ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,341
uraia gani wanaujua hao? Sana ni elimu ya kumwagia watu tindikali na kuwalisha sumu
Last edited by a moderator:
Napatashida sana juu ya chadema ambacho kinajinasibu kuwa ni chama cha kutetea watanzania kumbe ni kundi la walaghai ambalo limejificha kwenye siasa kuendesha maisha yao na familia zao,hivi chadema watatwambia nini baada ya hoja hizi kukosa mashiko?.
ufisadi siyo hoja tena kwani viongozi wa chadema ni vinala wa ufisadi kwa slaa kujikopesha hela za chama na kugoma kulipa,pia slaa alichukua hela za kanisa kinyume na utaratibu na bado hajakanusha popote.
mbowe na lema hawajawahi kusoma mapato na matumizi ya pesa wanazochangisha kwenye mikutano ya hadhara,je huu siyo ufisadi?
Sasa wameleta sera ya kupigana bungeni na kutukana hovyo na kutotii mamlaka ya kiti ngoja tuone hii nayo tamati yake ikoje.
Chadema sasa kwenye chama makundi kibao kundi la mbowe,slaa,heche,mwita,zitto,
Chadema kinaongoza kuwanyima uhuru vijana ndani ya chama twajua sote zito,shonza na mtela walivyofanyiwa ndani ya chadema.
Wamevuruga bunge na kufanya kuwa na bunge la ngumi na matusi .
Chadema hawana jipya tena mwalimu alisema rais atatoka chama chochote kile lakini rais bora atatoka chama cha mapinduzi, kikubwa wakati wa ccm kuondoa mapungufu machache yaliyopo ili kiendelee kuwatumikia watu wake.
Tumewamwagia tindikali, tumewalisha sumu,tumevunja mike bungeni, tumepiga askari na tumesusia vikao vya bunge
Machadema yamevurugwa na uroho wa madaraka
Rais mpya,
Endelea quota ndoto kwenye mitandao. Ili ujue Chadema itawaambia nini Watanzania acha quota ndoto kwenye mitandao, shuka vijijini, ujue Watanzania wanafikiri nini, na wanaongea nini wakiwa vijijini na kwenye mitaa Yao. Unayodhani ni agenda yako siyo agenda ya watanzania. Wana mengi wanakerwa nayo, Kama wewe umeshiba siyo watanzania, ndiyo siri ya watanzania 3,462,805 kutoa maoni Yao wakitaka mabadiliko makubwa kwenye Katiba Yao. Fikiri kabla ya kujiandikia, na usijivike uwakilishi wa Watanzania, wakati unajiwakilisha mwenyewe labda na....!
dr gani bana, mhuni wa kawaida tu huyo. Mporaji wa wake za watu huku anavunja ndoa za majirani atakuwa doctor? Labda dr wa mitishamba
sijui una maana gani kusema chama kinauza unga au kinafadhiliwa na wauza unga. nasema sina hakika maana sijaona chama ambacho kina sifa hiyo. ila najua kuuwa chadema ina watu wanajihusisha na biashara ya unga na mwenyekiti wake ni miongoni mwa watu wa aina hiyo
Napatashida sana juu ya chadema ambacho kinajinasibu kuwa ni chama cha kutetea watanzania kumbe ni kundi la walaghai ambalo limejificha kwenye siasa kuendesha maisha yao na familia zao,hivi chadema watatwambia nini baada ya hoja hizi kukosa mashiko?.
ufisadi siyo hoja tena kwani viongozi wa chadema ni vinala wa ufisadi kwa slaa kujikopesha hela za chama na kugoma kulipa,pia slaa alichukua hela za kanisa kinyume na utaratibu na bado hajakanusha popote.
mbowe na lema hawajawahi kusoma mapato na matumizi ya pesa wanazochangisha kwenye mikutano ya hadhara,je huu siyo ufisadi?
Sasa wameleta sera ya kupigana bungeni na kutukana hovyo na kutotii mamlaka ya kiti ngoja tuone hii nayo tamati yake ikoje.
Chadema sasa kwenye chama makundi kibao kundi la mbowe,slaa,heche,mwita,zitto,
Chadema kinaongoza kuwanyima uhuru vijana ndani ya chama twajua sote zito,shonza na mtela walivyofanyiwa ndani ya chadema.
Wamevuruga bunge na kufanya kuwa na bunge la ngumi na matusi .
Chadema hawana jipya tena mwalimu alisema rais atatoka chama chochote kile lakini rais bora atatoka chama cha mapinduzi, kikubwa wakati wa ccm kuondoa mapungufu machache yaliyopo ili kiendelee kuwatumikia watu wake.
unajifanya una uchungu na nchi hii kumbe zuga tupu. Tuambie kwann unaongoza genge la wamwagia watu tindikali, walisha watu sumu, wapiga askari, wavunja mike, wapora ake za watu, wavunja ndoa za watu, wala ruzuku ya chama na wahuni wanaotukana watu. Huna jipya mzee watz wamestukia janja yako na genge la wauwaji liitwalo chadema
mwenyekiti pia ni disco joker aka dj zero
Nani kakwambia kuwa mimi ccm au unapangia chama wewe vipi na cdm yenu kisima cha matusi na vurugu.
Dr slaa kweli umekwisha nianze kwa hoja yako ya kukusanya maoni kuhusu katiba mpya kwanza hiyo idadi ya hao watu kutoa maoni ni uongo tena ni uzushi bila chenga kwanza ulichofanya wewe ni kuandaa mikutano ya hadhara na kuhutubia wala siyo kupongea maoni,Rais mpya,
Endelea quota ndoto kwenye mitandao. Ili ujue Chadema itawaambia nini Watanzania acha quota ndoto kwenye mitandao, shuka vijijini, ujue Watanzania wanafikiri nini, na wanaongea nini wakiwa vijijini na kwenye mitaa Yao. Unayodhani ni agenda yako siyo agenda ya watanzania. Wana mengi wanakerwa nayo, Kama wewe umeshiba siyo watanzania, ndiyo siri ya watanzania 3,462,805 kutoa maoni Yao wakitaka mabadiliko makubwa kwenye Katiba Yao. Fikiri kabla ya kujiandikia, na usijivike uwakilishi wa Watanzania, wakati unajiwakilisha mwenyewe labda na....!
Kwani wewe na sungura kunatofauti kweli huwezi kupngana na mimi kwa maneno matupu hakuna hoja hata moja wewe mzima kweli.Unathitishia umma namna ulivyo na uwezo mdogo kichwani!