CHADEMA wapeleka Red Brigade kufanya fujo Kalenga

CHADEMA wapeleka Red Brigade kufanya fujo Kalenga

Nafikili japo kidogo tu ungetumia akili,ukaacha ushabiki ambao sio mzuri,ungeweza kutambua thamani ya uhai wa mtu na CCM unayoishabikia.Siongei kwa sababu naipenda chadema ila ninaongea kwa sababu ninawajua ccm nje ndani,ni chama hatari kwa maisha ya watu.Hii propaganda ambayo inafanywa hapa na wengine kushabikia mnavyofanya hapa ni mbaya sana kwa sababu mnacheza na uhai wa mtu,ambao ukipotea hakuna mwenye uwezo wa kuurudisha.Pili hivi ni vitisho vya ccm kutisha watu wasijitokeze kwenye uchaguzi ili iwe rahisi kwao kushinda uchaguzi.
Huna akili hata kidogo. Jibu tuhuma za chagadema kupeleka wafanya vurugu kalenga, wewe kuijua ccm hakupungzi ugaidi wa chadema..tatu, kama ccm inawatisha wapiga kura wajitokeze wachache, kwanini hao wachache wasiipigie kura chagadema????
 
mkilala,mkiamka,mkitembea,mkikaa,mkisimama mawazo yenu ni jinsi ya kuua na kuibomoa cdm. hilo sahauni mnashindana na nguvu msioiweza
 
Maccm msiwe wanyonge nanyi si mpeleke sasa mnalia lia, mnamfanya mwenyekiti wenu azidi kuwa mnyonge
 
Naomba ruhusa kwa mods niwataje kwa majina mmoja jinalake lake linaanza na m....f.........

Hivi kuwataja kama justfication ya ukweli wa usemayo kunahitaji ruhusa ya Moderator,

kwa kifupi huo ndo utaratibu wenu kuwadanganya watanzania!
Hata baba enu alisema ana majina ya wauza unga lkn kimya hadi kesho!
alisema anawajua majangili na ana majina, lkn kimya hd kesho,
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA kwishney. Baada ya siasa za Kistaarabu kuwashinda, sasa wameanza mambo ya Arusha!
 
Taarifa hii ni nzito sana. Vyombo vya dola visidharau hata kidogo. Uzoefu unaonesha kuwa siku chache kabla ya kupiga kura kunajitokeza fujo ambazo zinakuja kuchafua zoezi zima la upigaji kura. Lengo la CHADEMA ni kuwaogopesha wana ccm wasijopitokeze kupiga kura kama vile ilivyojitokeza kule Arusha

Ina kilo ngapi? Kwa hiyo na nyie kitengo cha mtandaoni ndo mmepewa mmubuni propaganda za kijinga kama hizi! Posho yenu itaongezwa au ndo hizohizo Buk7? Chadema ni mpango wa Mungu na tunaiombea wakati wote mipango yoyote ya kuhujumu chadema lazima iwarudie ccm wenyewe jaribuni muone kama mtaweza kuficha huo uovu! Hamna kitu mtakachokifanya Mungu asiwaumbue! Mark my word, mtavuna aibu tu kama wachawi wanavyokamatwa asubuhi wakiwa uchi. Nakadri mnavyo mwaga damu za watanzania ndivyo laana inavyoongezeka na ndivyo mnavyozidi kupotea kwenye uso wa siasa. Muulizeni gaidi wenu alikuwa kwa TB joshua juzi alienda kufanya nini! Malipo ni hapahapa!
 
Wadau, taarifa nilizozipata kutoka kwa mtonyaji wangu wa CHADEMA jimbo la Kawe kuwa, CHADEMA wanapeleka vijana kufanya vujo Kalenga huku wakivalia mavazi ya ccm. Kwamba Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare alimwagiza Kiongozi wa Red Brigade wa jimbo la Kawe, kuwa aandae vijana ambao watapelekwa Kalenga kuanzisha fujo kama zile za Bunda. Kwamba vijana hao watavalishwa nguo za kijani ili waonekane ni wana ccm na watavamia mikutano ya chadema na ikiwezekana kuwajeruhi baadhiya wananchi. Mtoa taarifa amenidokeza kuwa vijana hao wamewasili jana huko Kalenga na kwa sasa wanaratibu mpango huo kwa kushirikiana na makamanda wao huko Kalenga. Amenidokeza kuwa mpango huo huenda ukatekelezwa weekend hii hasa baada ya kuwasili kwa kiongozi wa kampeni kwenye jimbo hilo, Godbless Lema ambaye kwa sasa yupo Bungeni Dodoma.


Mytake, kwa mwendo huu CHADEMA wanaanzisha siasa ambazo ni kinyume na kauli zao kuwa CHADEMA ni Mpango wa Mungu

Mwanaume ukipakatwa utazungumza kila kitu
 
Huna akili hata kidogo. Jibu tuhuma za chagadema kupeleka wafanya vurugu kalenga, wewe kuijua ccm hakupungzi ugaidi wa chadema..tatu, kama ccm inawatisha wapiga kura wajitokeze wachache, kwanini hao wachache wasiipigie kura chagadema????

hayo maelezo yenu ya kipuuz pelekeni polisi! awamu hii mkileta fujo tutang'oa kicha mchana kweupe,kama magamba mnapanga hiyo mipango yenu ya kijinga mtajuta kuzaliwa!!!!
 
mkuu unaonekana kuipenda sana ccm maana umejaa sana humu tehe tehe tehe.!! c....c......m

anasumbuliwa na njaa tu!! ccm haiwezi kupendwa na kijana mzima mwenye kujitambua na asiyemchumia tumbo,wote waliojazana hapa jf kuitetea wanasumbuliwa na njaa!!!
 
CHADEMA kwishney. Baada ya siasa za Kistaarabu kuwashinda, sasa wameanza mambo ya Arusha!

Ni vizuri ukafikiria na ukatafakari kabla ya ku comment chochote.. kwan hujasikia kauli za viongozi wa ccm za uchochez huko kalenga kwa nn sasa chadema wasipeleke red brigade kuwalinda viongozi wao.?
Huu utaratibu wa kuanzisha vikundi vya ulinzi ndani ya vyama vya siasa hujajiuliza ni kwa nn ccm walianzisha green guard then tukaanza kusikia habari ya wapinzani wa ccm kuanza kuteswa na kuuwawa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom