CHADEMA wapeleka Red Brigade kufanya fujo Kalenga

CHADEMA wapeleka Red Brigade kufanya fujo Kalenga

Mtonyaji wako kakutonya pabaya, hangaika napo hivyohivyo
Mkuu hii habari ni kweli tena kutoka mkoa wa dar wametoka vijana 15 ambao wamekwenda na fulana za ccm na kofia za ccm watakuwa wanafanya fujo wakiwa wamevaa hizo sare za ccm ili ionekane ni ccm.
 
Kesho mimi nitawataja wote tena kwa majina hasa waliotoka mkoa wa dar hasa jimbo la kawe.
 
Mkuu hii habari ni kweli tena kutoka mkoa wa dar wametoka vijana 15 ambao wamekwenda na fulana za ccm na kofia za ccm watakuwa wanafanya fujo wakiwa wamevaa hizo sare za ccm ili ionekane ni ccm.

acha uongo ! Ni aibu sana kwa kamanda kuvaa miguo ya kijani na haitatokea .
 
Naomba ruhusa kwa mods niwataje kwa majina mmoja jinalake lake linaanza na m....f.........
 
Tatizo la ccm wanadhani cdm huwa nao huendesha siasa za mauaji kama wao,ccm wanaratibu mpango huu wa fujo so wanaanza kujihami.
 
Tatizo la ccm wanadhani cdm huwa nao huendesha siasa za mauaji kama wao,ccm wanaratibu mpango huu wa fujo so wanaanza kujihami.
Chadema siyo mara ya kwanza kuuwa wala haitakuwa mara yao ya mwisho ndiyo tabia yao ya kitambo ila tushawajua mapema.
 
Tatizo la ccm wanadhani cdm huwa nao huendesha siasa za mauaji kama wao,ccm wanaratibu mpango huu wa fujo so wanaanza kujihami.

Mkuu, katika hii taarifa, hakika chadema walidhamiria jambo baya sana kule Kalenga. Kama si mpango huu kuumbuliwa, ni wazi kuwa kungejitokeza madhara makubwa zaidi
 
Mkuu, sidhani kama ni sahihi kusema kuwa taarifa kama hii ni porojo. Pia si vema kutudanganya watanzania kuwa ccm wameelemewa Kalenga. Sote tunajua jinsi hali ya CHADEMA ilivyo mbaya kule
Umekula na umekwisha fusa nenda kalale
 
Chadema siyo mara ya kwanza kuuwa wala haitakuwa mara yao ya mwisho ndiyo tabia yao ya kitambo ila tushawajua mapema.

Nafikili japo kidogo tu ungetumia akili,ukaacha ushabiki ambao sio mzuri,ungeweza kutambua thamani ya uhai wa mtu na CCM unayoishabikia.Siongei kwa sababu naipenda chadema ila ninaongea kwa sababu ninawajua ccm nje ndani,ni chama hatari kwa maisha ya watu.Hii propaganda ambayo inafanywa hapa na wengine kushabikia mnavyofanya hapa ni mbaya sana kwa sababu mnacheza na uhai wa mtu,ambao ukipotea hakuna mwenye uwezo wa kuurudisha.Pili hivi ni vitisho vya ccm kutisha watu wasijitokeze kwenye uchaguzi ili iwe rahisi kwao kushinda uchaguzi.
 
hapa hakuna cha mkuu wala wajukuu habari yenyewe nimekaa kichalinze chalinze kimsoga msoga
 
Chadema ni wauwaji,wamwaga damu na washari wakuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom