CHADEMA watawaambia nini watanzania 2015?

CHADEMA watawaambia nini watanzania 2015?

Hivi chadema Ndiyo wanaoongoza Tanzania? maana wanaotakiwa kutoa mrejesho ni wale wezi wa kura ccm, juu ya utekelezajia ahadi ya biashara huria ya Madawa ya kulevya, pembe za ndovu na wanyama walio hai.
Pili juu ya mauwaji ya watu wasi na hatia
Tatu pesa za usuisi zitakuwa zimerudishwa?
Nne kuongezeka division ziro kila mwaka
Tano ......................................
 
Watanzania kwa ujinga tunaongoza afrika mashariki... Hivi CCM imetuchafua akili kiasi hicho...?
Kama Chadema ni chama kibovu, ccm ni chama cha aina gani? Barabara zetu bado ni mbovu, hospitali zetu hazina vifaa vinavyohitajika, Elimu ndo tunaendelea kudidimia, halafu serikali ya ccm bado tu wanaenda kuomba pesa nje ya nchi kila kona..... Tanzania nchi yenye madini mengi yenye thamani nyingi sana, lakini inakuwaje tunaishi maisha ya kimaskini....? Chadema wanajaribu kutuendeleza, pale kunapokuwa na maandamano, ni pale ambapo wananchi wanaona wameonewa.. Maandamano sio sign ya kurudi nyumba,mtu mwenye ukosefu wa fikra ndo ataconclude hivyo... Angalia yalivyotokea Misri, wananchi waliandamana na jeshi la nchi likawasaidia kwa uwezo wao, na kwa amani....hivyo ndo inavyotakiwa, sio Tanzania, ambapo jeshi la nchi, kwanza vitambi vyao vinakuwa, na jeshi la tanzania lipo kuwafaidisha watu wa CCM....
 
Back
Top Bottom