Chadema washikwa pabaya watengeneza UONGO usio na nguo kuhusu Nape.

the horse, naomba kujua lengo la hii ziara anayofanya Nape, amefuatana na akina nani na anategemea kufanikisha kitu gani?
 
Last edited by a moderator:
Sasa mbona umerudi na srory tena, kuweka picha haigharimu hata dakika 5.
Nyie watumwa wa nape mnazidi kumuahibisha katibu mwenezi,
Hebu fanya fasta chambua picha za zamani hata zile za kina mama wa songea tupia hapa kumnusuru huyu muasisi wa kifo cha ccm.

Tehe..tehe......kwi....kwiiiii......
 
Watengeneze huongo kuhusu Nape ili nini? Then What? Tupa kule pipoz wapo busy na shughuliza za kukomboa wanyonge sasa Nape ni mmoja wao?
 
Dakika ishirini zilizopita, Kuna thread ya "uongo" juu ya ziara ya Nape makambako leo na kudai kuwa alizomewa katika ziara hiyo, UKWELI NI HUU;Mimi nilikuwepo katika mkutano huo na ili linalozungumzwa halikutokea na kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuwa Nape anaweza kutukana wananchi hadharani (ambao wengi ni wanaCCM). Uhalisia ni kuwa jamaa aliwashika pabaya chadema hii leo na kuwaeleza kuwa movement for change ni namna ya kutengeneza pesa kwani haina mashiko kwa kuwa haijielezi ni "cheji" ipi wanaitaka, na nape alitoa mifano kuwa ulaya hivi sasa wanayo movement for "democratic change" lakini hii ya chadema haijielewi ipoipo tu.pili aliongelea juu ya waliohama kuwa ni sawa na oil chafu ambayo haina madhara ikipungua na hata kutolewa kabisa kwa kuwa haifai tena kwenye gari hilo.na pia akasisitiza kuwa mapato ya stendi ya makambako isomwe hadharani na kubandikwa ili wananchi waelewe.pia alieleza juu ya muungano na kueleza kwa mifano, alitoa mfano kuwa si busara kwa watu ambao wamekuwa katika ndoa kwa miaka 50 kuanza kujadili uhalali wa ndoa hiyo bali wanaweza kujadili namna ya kuongeza mapenzi kwa nia ya kudumisha ndoa hiyoaliendelea kwa kufafanua juu ya suala la mgombea binafsi na kuweka wazi kuwa CCM haina shida na suala hili isipokuwa ni wazi kuwa suala hili litawaumiza upinzani zaidi kwani iko wazi kuwa leo hii katiba ikilipitisha hili kuna watu siku hiyo hiyo wanatangaza kuhama chadema na kusimama wao kama wenyewe, watu ambao wana-majority kwenye chadema"Nape aliendela kusisitiza juu ya suala la maadili ya viongozi na kueleza kuwa inalazimika sasa suala hili liingie katika katiba mpya ili lipate nguvu zaidi.haya na mengine mengi yalifanya hata wale waliokuja kwenye mkutano na kombati waanze kushangilia na picha naipandisha kwa ushahidi. Magwanda lazima muishiwe damu mwaka huu, jamaa anawapiga pande zote. Imagine ule umati ulivyojaa...!
Inabidi CDM wafike mahala watueleze, why the same song throghout the year. baada ya change what next? Hakika tutafanyakosa kubwa sana.
 
walisema kuna viongozi wakuu wa chadema wanahamia Chadomo- watu wakawa attention na baadae kimyaaaaa
walisema CCM inaua wanachama wao na baada ya uchunguzi wa watu waliokufa, ikagundulika si wana CDM na wala hawakuuwawa na CCM...
walisema hata wakivua magamba nyoka bado sumu ni ile ile leo wanakumbatia oil chafu..nao wanachafuka..,hurumaaaa...
wanasema Nape anatukana mikutanoni na kila kukicha anapandishwa thread inayomtaja kumdiscourage, jamaa huyoooo anawaumiza tuu,,
anaandaa ziara kwenda lindi.,mtwara na ruvuma kwenda kuwafuta wananchi mabaki ya oil chafu, inaanza mwezi wa saba...
 
Nini unatokwa na jasho kijana????????......huna kazi ya kufanya??????...........kwe kwe kwe kwe kwe.......vibaraka wa nape mna kazi tehe..................hivi ndo mnalipwa sh ngapi tena???
 
the horse, naomba kujua lengo la hii ziara anayofanya Nape, amefuatana na akina nani na anategemea kufanikisha kitu gani?

Nasikia amefuatana na mitume wanaopigana vita dhidi ya ufisadi
 
Last edited by a moderator:
the horse, naomba kujua lengo la hii ziara anayofanya Nape, amefuatana na akina nani na anategemea kufanikisha kitu gani?
lengo lake ni kuimarisha chama na kukagua utendaji wa chama na serikali katika maeneo hayo lakini pia jamaa ni ONE MAN ARMY ni kiongozi anaonyesha njia wengine watafata, hiyo ni juu ya aliyoongozana nao lakini tunaomfuata ni wengi....,
 
walisema kuna viongozi wakuu wa chadema wanahamia Chadomo- watu wakawa attention na baadae kimyaaaaa
walisema CCM inaua wanachama wao na baada ya uchunguzi wa watu waliokufa, ikagundulika si wana CDM na wala hawakuuwawa na CCM...
walisema hata wakivua magamba nyoka bado sumu ni ile ile leo wanakumbatia oil chafu..nao wanachafuka..,hurumaaaa...
wanasema Nape anatukana mikutanoni na kila kukicha anapandishwa thread inayomtaja kumdiscourage, jamaa huyoooo anawaumiza tuu,,
anaandaa ziara kwenda lindi.,mtwara na ruvuma kwenda kuwafuta wananchi mabaki ya oil chafu, inaanza mwezi wa saba...

Kwa uandishi wako wewe ndiye mtuhumiwa mwenyewe
 
Nini unatokwa na jasho kijana????????......huna kazi ya kufanya??????...........kwe kwe kwe kwe kwe.......vibaraka wa nape mna kazi tehe..................hivi ndo mnalipwa sh ngapi tena???
mi sio mzee wa "chenji" ndugu yangu,
 
lengo lake ni kuimarisha chama na kukagua utendaji wa chama na serikali katika maeneo hayo lakini pia jamaa ni ONE MAN ARMY ni kiongozi anaonyesha njia wengine watafata, hiyo ni juu ya aliyoongozana nao lakini tunaomfuata ni wengi....,

Tehe tehe tehe tehe tehe........................anaimarisha chama mfu???????????????????????????............huna jipya wewe. hapo buku mbili tu unatoa povu hivi akifanya buku tano itakuwaje???????
 
Dakika ishirini zilizopita, Kuna thread ya "uongo" juu ya ziara ya Nape makambako leo na kudai kuwa alizomewa katika ziara hiyo,

UKWELI NI HUU;

Mimi nilikuwepo katika mkutano huo na ili linalozungumzwa halikutokea na kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuwa Nape anaweza kutukana wananchi hadharani (ambao wengi ni wanaCCM).

Uhalisia ni kuwa jamaa aliwashika pabaya chadema hii leo na kuwaeleza kuwa movement for change ni namna ya kutengeneza pesa kwani haina mashiko kwa kuwa haijielezi ni "cheji" ipi wanaitaka, na nape alitoa mifano kuwa ulaya hivi sasa wanayo movement for "democratic change" lakini hii ya chadema haijielewi ipoipo tu.

pili aliongelea juu ya waliohama kuwa ni sawa na oil chafu ambayo haina madhara ikipungua na hata kutolewa kabisa kwa kuwa haifai tena kwenye gari hilo.

na pia akasisitiza kuwa mapato ya stendi ya makambako isomwe hadharani na kubandikwa ili wananchi waelewe.

pia alieleza juu ya muungano na kueleza kwa mifano, alitoa mfano kuwa si busara kwa watu ambao wamekuwa katika ndoa kwa miaka 50 kuanza kujadili uhalali wa ndoa hiyo bali wanaweza kujadili namna ya kuongeza mapenzi kwa nia ya kudumisha ndoa hiyo

aliendelea kwa kufafanua juu ya suala la mgombea binafsi na kuweka wazi kuwa CCM haina shida na suala hili isipokuwa ni wazi kuwa suala hili litawaumiza upinzani zaidi kwani iko wazi kuwa leo hii katiba ikilipitisha hili kuna watu siku hiyo hiyo wanatangaza kuhama chadema na kusimama wao kama wenyewe, watu ambao wana-majority kwenye chadema"

Nape aliendela kusisitiza juu ya suala la maadili ya viongozi na kueleza kuwa inalazimika sasa suala hili liingie katika katiba mpya ili lipate nguvu zaidi.

haya na mengine mengi yalifanya hata wale waliokuja kwenye mkutano na kombati waanze kushangilia na picha naipandisha kwa ushahidi.

Magwanda lazima muishiwe damu mwaka huu, jamaa anawapiga pande zote. Imagine ule umati ulivyojaa...!

1. Nape, katika ule uzi uliohusu maandamano yako ya Njombe, ulisema wanaume waweke IDs zao za ukweli, mbona na wewe umeweka fake IDs?

2. Madhara ya shule za kata si tu yapo kwa watoto wetu, naona yamewarudia na nyie waasisi na watelekezaji wa shule zetu za kata; mbona heading na habari haviendani?CHADEMA wameumbuka kivipi?Kwani ni CHADEMA ndiyo waliyoanzisha hiyo thread mpaka useme wameshikwa pabaya?

3. Mleta mada ya awali(ya kuzomewa kwa Nape), alisema miongoni mwa sababu zilizomfanya Nape azomewe ni kuhusisha M4C na sera za Marekani, na kweli kwenye thread yako umerudia hayo maneno kuonyesha ni kweli 'uliongea' hizo pumba.

4. Sababu/justification yeyote unayoweza ukaitoa kwa kukimbiwa na wanachama wenu ni kusema kuwa hao ni OIL CHAFU?Maneno hayo ya kejeli yananifanya niamini kuwa ni kweli ukiwatusi watu wa Makambako(maana ikumbukwe ulimsifia Nchemba na Lusinde ukiwa Mwanza)

5. Ya kuufananisha Muungano na Ndoa, ni kuwatukana watanganyika na wazanzibari: je, ni nani katika muungano huo ni MKE na nani ni MUME?

NGUVU YA UMMA
 
mi sio mzee wa "chenji" ndugu yangu,

Kwani hata hivyo ungekuwa na chenji sa ngapi ungefanya kazi ya kujidhalilisha kama hii hapa?????...........njaa mbaya ati.....ona wenye chenji zao wamekutuma uwafanyie kazi zao...............aibu!
 
Inabidi CDM wafike mahala watueleze, why the same song throghout the year. baada ya change what next? Hakika tutafanyakosa kubwa sana.

Wewe, baba na mamako, babu na bibi yako mmefanya makosa ya kukiweka chama cha magamba madarakani kwa miaka lukuki. Hatutaki kufanya kosa hilo tena.
 
lengo lake ni kuimarisha chama na kukagua utendaji wa chama na serikali katika maeneo hayo lakini pia jamaa ni ONE MAN ARMY ni kiongozi anaonyesha njia wengine watafata, hiyo ni juu ya aliyoongozana nao lakini tunaomfuata ni wengi....,

ww ni Nape alafu unajificha nyuma ya fake ID! Chezea M4C weyeeee
safari mkija Tabora kwetu hamta hamini kwani sio ile Tabora ambayo ninyi majangiri mlizoea kubeba kura kimama mama, so safari hii patachimbika.

NO ONE CAN STOP M4C.
Shardcole@Tabora1
 
Back
Top Bottom