CHADEMA wapeleka Red Brigade kufanya fujo Kalenga

CHADEMA wapeleka Red Brigade kufanya fujo Kalenga

Wadau, taarifa nilizozipata kutoka kwa mtonyaji wangu wa CHADEMA jimbo la Kawe kuwa, CHADEMA wanapeleka vijana kufanya vujo Kalenga huku wakivalia mavazi ya ccm. Kwamba Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare alimwagiza Kiongozi wa Red Brigade wa jimbo la Kawe, kuwa aandae vijana ambao watapelekwa Kalenga kuanzisha fujo kama zile za Bunda. Kwamba vijana hao watavalishwa nguo za kijani ili waonekane ni wana ccm na watavamia mikutano ya chadema na ikiwezekana kuwajeruhi baadhiya wananchi. Mtoa taarifa amenidokeza kuwa vijana hao wamewasili jana huko Kalenga na kwa sasa wanaratibu mpango huo kwa kushirikiana na makamanda wao huko Kalenga. Amenidokeza kuwa mpango huo huenda ukatekelezwa weekend hii hasa baada ya kuwasili kwa kiongozi wa kampeni kwenye jimbo hilo, Godbless Lema ambaye kwa sasa yupo Bungeni Dodoma.

Mytake, kwa mwendo huu CHADEMA wanaanzisha siasa ambazo ni kinyume na kauli zao kuwa CHADEMA ni Mpango wa Mungu

Uongo huu ungeweka ushahidi.CCM wanajaribu kujilinda na kujisafisha kwa kile walichofanya na walichopanga kufanya.Kuna video huku kwenye mitandao na tutaisambaza
 
Wewe jamaa utakuwa mchawi,maana tabia za wachawi ni kama ya kwa wakiwaloga watu wanakuwa wa kwanza kutoa tuhuma. Tafadhali muache mauaji CCM
Naona mmeambiwa mshambulie kutetea upuuzi wenu[/QUOTE]
Mbona mnakuwa wanyonge maccm? Na nyie pelekeni tuone!
 
mleta mada ni mnafiki mkubwa hakuna ujinga kama huo ndani ya chadema labda ccm kwenye wahuni na washenzi wakubwa..
 
Wewe jamaa utakuwa mchawi,maana tabia za wachawi ni kama ya kwa wakiwaloga watu wanakuwa wa kwanza kutoa tuhuma. Tafadhali muache mauaji CCM
Naona mmeambiwa mshambulie kutetea upuuzi wenu[/QUOTE]

..hii ndo kazi iliyobaki ciciemu

9k=
 
Tunashukuru kwa kutoa siri, maana hii ndio michezo ambayo mmekuwa mkiicheza ccm siku nyingi, mavaa nguo za Chadema na kuleta fujo, ili watu wajue ni Chadema, mmeona mmeshitukiwa leo mnasema Chdema wamepanga kufanya hivi, tunashukuru kwa taarifa, yawezekana ndio mpango milopanga kuucheza, ila mnatafuta namna ya kujisitili, nawambia ccm, hata mfanye vipi, is too late, na hako kachama kenu mlikokafadhili ka ACT hakatawasaidia kitu, hili ni anguko lenu, mtapigwa nyie pamoja na tuvyama twenu huto, kumbukeni, hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Weston Songoro kila mwenye ufahamu mzuri anajua kuwa wewe unapigia chapuo ACT. Kwa hiyo hata utakayosema bado ni propaganda ya kupambana na CHADEMA. Ni maajabu tu yasiyoisha Tanzania kwamba chama cha Upinzania badala ya kupambana na aliyeshika serikali inapambana na anayehakikisha kuwa serikali inafanya vyema kwa wananchi.

Kwa mwenye uelewa anaweza kufahamu kuwa nyie ni chombo kinachotumiwa tu na CCM kuua upinzani. Mlishashindwa siku nyingi......
 
Uongo huu ungeweka ushahidi.CCM wanajaribu kujilinda na kujisafisha kwa kile walichofanya na walichopanga kufanya.Kuna video huku kwenye mitandao na tutaisambaza

Mkuu,Iringa lini ukawajibike?
 
Wadau, taarifa nilizozipata kutoka kwa mtonyaji wangu wa CHADEMA jimbo la Kawe kuwa, CHADEMA wanapeleka vijana kufanya vujo Kalenga huku wakivalia mavazi ya ccm. Kwamba Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare alimwagiza Kiongozi wa Red Brigade wa jimbo la Kawe, kuwa aandae vijana ambao watapelekwa Kalenga kuanzisha fujo kama zile za Bunda. Kwamba vijana hao watavalishwa nguo za kijani ili waonekane ni wana ccm na watavamia mikutano ya chadema na ikiwezekana kuwajeruhi baadhiya wananchi. Mtoa taarifa amenidokeza kuwa vijana hao wamewasili jana huko Kalenga na kwa sasa wanaratibu mpango huo kwa kushirikiana na makamanda wao huko Kalenga. Amenidokeza kuwa mpango huo huenda ukatekelezwa weekend hii hasa baada ya kuwasili kwa kiongozi wa kampeni kwenye jimbo hilo, Godbless Lema ambaye kwa sasa yupo Bungeni Dodoma.

Mytake, kwa mwendo huu CHADEMA wanaanzisha siasa ambazo ni kinyume na kauli zao kuwa CHADEMA ni Mpango wa Mungu

Kawadanganye wapumbavu wenzio. Shem on you!
 
habari za kubuni kamueleze mkweo aliyekupa bwana.
 
Mkuu, kwani mtu kama amepata taarifa ambayo ni ya hatari, asitutonye humu JF? Nampongeza sana ndugu yetu Weston Songoro kutuletea hili
Huo ni upumbavu na ufinyu wa fikra, taarifa ya hatari mtu anatonya JF??? Hajui kuwa vyombo vya dola ambao ndiko anatakiwa apelike hizi taarifa ili hali idhibitiwe na wahusika wapelekwe kwenye vyombo vya sharia? Mkiambiwa mnaropoka mipango mnayotarajia kuifanya mnabisha.
 
Hao wahuni dawa yao ni FFU tu, wawatandike ipasavyo! LEMA alishaanzisha mchezo wa kihuni kama huo hapa Arusha FFU na Jeshi la Polisi kwa ujumla wakaukomesha! sasa Arusha ni Shwari!
 
Uzuri umesema njia ambazo CCM wanategemea kutumia kuvuruga mikutanao ya CDM, naamini watawashughulikia ipasavyo. Nimeona Philip Mangula anaomba Pooo Police. Kamanda wa Police wa Iringa yuko imara hataki uj.in.ga wenu!!!
 
Hayo unayoongea ni yako ila tofautisha maneno aliyoyasema mangula n'a lwakatare mangula anasema ana majina ya waleta vurugu wa cdm lwakatare kasema ameleta vijana kuwalinda wana cdm na akaliomba jeshi la police liwakamate waalifu wote watakao leta vurugu ila jeshi la polisi likishindwa kulinda amani basi wao watawalinda watu wao sasa Ww unaongea nn usilete ushabiki usio n'a maana zile ni dam za watu n'a fika unajua ccm wanataka kufanya nn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom