Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
Wadau, taarifa nilizozipata kutoka kwa mtonyaji wangu wa CHADEMA jimbo la Kawe kuwa, CHADEMA wanapeleka vijana kufanya vujo Kalenga huku wakivalia mavazi ya ccm. Kwamba Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare alimwagiza Kiongozi wa Red Brigade wa jimbo la Kawe, kuwa aandae vijana ambao watapelekwa Kalenga kuanzisha fujo kama zile za Bunda. Kwamba vijana hao watavalishwa nguo za kijani ili waonekane ni wana ccm na watavamia mikutano ya chadema na ikiwezekana kuwajeruhi baadhiya wananchi. Mtoa taarifa amenidokeza kuwa vijana hao wamewasili jana huko Kalenga na kwa sasa wanaratibu mpango huo kwa kushirikiana na makamanda wao huko Kalenga. Amenidokeza kuwa mpango huo huenda ukatekelezwa weekend hii hasa baada ya kuwasili kwa kiongozi wa kampeni kwenye jimbo hilo, Godbless Lema ambaye kwa sasa yupo Bungeni Dodoma.
Mytake, kwa mwendo huu CHADEMA wanaanzisha siasa ambazo ni kinyume na kauli zao kuwa CHADEMA ni Mpango wa Mungu
Mytake, kwa mwendo huu CHADEMA wanaanzisha siasa ambazo ni kinyume na kauli zao kuwa CHADEMA ni Mpango wa Mungu