lako lilipaswa kuwa: Serikali ya CCM itawaambia nini watanzania mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na 2015 kwenye uchaguzi mkuu? Swali hili ni muhimu kwa kuwa CCM ndiyo yenye serikali iliyopewa mamlaka ya kukusanya kodi na kutumia rasilimali za nchi kwa maendeleo na ustawi wa wananchi. Kwa muktadha huu CCM ndio mwenye dhamana ya kujibu wamefanya nini ili tuwape madaraka tena kwa miaka 5 ijayo au tuwawajibishe kupitia sanduku la kura. Vinginevyo kama unataka CDM na vyama vingine vya upinzani ndio wajibu wamefanya nini hapo niseme tu kuwa huna hoja, na hustahili kuwa hapa jukwaani.

maelezo yako ni ya upande mmoja.kwani chadema haikupewa dhamana ya majimbo je nao wamewafanyia nini wananchi?
mwanza mlifanikiwa kupata meya lakini siasa za bange zikapelekea mpaka mkawatenda wanamwanza.
unatakiwa kutuonyesha mambo mliokuwa mnajinadi mmeyatekeleza kiasi gani?
 
hawa chadema noma sana,wamesababisha maisha kuwa magumu,wanaua tembo wetu,wameua viwanda vyetu na kusababisha tatizo kubwa la ajira,wanayafuga mafisadi ya epa na richmond,machadema ndo yaliyonunua ile ndege mbovu ya rais na ile rada chovu.chadema wameua TRL,machadema yamesababisha matatizo ya wafugaji na wakulima.HAWA CHADEMA KWELI NOMA

kwa nini babu akanyagi vatican.kashfa ya mwaka 1992 mbona majibu hana.
 
Mambo dear...Sa jana ndo ukanifanyiaje mpenzi?.nimechoka kukopwa....naomba leo ukija uje kabisa na pesa zangu za siku nne. Haiwezekani useme kika siku huna hela wakati nakuona unalewa tu. Ntumie vocha simuvyangu haina crdt..pls
Uwiiiii...
kimenuka
 
Chadema hawana jipya tena mwalimu alisema rais atatoka chama chochote kile lakini rais bora atatoka chama cha mapinduzi, kikubwa wakati wa ccm kuondoa mapungufu machache yaliyopo ili kiendelee kuwatumikia watu wake.

Watawaambia ktk kipindi cha miaka hii mitano tumeandamana sana hatukupata muda wa kuwaletea maendeleo twaomba nafasi tena.

Chadema ni chama ambacho kipo kimaslahi zaidi.

Nani kakwambia kuwa mimi ccm au unapangia chama wewe vipi na cdm yenu kisima cha matusi na vurugu.
rais mpya na timu yako mko CCM mpaka 2015 baada ya hapo mnaachana nayo kwakuwa Lowasa si wenu.
 
Back
Top Bottom