CHADEMA watawaambia nini watanzania 2015?

CHADEMA watawaambia nini watanzania 2015?

Kweli pombe za ofa mbaya mbaya zaidi utakuta ni matap tap
 
Sina uhakika na akili zako .. Tutajie na evidence
 
Sasa, kama Chadema ni chama 'kibovu' namna hiyo (kama ulivyoandika), mbona unasumbuka nacho sana ??
Yaani, unapoteza muda na pesa zako kukizungumzia chama kibovu namna hiyo ??
Upo hapo ??
Siyo watu wote wanaju uozo wa chama hiki sasa ni vema mimi na wewe tunaojua ubovu wa chama hiki tuwaeleze watu ili wakijue zaid wasije kudanganyika manaake ni chama cha kitapeli kabisa lazima kikemewe kwa nguvu.
 
Rais mpya,

Endelea quota ndoto kwenye mitandao. Ili ujue Chadema itawaambia nini Watanzania acha quota ndoto kwenye mitandao, shuka vijijini, ujue Watanzania wanafikiri nini, na wanaongea nini wakiwa vijijini na kwenye mitaa Yao. Unayodhani ni agenda yako siyo agenda ya watanzania.

Wana mengi wanakerwa nayo, Kama wewe umeshiba siyo watanzania, ndiyo siri ya watanzania 3,462,805 kutoa maoni Yao wakitaka mabadiliko makubwa kwenye Katiba Yao. Fikiri kabla ya kujiandikia, na usijivike uwakilishi wa Watanzania, wakati unajiwakilisha mwenyewe labda na....!
 
Sina uhakika na akili zako .. Tutajie na evidence
Heche na waitara walikatazwa kufanya siasa pale tarime lakini heche amekwenda mpaka leo anaendelea na mikutano tena anatumia gari la chama lakini mwita kanyimwa fulsa hiyo kisa heche yupo kundi la mowe.
 
Hivi CCM watasema nini 2015 baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu? Watakubali kweli kuwa chama cha upinzani??nime
 
Siyo watu wote wanaju uozo wa chama hiki sasa ni vema mimi na wewe tunaojua ubovu wa chama hiki tuwaeleze watu ili wakijue zaid wasije kudanganyika manaake ni chama cha kitapeli kabisa lazima kikemewe kwa nguvu.

Kweli kabisa ndugu.
Tuanzie hapo kwenye blue,
Ngoja tuanze na biashara ya madawa ya kulevya, ambayo imeshamiri sana hapa Tanzania kwa sasa.
Tuanze kwa kuikemea biasjara hii haramu inayoangamiza vijana wetu hapa Tanzania.
Hebu funguka sasa ili kila m-Tanzania aelewe ni chama gani kinachofanya biashara hii na ni chama gani kinachofadhiliwa na 'wazungu' wa 'unga', ili wananchi wasidanganywe tena.
Funguka mkuu, ili tusaidiane sote kwa pamoja.
Tukimaliza hilo, tuje kwenye swala la rushwa, ubadhilifu wa fedha za umma, ufisadi, n na uporaji raslimali za Tanzania.
Ingia jukwaani mkuu.
 
Sina uhakika na akili zako .. Tutajie na evidence
Heche na waitara walikatazwa kufanya siasa pale tarime lakini heche amekwenda mpaka leo anaendelea na mikutano tena anatumia gari la chama lakini mwita kanyimwa fulsa hiyo kisa heche yupo kundi la mowe.
 
Sina uhakika na akili zako .. Tutajie na evidence
Heche na waitara walikatazwa kufanya siasa pale tarime lakini heche amekwenda mpaka leo anaendelea na mikutano tena anatumia gari la chama lakini mwita kanyimwa fulsa hiyo kisa heche yupo kundi la mowe.
 
Rais mpya,
Endelea quota ndoto kwenye mitandao. Ili ujue Chadema itawaambia nini
Watanzania acha quota ndoto kwenye mitandao, shuka vijijini, ujue
Watanzania wanafikiri nini, na wanaongea nini wakiwa vijijini na kwenye
mitaa Yao. Unayodhani ni agenda yako siyo agenda ya watanzania. Wana
mengi wanakerwa nayo, Kama wewe umeshiba siyo watanzania, ndiyo siri ya
watanzania 3,462,805 kutoa maoni Yao wakitaka mabadiliko makubwa kwenye
Katiba Yao. Fikiri kabla ya kujiandikia, na usijivike uwakilishi wa
Watanzania, wakati unajiwakilisha mwenyewe labda na....!

Dr Slaa, una maana gani kusema kuwa watu milioni 3.6 walitaka mabadiliko? hapa ndo inajidhihirisha kuwa wewe na chama chako mmechanganyikiwa. wadau waliotoa maoni ni wengi na si hao uliowasema wewe tu. ukumbuke kuwa mchakato wa katiba mpya si suala la wanasiasa tu
 
Wewe unaona ni sawa kupitisha mchakato wa katiba bila ridhaa ya wananchi? Hatutakubali kuburuzwa wananchi wote lazima washilikishwe. Hatuwezi kuendelea kutawaliwa na wauza unga na majangili.CCM muda wakutawala umeisha
 
Kweli kabisa ndugu.
Tuanzie hapo kwenye blue,
Ngoja tuanze na biashara ya madawa ya kulevya, ambayo imeshamiri sana
hapa Tanzania kwa sasa.
Tuanze kwa kuikemea biasjara hii haramu inayoangamiza vijana wetu hapa
Tanzania.
Hebu funguka sasa ili kila m-Tanzania aelewe ni chama gani kinachofanya
biashara hii na ni chama gani kinachofadhiliwa na 'wazungu' wa 'unga',
ili wananchi wasidanganywe tena.
Funguka mkuu, ili tusaidiane sote kwa pamoja.
Tukimaliza hilo, tuje kwenye swala la rushwa, ubadhilifu wa fedha za
umma, ufisadi, n na uporaji raslimali za Tanzania.
Ingia jukwaani mkuu.

sijui una maana gani kusema chama kinauza unga au kinafadhiliwa na wauza unga. nasema sina hakika maana sijaona chama ambacho kina sifa hiyo. ila najua kuuwa chadema ina watu wanajihusisha na biashara ya unga na mwenyekiti wake ni miongoni mwa watu wa aina hiyo
 
Napatashida sana juu ya chadema ambacho kinajinasibu kuwa ni chama cha kutetea watanzania kumbe ni kundi la walaghai ambalo limejificha kwenye siasa kuendesha maisha yao na familia zao,hivi chadema watatwambia nini baada ya hoja hizi kukosa mashiko?.

ufisadi siyo hoja tena kwani viongozi wa chadema ni vinala wa ufisadi kwa slaa kujikopesha hela za chama na kugoma kulipa,pia slaa alichukua hela za kanisa kinyume na utaratibu na bado hajakanusha popote.

mbowe na lema hawajawahi kusoma mapato na matumizi ya pesa wanazochangisha kwenye mikutano ya hadhara,je huu siyo ufisadi?

Sasa wameleta sera ya kupigana bungeni na kutukana hovyo na kutotii mamlaka ya kiti ngoja tuone hii nayo tamati yake ikoje.

Chadema sasa kwenye chama makundi kibao kundi la mbowe,slaa,heche,mwita,zitto,

Chadema kinaongoza kuwanyima uhuru vijana ndani ya chama twajua sote zito,shonza na mtela walivyofanyiwa ndani ya chadema.

Wamevuruga bunge na kufanya kuwa na bunge la ngumi na matusi .

Chadema hawana jipya tena mwalimu alisema rais atatoka chama chochote kile lakini rais bora atatoka chama cha mapinduzi, kikubwa wakati wa ccm kuondoa mapungufu machache yaliyopo ili kiendelee kuwatumikia watu wake.

cc. Slaa, mbowe na sugu
 
Wewe unaona ni sawa kupitisha mchakato wa katiba bila ridhaa ya wananchi? Hatutakubali kuburuzwa wananchi wote lazima washilikishwe. Hatuwezi kuendelea kutawaliwa na wauza unga na majangili.CCM muda wakutawala umeisha

ukiishiwa hoja lazima uandike ulivoandika. Mwisho kabisa utavunja mike
 
Tumewamwagia tindikali, tumewalisha sumu,tumevunja mike bungeni, tumepiga askari na tumesusia vikao vya bunge
 
sijui una maana gani kusema chama kinauza unga au kinafadhiliwa na wauza unga. nasema sina hakika maana sijaona chama ambacho kina sifa hiyo. ila najua kuuwa chadema ina watu wanajihusisha na biashara ya unga na mwenyekiti wake ni miongoni mwa watu wa aina hiyo

mwenyekiti pia ni disco joker aka dj zero
 
Last edited by a moderator:
Rais mpya,
Endelea quota ndoto kwenye mitandao. Ili ujue Chadema itawaambia nini Watanzania acha quota ndoto kwenye mitandao, shuka vijijini, ujue Watanzania wanafikiri nini, na wanaongea nini wakiwa vijijini na kwenye mitaa Yao. Unayodhani ni agenda yako siyo agenda ya watanzania. Wana mengi wanakerwa nayo, Kama wewe umeshiba siyo watanzania, ndiyo siri ya watanzania 3,462,805 kutoa maoni Yao wakitaka mabadiliko makubwa kwenye Katiba Yao. Fikiri kabla ya kujiandikia, na usijivike uwakilishi wa Watanzania, wakati unajiwakilisha mwenyewe labda na....!

unajifanya una uchungu na nchi hii kumbe zuga tupu. Tuambie kwann unaongoza genge la wamwagia watu tindikali, walisha watu sumu, wapiga askari, wavunja mike, wapora ake za watu, wavunja ndoa za watu, wala ruzuku ya chama na wahuni wanaotukana watu. Huna jipya mzee watz wamestukia janja yako na genge la wauwaji liitwalo chadema
 
Dr Slaa, una maana gani kusema kuwa watu milioni 3.6 walitaka mabadiliko? hapa ndo inajidhihirisha kuwa wewe na chama chako mmechanganyikiwa. wadau waliotoa maoni ni wengi na si hao uliowasema wewe tu. ukumbuke kuwa mchakato wa katiba mpya si suala la wanasiasa tu

dr gani bana, mhuni wa kawaida tu huyo. Mporaji wa wake za watu huku anavunja ndoa za majirani atakuwa doctor? Labda dr wa mitishamba
 
Back
Top Bottom