CHADEMA watawaambia nini watanzania 2015?

Shule za kutosha,barabara kibao,umeme sasa unatosha,rami kila sehemu unakwama wapi,maji sasa itakuwa historia,uasawa wa kijinsia unazingatiwa,katiba mpya sasa yaja.

ukiwa unatumia kichwa kufuga nywere pekee huwezi kuyaona haya.

maelezo yako ni ya upande mmoja.kwani chadema haikupewa dhamana ya majimbo je nao wamewafanyia nini wananchi?
mwanza mlifanikiwa kupata meya lakini siasa za bange zikapelekea mpaka mkawatenda wanamwanza.
unatakiwa kutuonyesha mambo mliokuwa mnajinadi mmeyatekeleza kiasi gani?

kwa nini babu akanyagi vatican.kashfa ya mwaka 1992 mbona majibu hana.
Huu ni u-CCM wenye msukumo wa udini
 
Napatashida sana juu ya chadema ambacho kinajinasibu kuwa ni chama cha kutetea watanzania kumbe ni kundi la walaghai ambalo limejificha kwenye siasa kuendesha maisha yao na familia zao,hivi chadema watatwambia nini baada ya hoja hizi kukosa mashiko?.

ufisadi siyo hoja tena kwani viongozi wa chadema ni vinala wa ufisadi kwa slaa kujikopesha hela za chama na kugoma kulipa,pia slaa alichukua hela za kanisa kinyume na utaratibu na bado hajakanusha popote.

mbowe na lema hawajawahi kusoma mapato na matumizi ya pesa wanazochangisha kwenye mikutano ya hadhara,je huu siyo ufisadi?

Sasa wameleta sera ya kupigana bungeni na kutukana hovyo na kutotii mamlaka ya kiti ngoja tuone hii nayo tamati yake ikoje.

Chadema sasa kwenye chama makundi kibao kundi la mbowe,slaa,heche,mwita,zitto,

Chadema kinaongoza kuwanyima uhuru vijana ndani ya chama twajua sote zito,shonza na mtela walivyofanyiwa ndani ya chadema.

Wamevuruga bunge na kufanya kuwa na bunge la ngumi na matusi .

Chadema hawana jipya tena mwalimu alisema rais atatoka chama chochote kile lakini rais bora atatoka chama cha mapinduzi, kikubwa wakati wa ccm kuondoa mapungufu machache yaliyopo ili kiendelee kuwatumikia watu wake.

Join Date : 14th August 2013
Posts : 323
Rep Power : 368
Likes Received25
Likes Given1
 
2015 kitawambia peope nao watajibu power hakuna kulala mpaua kieleweke jamani kura CHADEMA kula wapi ssm. CHADEMA NDO TUMAINI JIPYA wewe tuambie ssm usiseme chadema maana sio chako semea chako kitasemaje au
 
rais mpya na timu yako mko CCM mpaka 2015 baada ya hapo mnaachana nayo kwakuwa Lowasa si wenu.

Akili yako finyu sana kama maisha ya funza. Akiwazo mjinga ndio kilichomtawala.
 
Kwa maandishi ya huyo jamaa TAYADI,inaonekna huwa akimaliza kujisaidia haja kubwa anakunywa yale maji ya kujichambia,nimeanagalia post zake muda mrefu sana hazimo lakini hatupaswi kumuach pmoja n ukichaa wake tunapaswa kumwambi na kumfundisha hadi ukichaa wake utakapomtoka.
 
Mtahangaika sana kuipaka matope CHADEMA, lakini kwenye mioyo ya Watanzania hamtaweza kuitoa. Fitina, hujuma na girba zote mnazofanya dhidi ya upinzani wananchi wanaona na wanasikia. Sasa kama mnafikiri mnaimaliza CHADEMA, poleni sana
 
Akili yako ndogo,kwa hiyo unataka ccm ndiyo ichafuliwe?!
 
uploadfromtaptalk1378708609188.jpg
 
Nenda kalewe viroba Lumumba!
Napata shida sana juu ya CHADEMA ambacho kinajinasibu kuwa ni chama cha kutetea watanzania kumbe ni kundi la walaghai ambalo limejificha kwenye siasa kuendesha maisha yao na familia zao, hivi CHADEMA watatwambia nini baada ya hoja hizi kukosa mashiko?.

Ufisadi siyo hoja tena kwani viongozi wa CHADEMA ni vinara wa ufisadi kwa slaa kujikopesha hela za chama na kugoma kulipa, pia slaa alichukua hela za kanisa kinyume na utaratibu na bado hajakanusha popote.

Mbowe na Lema hawajawahi kusoma mapato na matumizi ya pesa wanazochangisha kwenye mikutano ya hadhara, je huu siyo ufisadi?

Sasa wameleta sera ya kupigana bungeni na kutukana hovyo na kutotii mamlaka ya kiti ngoja tuone hii nayo tamati yake ikoje.

CHADEMA sasa kwenye chama makundi kibao kundi la Mbowe, Slaa, Heche, Mwita, Zitto,

CHADEMA kinaongoza kuwanyima uhuru vijana ndani ya chama twajua sote Zitto, Shonza na mtela walivyofanyiwa ndani ya CHADEMA.

Wamevuruga bunge na kufanya kuwa na bunge la ngumi na matusi .

CHADEMA hawana jipya tena mwalimu alisema rais atatoka chama chochote kile lakini rais bora atatoka chama cha mapinduzi, kikubwa wakati wa CCM kuondoa mapungufu machache yaliyopo ili kiendelee kuwatumikia watu wake.
 
Watawaambia ktk kipindi cha miaka hii mitano tumeandamana sana hatukupata muda wa kuwaletea maendeleo twaomba nafasi tena.

Sio kuandamana tu,na mabomu walivyokuwa wanajilipulia mikutanoni mwao kama vile alqaida, ili kupata huruma ya wananchi ambao tayari wamewastukia! Nyambafu hao!
 
Napata shida sana juu ya CHADEMA ambacho kinajinasibu kuwa ni chama cha kutetea watanzania kumbe ni kundi la walaghai ambalo limejificha kwenye siasa kuendesha maisha yao na familia zao, hivi CHADEMA watatwambia nini baada ya hoja hizi kukosa mashiko?.

Ufisadi siyo hoja tena kwani viongozi wa CHADEMA ni vinara wa ufisadi kwa slaa kujikopesha hela za chama na kugoma kulipa, pia slaa alichukua hela za kanisa kinyume na utaratibu na bado hajakanusha popote.

Mbowe na Lema hawajawahi kusoma mapato na matumizi ya pesa wanazochangisha kwenye mikutano ya hadhara, je huu siyo ufisadi?

Sasa wameleta sera ya kupigana bungeni na kutukana hovyo na kutotii mamlaka ya kiti ngoja tuone hii nayo tamati yake ikoje.

CHADEMA sasa kwenye chama makundi kibao kundi la Mbowe, Slaa, Heche, Mwita, Zitto,

CHADEMA kinaongoza kuwanyima uhuru vijana ndani ya chama twajua sote Zitto, Shonza na mtela walivyofanyiwa ndani ya CHADEMA.

Wamevuruga bunge na kufanya kuwa na bunge la ngumi na matusi .

CHADEMA hawana jipya tena mwalimu alisema rais atatoka chama chochote kile lakini rais bora atatoka chama cha mapinduzi, kikubwa wakati wa CCM kuondoa mapungufu machache yaliyopo ili kiendelee kuwatumikia watu wake.

alaf si ushakuwa mtu mzima. badilika basi
 
Akili yako finyu sana kama maisha ya funza. Akiwazo mjinga ndio kilichomtawala.
Wala hujakosea ndivyo nilivyo.. Ila ukweli uko pale pale Wewe na wenzako hamjafuata sera za CCM ila JK? 2015 hamtajitolea kuifagilia CCM. Mm natamani muda huo ufike haraka niwape za uso.
 
Kwa maandishi ya huyo jamaa TAYADI,inaonekna huwa akimaliza kujisaidia haja kubwa anakunywa yale maji ya kujichambia,nimeanagalia post zake muda mrefu sana hazimo lakini hatupaswi kumuach pmoja n ukichaa wake tunapaswa kumwambi na kumfundisha hadi ukichaa wake utakapomtoka.
Asante mimi ndivyo nilivyo!!... HUJAKOSEA... Nasubiri 2015 nithibitishe unafiki wenu... Kuwa nyie si wana CCM ila mpo pale kumsapoti... Vasco Da Gama... Hamsukumwi na buku 7 kama wengine wanavyodhani ila imani... Mfano mdogo wewe na CHAMVIGA hiki ndicho kitu pekee kinawaunganisha.
 
Inaonekana wazi kwamba hiyo sio akili yako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Napata shida sana juu ya CHADEMA ambacho kinajinasibu kuwa ni chama cha kutetea watanzania kumbe ni kundi la walaghai ambalo limejificha kwenye siasa kuendesha maisha yao na familia zao, hivi CHADEMA watatwambia nini baada ya hoja hizi kukosa mashiko?.

Ufisadi siyo hoja tena kwani viongozi wa CHADEMA ni vinara wa ufisadi kwa slaa kujikopesha hela za chama na kugoma kulipa, pia slaa alichukua hela za kanisa kinyume na utaratibu na bado hajakanusha popote.

Mbowe na Lema hawajawahi kusoma mapato na matumizi ya pesa wanazochangisha kwenye mikutano ya hadhara, je huu siyo ufisadi?

Sasa wameleta sera ya kupigana bungeni na kutukana hovyo na kutotii mamlaka ya kiti ngoja tuone hii nayo tamati yake ikoje.

CHADEMA sasa kwenye chama makundi kibao kundi la Mbowe, Slaa, Heche, Mwita, Zitto,

CHADEMA kinaongoza kuwanyima uhuru vijana ndani ya chama twajua sote Zitto, Shonza na mtela walivyofanyiwa ndani ya CHADEMA.

Wamevuruga bunge na kufanya kuwa na bunge la ngumi na matusi .

CHADEMA hawana jipya tena mwalimu alisema rais atatoka chama chochote kile lakini rais bora atatoka chama cha mapinduzi, kikubwa wakati wa CCM kuondoa mapungufu machache yaliyopo ili kiendelee kuwatumikia watu wake.

Nonesense.
 
Sio kuandamana tu,na mabomu walivyokuwa wanajilipulia mikutanoni mwao kama vile alqaida, ili kupata huruma ya wananchi ambao tayari wamewastukia! Nyambafu hao!
Nasubiri 2015 nithibitishe unafiki wenu... Kuwa nyie si wana CCM ila mpo pale kumsapoti... Vasco Da Gama... Hamsukumwi na buku 7 kama wengine wanavyodhani ila imani... Mfano mdogo wewe na CHAMVIGA hiki ndicho kitu pekee kinawaunganisha.
 
tutawambia sasa wakati wa kuwapeleka wauza madawa mafisadi na wauaji ccm gerezani umefika coz wamekua wapinzani ehe kuna swali lingine?
 
We mkuu ndu,badala ya kuuliza ccm itawaambia nini wananchi kwani ndiyo iliyo madarakani,unafikiri kwa makalio na mashuzi ya kunuka eti chadema iatawaambia nini wananchi!!!Astaghafrulah,kweli u mwana mtoka pabaya huna soni eti "ccm ina mapungufu machache"???Nyonyonyo,nyonyonyo,nyonyonyo.f**k u.
 
Back
Top Bottom